المدة الزمنية 12:12

CCM WATOA TAMKO KUMUANGUSHA MAKONDA KIGAMBONI/WENYE TAMAA TUNAWAKATA/ALIKUA NA MADARAKA AKAACHA

بواسطة Crest Tv Tanzania
134 270 مشاهدة
0
546
تم نشره في 2020/07/18

CCM WATOA TAMKO KUMUANGUSHA MAKONDA KIGAMBONI/"WENYE TAMAA TUNAWAKATA/ALIKUA NA MADARAKA AKAACHA" #PAULMAKONDA #CHAMACHAMAPINDUZI #CCM #MAGUFULI #BASHIRUALLY

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 194
  • @
    @charlesnyanda1646منذ 4 سنوات Nionavyo mimi. mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya ni mwakililishi wa Rais katika maeneo yao ya uwajibukaji. Wanayemwakilisha si muda mrefu ataingia katika id="hidden1" class="buttons"> kinyang'anyiro cha kupata ridhaa ya watanzania kwa mara nyingine. Pamoja na kuwa pengine kuna katika kila dalili za kupata ridhaa tena, lakini kuwalazimisha anaowawakilisha kuendelelea kung'ang'ania katika nafasi za awali ni sawa na assumptions kuwa wabaki kumsubiri kumwakilisha tena atakapopata ridhaa hiyo. mi nadhani hiki ni kipindi cha kila anayetaka kupambana aruhisiwe kupambana, ni likishapita hili la uchaguzi, safu itapangwa upya. Na hata huyo Makonda akianguka kwenye Ubunge bado awe na nafasi ya kurudia nafasi yake kama atakuwa bado anaonekana anakidhi ....وسعت
  • @
    @edwardmakonge3371منذ 4 سنوات Why makonda??sababu za wakuu wa mikoa na wilaya na wengine kugombea.kwanza ni haki yao,pili nafasi ya kutegemea kuteuliwa haiaminiki maana inategemea utashi id="hidden2" class="buttons"> wa anayeteua ameamkaje siku hiyo.mwisho mheshimiwa magufuri akishinda ndio itakuwa awamu yake ya mwisho.sasa wateule wake wanajiandaa kisaikolojia ili kujiweka salama kisiasa,maana kiongozi ajaye baada ya magufuri atakuja na timu yake.mimi ninavyoona waachiwe wagombee na wananchi ndio watakao amua.kwani kupanga na kuchagua. ....وسعت 3
  • @
    @mzeewamadodoso1816منذ 4 سنوات Makonda Mwenyezi Mungu akutetee nimeamini unakipaji kikubwa na unapendwa sana ndio Maana wenye wivu wanateseka 6
  • @
    @stephanokanyika6321منذ 4 سنوات Mimi sio mwanasiasa lakini nina maoni haya makonda ni kiongozi mzuri ndio maana hata mh.rais inamuuma sana hili hila kama hatopita kuwa mgombea ubunge id="hidden3" class="buttons"> wa jimbo kwa tiketi ya ccm mh.rais makonda kwa time yako muweke awe waziri wako wa kuteuliwa kwa zile nafasi kumi za rais makonda ateuliwe kuwa mbunge mimi nashangaa sana wana ccm hasa viongozi wanavyo muongelea mh.makonda kwanza ni kiongozi shupavu na jasiri mwenye maamuzi magumu ni mfano wa kuigwa ccm munamuachaje kiongozi uyu makini kwa taifa letu kama unakubaliana na mimi kuhusu hili gonga like hapa hili tufikishe ujumbe kwa viongozi wa ccm watambue hili ....وسعت 4
  • @
    @nazarenajoseph2695منذ 4 سنوات Tunashukuru katibu mkuu lakini watu wanajisahau kutenda haki Mungu awasaidie. 2
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Apo chacha kazi ipo ,m,mungu ibariki Tanzania
  • @
    @eliaskyejoمنذ 4 سنوات Safi sana ni maneno ya kujengq sana kwa watia nia.
