المدة الزمنية 30:2

Christian Testimony Video | Kuishi kwa Kudhihirisha Mfano Kidogo wa Mwanadamu Hakika Ni Vizuri

2 500 مشاهدة
0
158
تم نشره في 2020/06/05

Christian Testimony Video | Kuishi kwa Kudhihirisha Mfano Kidogo wa Mwanadamu Hakika Ni Vizuri Kuishi kwa Kudhihirisha Mfano mdogo wa Mwanadamu Hakika Ni Vizuri ni ushuhuda wa Mkristo anayepitia hukumu na kuadibiwa na maneno ya Mungu. Mhusika mkuu anachukua wajibu wa kuwa mwelekezi wa filamu katika kanisa lake na baada ya kuona kazi yake ikipata matokeo kiasi, anaanza kuhisi kuwa yeye ni mtu mwenye kipaji muhimu. Tabia yake inazidi kuwa ya kiburi: Kila wakati anataka kuwa na kauli ya mwisho katika wajibu wake na anakataa kuyasikiliza mapendekezo ya kina ndugu. Yeye pia anawazungumzia wengine kwa njia inayomwonyesha kuwa bora, anawazuia ndugu zake na kuvuruga kazi ya kanisa. Baada ya kuondolewa kutoka katika wajibu wake, kupitia kusoma maneno ya Mungu na kutafakari kujihusu, anapata ufahamu kiasi kuhusu asili yake ya kishetani ya kiburi na majivuno, na yeye si fidhuli tena kama alivyokuwa hapo awali. Anapokabili maswala, anatafuta ukweli kimakusudi na kusikiza maoni ya wengine, na mwishowe anaishi kwa kudhihirisha mfano kidogo wa binadamu. Yeye mwenyewe anapata uzoefu kwamba hukumu ya Mungu na kuadibu Kwake ni upendo wa kweli wa Mungu na wokovu Wake kwa wanadamu. Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1 App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528 Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0