المدة الزمنية 10:5

Masikini Utatoa Machozi Kinacho endelea Makonda Ukweli wote Mpaka Kukamatwa na Poisi, Siri nzito hii

بواسطة Dar news TV.
56 216 مشاهدة
0
161
تم نشره في 2021/06/06

#sirizabongo Inasemekana aliyekua mkuu wa mkoaDar Es Slaam Paul Makonda Kukamatwa na Polisi Tanzania kwa ajiri ya mahojiano zaidi kwa kipindi cha uongozi wake kunyanyasa watu!

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 129
  • @
    @sanjoadamson2265منذ 3 سنوات Hongera Sanaa rais wetu kwakazi nzuri unayofanya 2
  • @
    @yusuphntamagara8050منذ 3 سنوات Masha Allah hizi ndokazi bado chunguza tumbua macho ayo majip 1
  • @
    @lukagulagekidehele5788منذ 3 سنوات Naipenda sana serikali ya mama Samiah kupitia msimamo wake. 1
  • @
    @nicholasgabriel8805منذ 3 سنوات Rais samia unafaa mama nakutakia maisha marefu amina
  • @
    @mnegaamina6085منذ 3 سنوات Naomba amani tusiwe na visasi vya maisha 1
  • @
    @paulojoseph2304منذ 3 سنوات Sito Acha kumkumbuga magufuli .mama anaruka ruka Tu hamna kitu anafanya. 3
  • @
    @forestynjombeiringatunteme5659منذ 2 سنوات Visasi vitatufikisha wapi jamani Watamzania.
  • @
    @magrethkilua1714منذ 3 سنوات Hacheni uongo, kukamatwa huko kwiyoooo 1
  • @
    @noelporcalp7980منذ 3 سنوات Muwe mnaandika vitu vilivyo sahihi msiwe waongo
  • @
    @elphazjavan6789منذ 3 سنوات Lakin kiin Cha yote haya ni kwa sababu wote ni team magu
  • @
    @pendomariki6562منذ 3 سنوات Jaman alishaacha uongoz haina haja ya kufufua kabur watu wamesahau 2
  • @
    @geodfreysarakya8666منذ 3 سنوات Acheni uonngo nataka nisikie amekamatwaaaa
  • @
    @ayishaayisha8053منذ 3 سنوات Mhm mungu wangu.jamani tanzania aibu kila siku.
  • @
    @louisnyoni4139منذ 3 سنوات Huu utawala wa mama, unalingana na kiapo alichokula cha kufuata utawala wa sheria watanzania tunamtakia maisha marefu mama samia suluhu, kwa sababu sheria id="hidden1" class="buttons"> zipo kwa nini utoke nje ya utaratibu kwani sheria tulizojiwekea hamuwezi kuzisimamia na kama mnaona hazitoshelezi pelekeni bungeni zikalekebishwe, sio kutoka nnje ya mstari na ukiona MTU anakuwa kama hawa wawili ujue wana yao mambo. ....وسعت 1
  • @
    @noelporcalp7980منذ 3 سنوات Kuliko kuandika uzushi bora ukalime fungeni tena vyombo hivi vinavyotoa habari zisizo sahihi
  • @
    @aypoul107منذ 3 سنوات Acha uongo unatangaza jambo ambalo watunwanasema silo umeloona
  • @
    @kamchachaslashy2124منذ 3 سنوات wamkamate na ba mkubwa mbona ye hawamsemi KATIBA MPYA
  • @
    @bigbossimamausimamishweupe2981منذ 3 سنوات Nenda kwa mpalange Kama umeshindwa utangazaji
  • @
    @christophermhanze2788منذ 3 سنوات Kuna mambo mengi sana huwa ya nafanyika na viongozi wakubwa lakin rais huwa anachelewa sana kugunduwa mpaka anavogudua watu wameumia.mama atulie atayaona mengi sana !! 1
  • @
    @luckygmdegela8477منذ 3 سنوات Kaz tunayo ,,,mboe mbona mna muogopa au mnashindwa mkamata ?
  • @
    @forestynjombeiringatunteme5659منذ 2 سنوات Huyu mwandishi na mtangazaji Mpumba vu kweli Sabaya alibaka nani? Hivi kwa akili ako timam SABAYA MKUU WA WILAYA na Mwenye Mke safi na Mzuri useme alibaka id="hidden3" class="buttons"> wanawake! Unaelewa mana ya Kubaka? Pumbavu huna akili.
