المدة الزمنية 29:48

NGUVU YA KUFUNGA NA KUOMBA

بواسطة Ushuhuda wa Injili
54 891 مشاهدة
0
384
تم نشره في 2018/05/18

Ujumbe huu nimehubiri asbh ya leo kwenye Redio Mashujaa 89.5 Fm Lindi. Unaweza kubarikiwa na ujumbe huu. Ijue nguvu ya kufunga na kuomba. Kama hujawahi ku-subscribe nakuomba ufanye hivyo. Kila siku alfajiri hatuachi kuweka ujumbe wa Neno la Mungu kwenye Channel hii. Hivyo uki-subscribe yatakufikia. Mungu aliye hai akubariki Kwa maombezi, unataka kupokea uponyaji au kufunguliwa kwenye kifungo chochote kile, ushauri au unatamani ujitoe kikamilifu kumtumikia MUNGU na UNATAKA KUMPOKEA BWANA YESU AWE BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YAKO NA AKUSAMEHE DHAMBI ABADILISHE MAISHA YAKO NA TABIA MBAYA ZILIZOKUSHINDA basi wasiliana nasi kwa msaada wa Roho Mtakatifu tukusaidie . Ukipiga simu isipopokelewa tafadhali acha sms. Unaweza pia kufuatilia mafundisho kwa njia ya facebook www.facebook.com/UshuhudawaInjili Like page hiyo ili uwe unafuatilia mafundisho yetu kila siku. Pastor Shagihilu +255 758 443 873