  • @
    @kimsaid7643منذ 4 سنوات Acheni kumwandama Makonda sisi tumeamua akipitishwa tu huyo ndio mbunge wetu over. 19
  • @
    @khadijacharles2433منذ 4 سنوات Jamani acheni kimuandama makonda, aya wapi kaongelewa he sasa tutamchagua makonda kigamboni kwa kishindoooooo 1
  • @
    @charlesmpemba9387منذ 4 سنوات Mbona mnamuongelea sana makonda wakati rais hajamuongelea ? 3
  • @
    @awadhirajabu6833منذ 4 سنوات Makonda Nimtanzania Yuko Na Aki Ya Kugombea Cheo Chochote Kikatiba Makonda Yuko Vizuli Agombee Na Kama Ubunge Ataupata Mchana Kweupe Ndani Ya Jiji La Dar 3
  • @
    @dicksonaroka6961منذ 4 سنوات Du Mkuu wangu wa mkoa tulitamani sana kukuona bungeni sisi kama wengne huku chini lakin kwa maneno haya itoshe tu kusema mh. ingawa itatuumiza sana kwakweli kama watakukata jina.
  • @
    @johanesjohn8471منذ 4 سنوات Wakati ukifika umefika , time ya makonda imefika so tumwacheni ang'areee 6
  • @
    @husseinkarim6745منذ 4 سنوات Elewa mnafanya makosa ndio watu kwenda chama kingine. Inabidi mpe kila msaada ashinde. Kuna wengine watachukua nafasi zao. 2
  • @
    @constanciapeter2497منذ 4 سنوات Madaktari Bingwa nao wanachukua fomu.. hatimaye tunaelekea kukosa Hawa watuu 1
  • @
    @dnaofgodtv4873منذ 4 سنوات Hulka yake ilishawakarahisha hamkujua anatokaje ss gap limepatikana, anaponaje?
  • @
    @timothalex3249منذ 4 سنوات Mwacheni makonda afate moyo wake mbna kila kinachosemwa mnamlenga makonda 7
  • @
    @samwelhiinyamhangahiileosi1060منذ 4 سنوات Nyie ccm acheni kumsakama makonda amefanya kazi kubwa Sana mpeni haki yake 1
  • @
    @salumabdallah2856منذ 4 سنوات Kugombea Ubunge ni haki ya kila Mtanzania. Bila shaka yeyote atakayeitishwa ktk kura za maoni kama hatokuwa na makando kando atapitishwa kupeperusha bendera ya Chama chake.
  • @
    @edgarmbehikya8150منذ 4 سنوات Kumbe Bashiru hujanizidi Sana. Hata mi kwenye kata yetu Mtendaji alikuwa hivyo akishirikiana na Bwana Afya. Enzi hizo sijaziona tena. Sasa hivi unatembea nyumba kadhaa hazina chanja za vyombo. Umenikumbusha mbali Bashiru.
  • @
    @jacobmigera2626منذ 4 سنوات Wana nchi tusimame Kwa pamoja tupinge kiwango cha mishahara na posho wanazo pokea Wabunge; kama kweli niwazakendo na wanawapambinia wana nchi wao wawe id="hidden9" class="buttons"> tayar kupokea kiasi kidogo cha mshahara ili pesa ikafanye Maendeleo;vijijini Watu wanaishi kwashida Hawa nufaiki na resources za nchi yao; huku Mbunge mmoja anapokea millions; let's fight for equality; ....وسعت 21
  • @
    @phonesphone401منذ 4 سنوات Ni kweli huwezi ukaacha cheyo kama kile Ahaaa hii kweli ni tamaaaaaaa
  • @
    @nehemiaisakwisa8604منذ 4 سنوات Punguzeni mshahara wa wabunge ili watu wauone usawa 2
  • @
    @erodeshayo8672منذ 4 سنوات Kwanza hii video katengeneza huyu alikua anaongea hii ishu akiwa amekaa kwahiyo nyie acheni ushenzi huu tafuteni habar sahihi mtafeli bora mngetoa sauti tu ikaskika Dah 5
  • @
    @sheryphamwenevalley6124منذ 4 سنوات Kubwa lililopo mpk muda huu linalojiri itakuaje wabunge.walipwe mamilion wakati watu muhim km.madoctor waalim marubani mishara midogo, ss lazima wayia id="hidden11" class="buttons"> nia waongezeke kila mtu anataka pesa, na iweje kwenye ubunge kuwe hakuna ukomo huo ni kubebaba, watu wamestuka ndio mana watu wengi wanataka kuingia bungeni kupiga pesa ....وسعت
  • @
    @roselugendo6943منذ 4 سنوات Mwacheni makonda atimize ndoto zake. Cheo cha ubunge ni cha tofauti, unachaguliwa na wananchi, cheo cha heshima. Mkuu wa mkoa unachaguliwa na watu wachache, id="hidden12" class="buttons"> hauchaguliwi, anateuliwa. Makonda mbele kwa mbele. Wacha awahi akiwa kijana. Tuongozwe na vijana. Tunataka mawaziri vijana. ....وسعت
  • @
    @EngRoby-xh2kqمنذ 4 سنوات Mbona hakuna sehemu kamwongolea makonda?