    MAKONDA mumuache hafu we mwandishi kama mnafiki hivi, Makonda alifanya kazi nzuri sana kwa lengo la kuliacha Taifa kuwa salama.
    ....وسعت
  • @
    @khamisihaji2905منذ 3 سنوات Muongo mbona hatuoneshwi anaoneshwa anakunywa juisi na chipsi aliekamatwa tumemuona. 1
  • @
    @allymjenga7456منذ 3 سنوات Wale wanaonzisha taarifa za uongo na wale wanaosaidia kuzieneza bila kuthibitisha wawajibike.
  • @
    @malebobutakila7101منذ 3 سنوات Naaombe viongozi waoote wa nchi yetu Tz ,wawe na afya njema.
  • @
    @omaryhassan9528منذ 3 سنوات Makonda ulikuwa komandoo wa kufuta madawa ya kulevya hongera kwaihilo ulikuwakiongozi imara 1
  • @
    @mwanumwanu1513منذ 3 سنوات Hiyo ni vita ya madawa tu hamuwez kutuambia lolote 1
  • @
    @mohamedabdallah2257منذ 3 سنوات Kama ni kweli aende tu Mana alizidi Sana huyu jamaa !! 2
  • @
    @nelsononyango5920منذ 3 سنوات Mungu ameshuka waofu na wauwaji kuangamizwa juzi mkuu wa boko haram wacha suluhu atoe suluhisho kwa uofu je hapa kenya kukoje?
  • @
    @johnsinyinza7450منذ 3 سنوات Acheni kudangaya mtaacha tuanze kusherekea
  • @
    @tatoorashedi1787منذ 3 سنوات Hawa wanaume acha ww mtangazaji unaeongea pumba unaushahidi mbona hamkuongea kipindi cha matukio
  • @
    @azizaaziza9113منذ 3 سنوات Umbea wako muwe mnayahakikishà ndipo muyafikishe waanďishi km hawa ni hatari sana
  • @
    @shijalameckmpemba4529منذ 3 سنوات Mshezi huyu mwandishi , amekamatwa baba yako alikuwa ana zini
  • @
    @yohanapetro4937منذ 3 سنوات Mama Samia Oye pigakz ili 2heshimiane wote tujue Kama shelia Ipo Nahakuna Alie juu yashelia Sabaya Afungwe miaka 25 Makonda 27 Tena bila dhamana 3
  • @
    @jumamnumbwa9483منذ 3 سنوات Jamani mbona kama naona nchi mbili hizoooooo 1
  • @
    @kennyrogers4734منذ 3 سنوات Tuonyesheni video kama alivyoonyeshwa live kama tetesi msitoe habari za tetesi bc mtasambaza ujinga mitaani em fatilieni mtupe habari za ukweli wadau acheni tetesi 1
  • @
    @georgebenard3923منذ 3 سنوات Ndo maana mlifungiwa vyombo vyenu, waeleze wajinga makonda hana wala sabaya, sisi tunajua iyo ni ile vita ya madawa 2
  • @
    @nivicaspect3597منذ 3 سنوات Mhh. WE UMESIKIA WAPI. INASEMEKANA maana take nini. Pamoja na uwongo wako hongera maana angalau umeanza kuongea KISWAHILI. Kutoka kusema "LAISI" had "RAISI" sio mchezo. 2
  • @
    @mashramadhani1989منذ 3 سنوات Mnaanza vurugu wenyewe mlio madarakani lkn mnawaacha mapapa mnaonea dagaa..wananchi tutawachoka
  • @
    @katapgelvas9803منذ 3 سنوات Pole yake makonda kwakuondokewa na magufuli walikusifiya leo hiiwanasema ulihujumu serikali mwisho wasiku kaburi litawekwa minyororo RIP umemuacha matatani makonda mungu anakuona
  • @
    @zenaabdallah3797منذ 3 سنوات JAMANI SERIKALI TUACHE VISASA KWA VIJANA WETU HAWA VIJANA WAMEKOSA NN?MBELE YA MUNGU.RAIC WETU HAWA NI VIJANA WAKO NI MAJEMBE YA KAZI WAANGALIE KWA JICHO id="hidden7" class="buttons"> LA HURUMA.HIVI WAO WAUE BILA HURUMA KWANI WAO HAWATAKUFA ?HUU NI UONGO NA UZUSHI KUWADHULUMU HAKI ZAO. ....وسعت
