المدة الزمنية 6:3

Staajabika na ndege aina ya TAUSI, Ndege mwenye kuvutia pasipo Mfano

بواسطة NIANIMAARIFA
2 504 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2021/03/12

Tausi ni ndege wakubwa, Dume ana rangi ing’aayo ya majani au buluu na mkia wake ni mrefu mwenye rangi nyingi. - Jike ana rangi inayofifia pengine kahawia tu. Jinsia zote zina ushungi. - Dume hukoga mkia kwa ubembelezi. - Hula matunda, maua, wadudu na watambazi. Hutaga mayai matatu hadi manane ardhini. Ungana na msimulizi katika kuwafahamu baadhi ya watu husika:- Usisite Ku-Comment na Kushare, pia ku-like. - Facebook: https://web.facebook.com/nianimaarifa� ��​ - Instagram: https://www.instagram.com/nianimaarifa/� �� - Youtube: /c/NIANIMAARIFA

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1