المدة الزمنية 59:13

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING - GLORY THE SCHOOL OF HEALING 20/ 12 / 2021

5 406 مشاهدة
0
115
تم نشره في 2021/12/20

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 20/ 12 / 2021 UJUMBE WEA LEO: TUTAVUKA SALAMA (KUTOKA MLIMA NEBO HADI NCHI YA AHADI) Kumbukumbu 34 : 1 - 5 1 Musa akapanda kutoka uwanda wa Moabu mpaka mlima Nebo, hata kilele cha Pisga kukabili Yeriko. Bwana akamwonyesha nchi yote ya Gileadi hata Dani; 2 na Naftali yote, na nchi ya Efraimu na Manase, na nchi yote ya Yuda, mpaka bahari ya magharibi; 3 na Negebu, na uwanja wa bonde la Yeriko, mji wa mitende, hata mpaka Soari. 4 Bwana akamwambia, Hii ndiyo nchi niliyowaapia Ibrahimu, na Isaka, na Yakobo, nikisema, Nitawapa wazao wako. Basi nimekuonyesha kwa macho yako, lakini hutavuka huko. 5 Basi Musa, mtumishi wa Bwana, akafa huko, katika nchi ya Moabu, kwa neno la Bwana. Mhubiri : Gadeilson Mfinanga Kwa maombi na ushauri: Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24