المدة الزمنية 15:17

TUNDU LISSU MATATANI AITWA na TUME Akituhumiwa KUSEMA UONGO kwenye KAMPENI..

بواسطة Global TV Online
36 311 مشاهدة
0
174
تم نشره في 2020/09/27

TUNDU LISSU MATATANI! AITWA na TUME Akituhumiwa KUSEMA UONGO kwenye KAMPENI.. Mkurugenzi wa Tume ya Uchaguzi Tanzania, Charles Mahera emezungumza na vyombo vya habari na kueelza kuwa tume hiyo imemuandikia Barua ya Wito mgombea urais wa Chama cha kDemokrasia na Maendeleo, Tundu Lissu kutokana na kauli zake alizoziongea akiwa jukwaani kwenye kampeni,a mbazo wamedai ni za uongo.... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 661
  • @
    @alphoncekagezi4950منذ 4 سنوات Mshindani Muungwana ni mhimu kutambua kuwa kuna kushinda au kushindwa ni sawa na timu za mpira kuingia uwanjani kwa ajili ya kushindana na timu lazima id="hidden2" class="buttons"> ijiandae kisaiklojia kwa matokeo ya aina yoyote .
    Hivyo ndivyo inakuwa pia katika kudhindana kwa maana ya maamuzi ya kura jumuishi .
    Mkutungenzi wa uchsguzi wa tume ya uchaguzi Tanzania amesisitiza uchaguzi utakuwa huru na haki na mshindi wa halali atatangazwa bila kuhujumu matokeo ya kura .
    Wagombea niombe waamini matamshi hayo na hakuna sababu ya vyama vya upinzani kupitia wagombea wake kuwa na wasiwasi wala hofu.
    Cha msingi wagombea wote waweke hofu pembeni na waendelee na mipango yao ya kampeeni hadi 27 Oct 2020 .
    Tangulizeni mama Tanzania smani yetu ndio salama yetu .
    Hatuna pakukimbilia ikiwa amani yetu itavuligwa .
    Asanteni
    Dumuni kuomba dua na Sala Mungu atusaidie tuvuke salama ktk uchaguzi huu
    ....وسعت
  • @
    @africanheroestz-acapella2458منذ 4 سنوات Unajua nn? Tanzania hatujawahi ingia kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe ndio maana tunaweza kushabikia ujinga flani hv ila tujue madhara ya vita hivi id="hidden3" class="buttons"> ni makubwa na hakuna atakae kuwa slm mpk wanaoshabikia hayo makauli ya kipuuzi watakaoathirika ni mamazetu, dada zetu, wadogo zetu na watoto wetu. Mm nimeshawahi onja vita hii nchi flani hv ambayo nimekulia na kusomea huko so naongea kitu ninachokijua vzr sio story, amani iliyoko Nchini kwetu wengi wanatamani. Tuweni makini sana ....وسعت 1
  • @
    @michaelzunzu8126منذ 4 سنوات Tundu Lisu ana washauri wabovu au hataki kuwasikiliza wanachomshauri. Kama hataki kufuata sheria za uchaguzi wa Tanzania asingelichukua form za kuhombea, id="hidden4" class="buttons"> lazima kuna pahala alisaini kukubslia sheria na taratibu za uchaguzi wa Tanzania, half way akataka kugeuza kibao, Loo! Mtu anayemdaganya anaweza akamuacha kwenye mataa!
    Angalieni mitandaoni muone wakenya nchi anayoibudu, wanavyohaha na mkopo wa kujengewa reli, vitu ambavyo siku moja nilimsikia Zitto Kabwe akiusifu kuwa ndiyo njia ambayo tungelitumia kujenga reli yetu.
    ....وسعت
  • @
    @saxannjo6173منذ 4 سنوات YOTE KWA YOTE, ILA MAGUFULI ATABAKI KUWA BABALAOOOOOO.
