Mchanganyiko wa Nyama
Nyama ya kusaga 1 kg
Vitunguu vya kusaga 4
Vitunguu swaumu punje 4
Majani ya giligilani
Chumvi vjk 2 vya chai
Giligilani kavu vkj 2 cha chai
Pilil pili Manga kjk vjk 2 vya chai
Sosi
Mafuta 1/2 Kikombe
Vitunguu 2
Nyanya za kusaga 4
Tomato Paste vjk 2 vya Chakula
Kitunguu swaumu punje 2
Chumvi vjk 2
Binzari ya Manjano vkj 2 vya chai
Maji vikombe 5
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 0
مقاطع الفيديو ذات الصلة على JINSI YA KUPIKA MCHUZI WA KEBAB: