المدة الزمنية 12:30

KKKT JIMBO LA KATI WAUNGANA KUTOMTAMBUA ASKOFU MWAIKALI/SADAKA ZAPIGWA MARUFUKU KWENDA DAYOSISI

بواسطة Busokelo TV
19 327 مشاهدة
0
0
تم نشره في 2021/08/25

#BusokeloUpdates #MgogoroKKKTKonde #Mwaikali Mkutano wa waumini wa sharika 14 za jimbo la Kati la Dayosisi ya Konde umeamua kuungana na wakristo wengine kutomtambua Askofu Dkt. Edward Mwaikali pamoja na kuhamishwa kwa makao makuu ya Dayosisi hiyo kutoka Mjini Tukuyu kwenda Jijini Mbeya. TAZAMA HABARI ZINAZOHUSIANA Kilichotokea Usharika wa Tukuyu Mjini (Cathedral) /watch/s53=t&0YYthglj9Klj= Serikali Yaombwa Kuingilia Kati Mgogoro kuhamisha Makao Makuu KKKT Konde: /watch/s051=t&g5lCOnmEjJNE1

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 30