    Halla MAGU
    22
  • @
    @godymbanyi1878منذ 4 سنوات Niliwahi kuandika. Uchaguzi una mihemuko sana, taasisi zinazohusika, mjitahidi msitusababishie uvunjifu wa amani. Msimame imara na mtende haki ili tuvuke salama. 9
  • @
    @tanzaniteinzanzibar6655منذ 4 سنوات Hii ni vita ya Mabeberu na Watanzania Wazarendo, insha allah kwa Kudra za Mwenyezi Mungu Magufuli atashinda kwa kishindo. 11
  • @
    @monikarobert4446منذ 4 سنوات Mmmmh hapa hakuna tume kbsa tusitegemee uchaguz wa huru na wa haki hata chembe 7
  • @
    @nishasalim2880منذ 4 سنوات Anataka kuvuruga malengo.
    Safi this made my day.
    1
  • @
    @jandpelectronics363منذ 4 سنوات NINGEONA AJABU SANA KAMA SERIKALI INGEENDELEA KUKAA KIMYA, JAPO WATAZUA JAMBO JINGINE TENA KUSEMA KUWA WANAKANDIZWA 5
  • @
    @hanskalitus5583منذ 4 سنوات Hii ni tume ya CCM siyo ya uchaguzi NEC 12
  • @
    @thejordanband1516منذ 4 سنوات Mm naona mshindi amesha tangazwa hapa..
  • @
    @lightm2225منذ 4 سنوات Mwakahuu kazi ipo yaniunaonaaaatu lakini Mungu tusaidie
  • @
    @marymakwega1366منذ 4 سنوات Safi sana asituletee kampeni za uongo na kuchafuana atangaze sera zake tumsikie asilete utoto na uongo Watanzania wa leo sio wale wa zamani tunajitambua na tunajua tunataka nini 2
  • @
    @ausonjustinian5494منذ 4 سنوات sema wala husiogope we ndo bb wa vyama vyote hivyo una haki ya kusema unapoona seh.moja hakuko sawa we kosoa tu. 4
  • @
    @frankkimboka7491منذ 4 سنوات Nawaombeni kipindi mtamuhoji muwe live 9
  • @
    @ngotosilla4839منذ 4 سنوات Wewe tayili manenoyako yamevunja shelia haufai unatudanganya 8
  • @
    @godfreykayela3524منذ 4 سنوات Wakubwa Mungu yupo kama hamuamini msiwarudishe wagombea wa chadema. 1
  • @
    @rashidmohd115منذ 4 سنوات Jamaa' anapiga kampeni kabisa'' Apo apo''' hahahaaahahahahahaha 9
  • @
    @moudymkwawa5743منذ 4 سنوات asanteh time ni kweli kama ameshinda kwa nini anaendelea kufanya kampeni!!!?
  • @
    @mussaremigius2818منذ 4 سنوات Safi mkurugenzi u meongea kiume sio Takataka moja itutishe kisa vibaraka vyake na Airport zote mipaka yote ihakikishe mgombea yeyote asitoke in chini hapa
  • @
    @petandy1779منذ 4 سنوات Murugenzi hapo mwisho umeharibu kabisa na umedhihirisha kisemwacho kwamba tume haipo huru na tayar ina mgombea wake 3
  • @
    @christianmwashala276منذ 4 سنوات Nae wa kanda ya ziwa uyo uenda mtoto wa mjomba,lisu fatilia iyo utupe majibu 6
  • @
    @wadeelegbogun3015منذ 4 سنوات Hivi ilikuwaje mkampitisha tundu lisu kuwa mgombea na mtu analaia mbili????eeeee tupeni majibu nyinyi tume 8
  • @
    @wilsonseth9813منذ 4 سنوات wale tu hana jipya tundu lisu I love you
  • @
    @babalaotv612منذ 4 سنوات Ccm wakishindwa waondoke msimlinde mtu 2
  • @
    @nasrynnassor1492منذ 4 سنوات Unafikiri kukamatwa Kama unavyoenda kununua kauzu sokoni
  • @
    @machinjashabani5331منذ 4 سنوات Lakini mbona una watisha waandishi wa habari? Kwani hawajui taaluma yao?