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 102
  • @
    @user-sj9kp9ft3fقبل 11 أشهر Amina mtumishi Mungu akuinue !!huwa ninabarikiwa na mafundisho yako!! 1
  • @
    @rosemvamba4400منذ 5 سنوات Ameen Mungu azid kukubariki uzidi kutuombea mtumishi wa Mungu 4
  • @
    @tamaraeliz7114منذ 5 سنوات Amen Mtumishi wa Mungu. Baba yangu wa Mbinguni anisaidie 3
  • @
    @kingmama9371منذ 6 سنوات Nimebarikiwa sana na maombi yako Mungu akubariki, akutie nguvu ,akulinde na yule mwovu, akulinde mpaka mwisho, akupe kuuona ufalme wa mbinguni, Amen 9
  • @
    @kingmama9371منذ 6 سنوات Amen mtumishi wa Mungu ubarikiwe saana Mungu akutie nguvu katika kutangaza neno lake dam ya Yesu ikufunike wema wa Mungu ukuzunguke Amen 2
  • @
    @dilurai4204منذ 4 سنوات Mungu akubariki akutie nguvu, hekima na maarifa, unapotubariki nasi 2
  • @
    @furahaundji2382منذ 5 سنوات Amen nimebarikiwa Mungu akuzidishea kwakazi unayo mtumikia 2
  • @
    @bwengebosco8328منذ 4 سنوات Asante nabarikia na mafundisho:kufunga na kuomba 1
  • @
    @nancymsangi1351منذ 5 سنوات Amina mtumishi nikitaka kujua maombi zaidi nakupataje 1
  • @
    @elisaarobert9021منذ 6 سنوات Amen MUNGU akubariki uzidi kutuinua kiimani 2
  • @
    @tupacshakur9660منذ 4 سنوات Amen God Bless you Man of God watching from Mombasa kenya 1
  • @
    @samwelleonard3056منذ 4 سنوات Mtumishi ninabalikiwa Sana mungu akuzidishe 1
  • @
    @judygathoni5861منذ 6 سنوات Nabarikiwa Sana namahubiri.haya manake mm husoma bible rakini cijui kuteua inavio sema sasa mm humpeda pastor kwakua anarezea Zaidi 2
  • @
    @janethtegera9139منذ 6 سنوات Amen,, mtumishi msichoke MUNGU atawalipa msipozimia moyo
  • @
    @judygathoni5861منذ 6 سنوات Mgu mkubuke pastor anavio tuobea mema.pia Na yy Mgu usimpite mpe nguvu naneema yakazi anayo fanya amen 2
  • @
    @felichinakihaga509منذ 5 سنوات Mtumishi mi nina shida naomba masiliano yako 1
  • @
    @madeleinemb6727منذ 6 سنوات Nita funga lundi, j'espère arriver 2
  • @
    @bonifasiemanueli2708منذ 6 سنوات hongera mtumishi wa Mungu kwa mahubili motomoto binafsi nimebalikiwa sana niko kgm 4
  • @
    @joanna_kitchens6402منذ 6 سنوات Mungu akubariki saana nimebarikiwa saana Leo Mtumishi 2
  • @
    @veronicafabian8418منذ 4 سنوات Amina mtumishi. ..funga yangu ya juzi hakika nimesikia sauti ikinisemesha .na kunielekeza ..funga ina nguvu sana .MUNGU aliekuta azidi kukuinua zaidi .vita ni kubwa lakini usiogope 2
  • @
    @ceciliawanga1248منذ 5 سنوات Mimi ni mgeni katika uokovu, naomba kujua wakati mtu anafunga anafaa kula chakula gani na anafaa kula saa ngapi? 2
  • @
    @margaretkamau9220منذ 3 سنوات Mtumishi niombee niliangizwa na mungu kufunga kwa siku tisini lakini mahali nafanya kazi sio mahali pazuri ninafuatiliwa sana kujulikana kama nakula chakula id="hidden2" class="buttons"> au hapana na wakijua sili chakula wanaanza kunitafutia makosa na maneno ndio waningombanishe kusudi nikasirike waniharibie siku, kwa kweli najikaza sana kwa maombi nisije nikakasirika lakini nahitaji nguvu zaidi, ....وسعت
  • @
    @euniceeunice7680منذ 5 سنوات Mungu nawe pastor. Shida yngu nipo nchi za nje naishi na mtu ambae sio mume wngu lkn nimeamua kumludia mungu na nishaweka ahadi nikiludi Tanzania nitamtumikia id="hidden3" class="buttons"> mungu ipasavyo.uwa nafunga na kuomba na nimeandika ahadi zangu ambazo nitazifanya nikifika Tanzania jee ivi navyo funga na bado naishi na mtu ambae sio mume wngu mungu anaweza nisikia kweli na kunisamehe zambi zangu?naitaji msahada wko mchungaji kwa ili.akika naitaji kumtumikia mungu na kujibadilisha maisha yngu namuitaji yesu na naitaji ukuu wke kwangu. ....وسعت 2
  • @
    @carolnyakanokenya3494منذ 6 سنوات barikia mtumishi wamungu zidi kuneza mema ya bwana 3
  • @
    @thewellministry9008منذ 5 سنوات Tuombee nchi yetu tuache maombi ya ubinafsi.. kuna emergence nyingi nchini hapa acheni shallow mind ..Kuna haja ya kufunga na kuomba kwa kila jambo ..Lakini id="hidden4" class="buttons"> sasa please
    .Kufunga na kuomba kunahitajika sana kwa ajili ya nchi yetu.
    NGUVU hii ya kufunga tumia kwa ajili ya nchi utaona mambo makubwa kwa ajili ya nchi kisiasa na kanisa la sasa ..Je unayoyaona yaani mambo yanayoendelea katika nchi na kanisa ni sawa?Mchungaji mtumishi asante kwa somo hili .wakifunga basi.Himiza watu wasikie kutoka kwa Mungu kuhusu hatma au maisha au future ya nchi yao..Asante sana
    ....وسعت 1
  • @
    @carolnyakanokenya3494منذ 6 سنوات nimebarikia hata Leo Niko kwa maombi yakufunga Leo nisiku yatatu 2
  • @
    @margaretkamau9220منذ 3 سنوات Mtumishi niombee niliangizwa na mungu kufunga kwa siku tisini lakini mahali nafanya kazi sio mahali pazuri ninafuatiliwa sana kujulikana kama nakula chakula id="hidden6" class="buttons"> au hapana na wakijua sili chakula wanaanza kunitafutia makosa na maneno ndio waningombanishe kusudi nikasirike waniharibie siku, kwa kweli najikaza sana kwa maombi nisije nikakasirika lakini nahitaji nguvu zaidi, ....وسعت
  • @
    @euniceeunice7680منذ 5 سنوات Mungu nawe pastor. Shida yngu nipo nchi za nje naishi na mtu ambae sio mume wngu lkn nimeamua kumludia mungu na nishaweka ahadi nikiludi Tanzania nitamtumikia id="hidden7" class="buttons"> mungu ipasavyo.uwa nafunga na kuomba na nimeandika ahadi zangu ambazo nitazifanya nikifika Tanzania jee ivi navyo funga na bado naishi na mtu ambae sio mume wngu mungu anaweza nisikia kweli na kunisamehe zambi zangu?naitaji msahada wko mchungaji kwa ili.akika naitaji kumtumikia mungu na kujibadilisha maisha yngu namuitaji yesu na naitaji ukuu wke kwangu. ....وسعت 2
  • @
    @thewellministry9008منذ 5 سنوات Tuombee nchi yetu tuache maombi ya ubinafsi.. kuna emergence nyingi nchini hapa acheni shallow mind ..Kuna haja ya kufunga na kuomba kwa kila jambo ..Lakini id="hidden8" class="buttons"> sasa please
    .Kufunga na kuomba kunahitajika sana kwa ajili ya nchi yetu.
    NGUVU hii ya kufunga tumia kwa ajili ya nchi utaona mambo makubwa kwa ajili ya nchi kisiasa na kanisa la sasa ..Je unayoyaona yaani mambo yanayoendelea katika nchi na kanisa ni sawa?Mchungaji mtumishi asante kwa somo hili .wakifunga basi.Himiza watu wasikie kutoka kwa Mungu kuhusu hatma au maisha au future ya nchi yao..Asante sana
    ....وسعت 1