    Mwache apambane ni haki yake.
    Hacheni kumwandama makonda bwana.
    23
  • @
    @wazirhaji6913منذ 4 سنوات Tusiwe km mbuzi kutaka majani yambali na wakati alitakiwa ale majani ya karibu kwanza baadae itafika wakati atakwenda kufungwa kwenye yale majani atayoyataka atayala kwa utuo bila wasi
  • @
    @jenyyusuph4973منذ 4 سنوات Mmemtia kijicho sijapenda mme wababaisha wapiga kula
  • @
    @mathamwamwaja3698منذ 4 سنوات Huu ni uchu wa madaraka ,watanzania turidhike na vyeo vyetu jaman 1
  • @
    @jamilasaid2718منذ 4 سنوات Walimu wote wa kigamboni watampa kura za ndio kama wanajua kulipa fadhila. Kawaokoa nauli za kila siku kwenye daladala
  • @
    @salumjumaruhaga2513منذ 4 سنوات Posho Tu ya siku tatu ni mshahara wwa mtu ,bado mshahara wa mwezi
  • @
    @martinesizya234منذ 4 سنوات Hii video mmeedit, maneno na picha viko tofauti, mwacheni makonda afanye yake, acheni wivu, mnaroho mbaya sana, waliotia nia ni wengi mbona makonda tuuu kila siku, acheni ujinga 3
  • @
    @japhetdaud3781منذ 4 سنوات Jamaani Wana CCM , Makonda kama alipngoza majimbo yoote Dar, kigamboni itakuwa Hon Kong ya bongo
  • @
    @allimsafari4896منذ 4 سنوات Hii ni haki yao kikatiba kwa hiyo waachieni wananchi waamue ni yupi wanamtaka vinginevyo mkawakata walio chaguliwa na wananchi mjue mtapoteza majimbo na id="hidden15" class="buttons"> sijui hicho chama kitakuwa kimefadika ni hapo hilo Bashiri ulijue mapema. Mkiminya mtu atatokea dirishani atakwenda upande wa pili na atashinda.kauli ya Magufuli hiyo .na imewahi kutokea sana na mnakumbuka.acheni watu wawe huru na demokrasia ichukue nafasi yake.uonevu na chuki haujengi una bomoa chama. ....وسعت 3
  • @
    @nehemiaisakwisa8604منذ 4 سنوات Kumbuka Kikwete tokea 1995 alikua anataka urais usipojitambulisha ndoto yako hakuna anae weza kukuotea ni bora Makonda ameonyesha kua hajali kupoteza cheo lkn anajua ninini anatakiwa kukifanya maana kila hatua ni njia
  • @
    @kajembekimata6782منذ 4 سنوات Maana inamaana kwaasiyejua maana ya maana!?
  • @
    @mashramadhani1989منذ 4 سنوات Makonda kiongozi shupavu na anaweza kabisa kuwa mbunge imara ..mm nitawaona ccm imara sana mkimteua makonda kwa maslahi mapana ya maendeleo ya taifa. 7
  • @
    @habibamhina9075منذ 4 سنوات Makonda tunakuhitaji Sana kigamboni,wewe unaelewa mahitaji ya watu,mungu akunyooshee njia,tumechoka kuchagua watu wabinafsi,utakuta hospital hazina madkitar id="hidden17" class="buttons"> katika Jimbo lake yeye anapeta na kuijenga maghorofa yake,viongozi acheni kumsakama makonda,,ni haki yake,kuchagua na kuchaguliwa ....وسعت
  • @
    @imeldakahyoza2225منذ 4 سنوات usiogope pambana naba nafunga kwa kusali.mungu akupe wepesi.
