المدة الزمنية 4:57

Ee Bwana Unifadhili - Joseph Makoye [Kwaya ya Familia Takatifu Kanisa Kuu la Mt Yosefu - DSM]

27 666 مشاهدة
0
140
تم نشره في 2019/02/14

Ee Bwana Unifadhili ni utunzi wake Marehemu Joseph Makoye ukiwa ni moja kati ya tungo zake nyingi za Dini. Nyimbo hii ina lengo la kutafakari fadhili na Ukuu wa Bwana kwa wanadamu. Ee Bwana unifadhili maana nakulilia wewe mchana kutwa kwa maana wewe Bwana u mwema umekuwa tayari kusamehe na mwingi wa fadhili kwa watu wote wakungojao. wimbo huu umeimbwa na Kwaya ya Familia Takatifu Kutoka Kanisa Kuu la Mtakatifu Yosefu (Saint Joseph's Cathedral) Jimbo kuu la Dar es Salaam na kurekodiwa (shooting) na JUGO MEDIA. Wasiliana nasi kupitia namba za simu 0755 816669/0757560764

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 27