    Na fikiri kikubwa ni haki .
    MUNGU
    4
  • @
    @vanesaalberto8479منذ 4 سنوات Asiwasumbue lisu anataka kuwavuruga akili tu. Ana jipya. Siku2 atoamini na aingie barabarani kama mwanaume. Sio aingie watoto wa watu 12
  • @
    @paulokabosi8199منذ 4 سنوات Kwel huyu sio mkrgnz wa tume huru Ila ni mxemaji wa ccm kwann uongee kwakuegemea upande mmja acha wananchi waamue wenyewe 3
  • @
    @dcollyne4968منذ 4 سنوات Kumbeee ofice.. Niliona vikombe n chupaa nikajua kw mama nanii.
  • @
    @shekhenasiri1302منذ 4 سنوات Nyie tume waongo sana mpo kwa ajil ya kumbeba mtu
  • @
    @JohnDavid-iy4ffمنذ 4 سنوات Hufai unaonekana unapendelea upande fulani Mungu anakuona
  • @
    @robertpaul2668منذ 4 سنوات Kamata pumbavu huyo, lisu hatufai kabisa nchi hii kimbiza kabisa 4
  • @
    @ndeletwaswai3530منذ 4 سنوات Anasura nzito kama wana Ccm wenzie fyuuu,umetumwa hata unavyoongea tu unataka kujiharishia jinsi unavyomwopa jiwe 2
  • @
    @ramadhanimbulu6716منذ 4 سنوات Watanzania tumchague Hashim Rungwe anatambua watanzania tuna njaa, na watoto wetu wanasoma shuleni wakiwa na njaa. Ubwabwa Kwanza kazi badaye.
  • @
    @andrew.gadimrinji1713منذ 4 سنوات Nadhani kila mmoja anavutia kwake.hakuna sehemu alisema ameshinda.
  • @
    @adigamadabest8206منذ 4 سنوات Mbona hujiamini wemuache aseme mwisho wa siku watanzia watamua unaonekana wazi unapoelemea 5
  • @
    @kobelomengi3501منذ 4 سنوات Kweli ww km unapiga kampeni huko mwisho 2
  • @
    @ukweliunauma4570منذ 4 سنوات TAARIFA TULIO NAYO HIVI SASA YA SIRI KUBWA.
    CCM wawapa pesa wakuu wa polisi na Jeshi pesa kwa njia ya M pesa na tigo pesa. kila alie kua na cheo id="hidden8" class="buttons"> na wakubwa nchini ili wawakandamize chadema na vyama vyengine vya kisiasa. Mkuu wa tume kashiriki ndio maana wameanza Kua sio watu wazuri kwa sababu ya hongo nataka mjue hili. Tunataka haki, uhuru, na maendeleo sitoficha uhalifu sasa amkeni
    ....وسعت
  • @
    @jacobwarieba5841منذ 4 سنوات Kazi leoo umepewa utarudi uariani jee utakaajee na watuu iwapo kwa siku ya leoo unaonekana na hizo kauli xkoo.watanzania kupgwa mabomu angalieni makondaa leoo anatembea na kingoraaa
  • @
    @philipomarco2234منذ 4 سنوات tundulisu nenda katoe ushahidi kwa maneno uliyoyasema,,tatizo likuwapi mbona chadema mnatoka povuu 7
  • @
    @mrwisdomtz8237منذ 4 سنوات Sasa mbona ww unanadi Sera au uko unagombes tume 4
  • @
    @ashtube1333منذ 4 سنوات Serikali muwe macho kwa Amani kila kitu kinaonekana wahalifu washughulikiwe Mungu awasaidie
  • @
    @abdalahfarida2074منذ 4 سنوات WAMUITE NA WAZIRI MKUU ANAFANYA KAMPENI KAMA NANI KWENYE MAJIMBO YA WATU. MUISLAMU SAFI SANA LAKINI ANAKUBALI KUPITA BILA KUPIGWA HUO WIZI MKUBWA NA YEYE NI MTU WA SALA TANO.