  • @
    @hamismgogo5423منذ 4 سنوات Hii vidio NI ya kubambika haiendani na sauti acheni usanii
  • @
    @kelvinmtavangu8299منذ 4 سنوات JAMANI, RUSHENI CLIP SAHIHI. MBONA HIVI. KWANINI KUMTAJA ALIYEKUWA MKUU WA MKOA KUCHUKUA FOMU. MWANDISHI ASEME UKWELI. REKEBISHA HILI. 3
  • @
    @kosovoawadh1771منذ 4 سنوات Sisi wannchi wa kigamboni tunamtaka makonda Sana tunampa miai kwa Mia muacheni
  • @
    @abdulkhamis1170منذ 4 سنوات Makonda haki yake muacheni apambane hatimize ndoto yake
  • @
    @omanseeb8609منذ 4 سنوات Namuombea mung apite ubunge na aje awe raisi anafaa sana tutapata maendeleo na tutakula bata 1
  • @
    @wazirhaji6913منذ 4 سنوات Tatizo lao wanatamaa ya madaraka makubwa haraka
    Ustaamilifu wako ndiyo mafanikio mazuri kwako
  • @
    @charlesmpemba9387منذ 4 سنوات Yaaani sisi tupo tayari kuandamana kigamboni msipomteua makonda.tunahitaji maendeleo sasa.najua akipitishwa 99% atachaguliwa 2
  • @
    @imeldakahyoza2225منذ 4 سنوات wanaojitambua watampa kula za kishindo.maana huyo ni mkombozi.mimi nampenda maana kama sio yeye mateja wangekuwa wengi.mungu akupe wepesi makonda usiogopee.
  • @
    @khalidballeth5957منذ 4 سنوات Wahenga walishasema
    "Usipo sikia la Mkuu
  • @
    @nichorausrichard3469منذ 4 سنوات Kwan makonda kakosea nn Sasa mwacheeen anakubalika
  • @
    @eneamligo7919منذ 4 سنوات Makonda anafanya kazi vizuri mpitisheni jamani
  • @
    @hamidsalim3448منذ 4 سنوات Mh Katibu. Nakupongeza sana juu ya khotuba yako. Ninaomba nipate mawasilano yako Nina mawili matatu niongee na wewe juu ya mwanachama mmoja ambae sii muadilifu. id="hidden19" class="buttons"> Mimi salim.quraish55@
    Nikutakie kazi njema ktk ujenzi wa Chama.
    ....وسعت
  • @
    @mulangilakabwarebenson5128منذ 4 سنوات KUA KIONGOZI SIKULENGA MSHAHARA
    IYI NDIO TATIZO LA AFRIKA KUTAJIRIKA MAPEMA BILA KUKOMAA.
    CCM HAIJATENGA MTU ILA NILAZIMA VIONGOZI WATAMBUE KWAMSTARI WA MBELE SHERIA INASEMA NIN
  • @
    @ommygoldene3636منذ 4 سنوات NAOMBA NIKUALIKE
    Habari naitwa Hero msanii wa muziki naomba nikualike kutizama na kusapoti video ya mziki wangu mpya nao uzindua leo rasmi kwa id="hidden21" class="buttons"> ku SUBSCRIBE naomba SUSCRIBE yako shabiki wangu GUSA hapa kuona
    ....وسعت 1
  • @
    @saidali4371منذ 4 سنوات huyu mtoa post msenge sana maana hii clip haindani kabisa na hayo maneno. 2
  • @
    @matukiosafaris6508منذ 4 سنوات Mwacheni Makonda ana haki ya kugombea na tunamwihitaji kigamboni
  • @
    @magangamdogo3301منذ 4 سنوات ivi wa Tanzania mtabadilika lini ? Wanna ccm mbona sasa mnakua nakelo mtu anapo kose msihukum kwakosa Hilo muangalieni huko anapo toka kafanya mema yepi hamtaki kuangalia mna shikili kosa tu nakuhukum ndonini sasa
  • @
    @clevermngao7565منذ 4 سنوات Mamlaka ya Mawasiliano Tanz fuatilia baadhi ya mitandao inayotoa habari za uongo/ fake! Clip hii haiendani kabisa na kinachoongelewa hapa!
  • @
    @josephmasawe3588منذ 4 سنوات You Tube is doing well in dissemination of information to their customers.
  • @
    @emmaticopetro1158منذ 4 سنوات Hapa anawaambia watu wote siyo makonda tu, sema makonda amekuwa gumzo
  • @
    @stephanomtatiro6221منذ 4 سنوات Huku kwetu biharamulo wamelamba hela njoo mwoene
  • @
    @ukk9798منذ 4 سنوات Mti wenye matunda unapigwa mawe, huo ni wivu tu. 1
  • @
    @polebugalama9179منذ 4 سنوات Nyinyi makonda hammfahamu niulizeni Mimi tawaambi A-Z
  • @
    @erickmageta504منذ 4 سنوات Tuachani kuchokonoa haki za kidemokrasia.