  • @
    @samweliclementmakala7381منذ 3 سنوات Mamaaaaa. Uko vzur walinyanyua mabega mmno hao hakuna alie juu ya sheria hongers. Msma samia tengeneza tz mpya lete matumain kwa watznia
  • @
    @dullazero7465منذ 3 سنوات Nilitarajia uyu angekua wa kwanza kukamatwa
  • @
    @msetikebwasi1469منذ 3 سنوات Samia akitaka tumwelewe vizuri basi awakamate wazee wa vijisent na aliyesema kama ni majani mtakula lakini ndege ya rais inunuliwe na ndege ikanunulia mbovu . 1
  • @
    @faustinemavere1450منذ 3 سنوات Hivi nyie waandishi wa habari mna nini na makonda pumbavu zenu mlikuwa wauxa madawa ya kulevya hamjitambui kabisa 1
  • @
    @geraldmosha8068منذ 3 سنوات hizi chaneli zingine cjui mamlaka zinaona au hazioni??? kila TCRA wanasema wanadhibiti mitandao yakijinga km hii lakn bdo tu tunaona wanapost upuuzi
  • @
    @luckygmdegela8477منذ 3 سنوات Ila hizo habari ni za uongo , hayo yote mbona hatukuyaona watu wa dar , waongo nyie na sabaya mme mtengenezea zengwe za ajabu 1
  • @
    @gervasinjawi1639منذ 3 سنوات Kikwete na mtoto wake liziwani wasichwe hapo ndio tutaona sheria ni msumeno maana nao waliiujumu nchi na walishs tenda unyama kuwafanyia kina babu sea,
  • @
    @amanimanase8799منذ 3 سنوات Kamuona makonda mbona kikwete hamuoni huyo raisi ni k
  • @
    @mpingeally923منذ 3 سنوات Sasa samia kwani alikuwepo wapi kipindi icho salikuwa nao hao sasa mbna analeta michongo siyo samia suluhu ndiyo muhusika wa haya mambo yote
  • @
    @nyamizibema6078منذ 3 سنوات Makonda hakuwa hivyo , acheni kuzua Mambo, kawaida mchapakaxi hapendwi,we mama hao unaowatesa leo ,ni watoto wa wanawake wenzio,!!!! mnaomchukia /mnaowachukia ndiyo wapiga dili?? Wekeni chama chenu rehani
  • @
    @yusuphfesto1931منذ 3 سنوات Hakuna kitu hapo sema ni mafisadi wamepata mwanya wa maovu tu,Jpm njoo uone mambo yashabadilika utatoa machozi na wanyonge wote
  • @
    @alexkabale8772منذ 3 سنوات Nikweli makonda alimteka dewiji ahukumiwe2 mungu anamwona
  • @
    @husseinkinduu9661منذ 3 سنوات Ni sahihi kabisa kwa kinachoendelea, ifikie wakati ambapo kila mtu abebe mzigo wake mwenyewe. Kama alikosea ni lazima sheria ifuate mkondo wake bila kuangalia id="hidden11" class="buttons"> kuwa alikuwa na wadhifa gani hapo nyuma. Ni vyema wote waliokuwa wakikosea kwa kuwa mgongoni mwa watu wasakwe na kupata stahili zao. ....وسعت
  • @
    @shizaarfred4059منذ 3 سنوات Huu ni mpango wa kuteketeza wanaufunzi wa JPM tusubili kuona watuhumiwa wanaongezeka mfano kama allyi happy na chalamila maan ndo wanafunzi imala wa jpm ila machozi ya watz hayata wacha salam 1
  • @
    @jenniphermwakasita6830منذ 3 سنوات Hiserikali itakua ni ya kijinga iyache kukamata walio kwapua mamlioni hadi waziri ameingilia kati ukamate wakina Makonda wasikua na faida kweli mpumbavu ushangilia uninga
  • @
    @simonlulenga7062منذ 3 سنوات Bashite uwaruke usikubali kuwa hilo jina la Makonda ni la kwako. We waambie wamtafute Makonda wewe unaitwa Bashite.