المدة الزمنية 24:21

Christian Testimony Video | Buriani, Mtu Mwenye Kujipendekeza

903 مشاهدة
0
103
تم نشره في 2020/05/30

Christian Testimony Video | Buriani, Mtu Mwenye Kujipendekeza Buriani, Mtu Mwenye Kujipendekeza! ni ushuhuda wa Mkristo anayepitia hukumu na kuadibu kwa Mungu. Kwa sababu ya elimu yake ya shule na ushawishi wa jamii, mhusika mkuu alichukulia maoni kama vile “Harmoniousness is a treasure, forbearance is a virtue,” “Keeping silent on the faults of good friends makes for a long and good friendship,” and “Though you see wrong, it’s best to say little” kama kanuni za maisha yake. Baada ya kukubali kazi ya Mungu ya siku za mwisho, aliendelea kuingiliana na ndugu zake kulingana na sheria hizi za kuendelea kuishi. Alipowagundua viongozi wa uwongo kanisani, aliogopa kuwafichua na kuwaripoti kwa sababu aliogopa kuwakosea, akisababisha madhara katika kazi ya kanisa. Kupitia hukumu na ufunuo uliokuwa katika neno la Mungu, aligundua kuwa kile alichofuatilia ni falsafa za kishetani za maisha, na kwamba kuishi kulingana na falsafa hizi za kishetani, bila kujali alionekana kuwa mpole au mkarimu kwa nje jinsi gani, bado alikuwa mbinafsi, anayestahili dharau, mlaghai, mjanja na mwenye kujipendekeza. Kisha akamwomba Mungu na katubu. Baada ya hapo, alipotekeleza wajibu, alitenda ukweli na kuwa mtu mwaminifu kimakusudi. Tafadhali kumbuka: Video zote kwenye idhaa hii zipo ili zitatazamwe bila malipo. Kupakia, kubadilisha, kupotosha, au kudondoa video zozote kutoka katika mtandao wa YouTube wa Kanisa la Mwenyezi Mungu hakukubaliki kwa mtu yeyote au kikundi chochote bila kupata idhini kwanza. Kanisa la Mwenyezi Mungu lina haki ya kufuatilia njia yoyote na njia zote za kisheria inapotukia kwamba kuna ukiukaji wowote wa sheria hizi. Tafadhali wasiliana nasi kabla ili ufanye maombi ya usambazaji kwa umma. Injili ya Kushuka kwa Ufalme: https://sw.kingdomsalvation.org/ Kanisa la Mwenyezi Mungu: https://sw.godfootsteps.org/ Unakaribishwa kupakua programu ya Kanisa la Mwenyezi Mungu. Google Play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.godfootsteps.thechurchofalmightygod&hl=sw App Store: https://itunes.apple.com/ke/app/the-church-of-almighty-god/id1166298433 CAG Hymns - Nyimbo Mpya za Ufalme App Google play: https://play.google.com/store/apps/details?id=org.GodFootSteps.NewSongsOfTheKingdom&hl=sw&pli=1 App store: https://apps.apple.com/ke/app/id1447653528 Barua Pepe: contact.sw@kingdomsalvation.org

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0