  • @
    @azzaazza3686منذ 4 سنوات lisu mkamateni aswekwe ndani sisi wananchi wenye hasira kali tutakuja kumlalua labda akimbie tz 1
  • @
    @ramadhanmwandambotuntufye5972منذ 4 سنوات Kwa hiyo mbona unaonekana uko upande Fulani?
  • @
    @jacobwarieba5841منذ 4 سنوات Ndugui yanguu ukitaka kutumia nguvu utaaribu uchaguzi tyri hixo nchiii za njeee watAongilia angalieni kenyaa kilichowakutaa
  • @
    @yussufnyangoma5693منذ 4 سنوات HATUNA IMANI NA WEWE KWANI SIO TUME HURU , UMETEULIWA NA NANI ? 7
  • @
    @bonifacekasililika1759منذ 4 سنوات Kauri zako zina mashaka Na Uhuru wa tume unataka kumpangia cha kusema? Wtz wanajambo lao
  • @
    @ronnahsheka3551منذ 4 سنوات MTU Hana dalili hata moja ya amani ananuka vurungu na kuvunja amani kabda hata kura hazijaanza kupigwa muhenga alisema dalili ya mvuwa ni mawingi sasa id="hidden11" class="buttons"> sijuwi watanzania wengine wanataka nini kwa kibaraka kama huyu. Lkn mungu atatuepusha tuu. ....وسعت
  • @
    @asiaibrahim3132منذ 4 سنوات Safi sana, mkurugenzi wa uchaguzi, tundu lisu alizidi matusi, lkn yote hayo kutojiamini ktk sera anazojinadi 1
  • @
    @kabangoamini8431منذ 4 سنوات Kwaushindi huu dhidi ya chama tawara sizani kuwa risu atakuwa salama
  • @
    @sekuludevid6413منذ 4 سنوات Aman kwanza tundulisu Nani kweny nch hii asituletee ujinga wake hapa
  • @
    @guycalifat4426منذ 4 سنوات Tuingie barabaran wakat wao watafik waend zao ulaya sisi njo tuozee jela mafala kweli
  • @
    @marymakwega1366منذ 4 سنوات Tumemvumilia muda mrefu enough is enough asitufanye mafala. Tuna akili zetu timamu 1
  • @
    @josephmafuru464منذ 4 سنوات Mung kupitia kwa binadamu amu control atende haki maana binadamu wanapande mbili shetani na mungu so mung atawale tupate haki
  • @
    @yasiralkindi5332منذ 4 سنوات Duh nawashauri bora msimuite lissu mana kwa hoja hashindiki mzee 2
  • @
    @sungula100منذ 4 سنوات Hapo mwishoni sijakuelewa kabisa. Yaani na wewe umetoa sera kama mgombea wa chama flani.
    Haya bhana, ccm oyeee!!
    7
  • @
    @mjerumanoforo6678منذ 4 سنوات Hap tume hur ndo inahitajika ndo itaondoa ubishi
  • @
    @abdulkarimhamissi3755منذ 4 سنوات Yani sisi watanzania tuongozwe na mbelgiji uo ujinga hatuna 12
  • @
    @exaudgeorge1434منذ 4 سنوات Sisi niwackiliziji tu ilamajumbanikwetu ni viongozi wangazi zajuukabisa kifamilia tunawaongoza nakuwalea watoto wetu bilakuwabagua nyinyi mnafeli wap 1
  • @
    @PH-hg2vnمنذ 4 سنوات Mkurugenzi tunakuamini sana wewe chapa kazi