المدة الزمنية 2:55

RC MPYA WA ARUSHA AMEVUNJA REKODI.

بواسطة MONDULI TV ONLINE
216 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/06/22

MKUU WA MKOA MTEULE AVUNJA REKODI. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mh.Iddi Kimanta ameapishwa leo Kabla ya kuapishwa alikuwa Mkuu wa wilaya ya Monduli amekula kiapo Mbele ya Raisi John Pombe Joseph Magufuli leo Ikulu. . . . Mkuu wa Mkoa Arusha Mheshimiwa Iddi kimanta amekuwa ni mkuu wa Mkoa wa kwanza katika Tanzania aliepishwa Ikulu ya Dar es salaam na kuanza kazi hapo hapo kwa kuwaapisha wakuu wa wilaya Mbili za Monduli na Arusha amemuapisha Kamishina Msaidizi wa Polisi Bw.Edward Jotham Balele kuwa kuwa Mkuu wa wilaya ya Monduli Pia amemwapisha Mkuu wa wilaya ya Arusha Ndg.Kenan laban Kihongosi. RC ARUSHA IDDI KIMANTA ARUSHA MPYA Imetolewa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Leo 22.06.2020 IKULU YA DAR ES SALAAM ELIFURAHA RAPHAEL(KABURU).

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1