المدة الزمنية 2:16:42

KINARA WA KUSABABISHA AJALI ATOA SIRI NZITO ZOTE HASA KUHUSU MATAJIRI WA MALI

بواسطة Robert Tv Tanzania
1 881 640 مشاهدة
0
7.7 K
تم نشره في 2019/07/16

Please SUBSCRIBE to Robert Tv Tanzania official YouTube channel, Anointed Man Of God Pastor Robert Raphael: /channel/UCx_7vLZHI5UBm__PjE-kuvQ #RobertTv #RobertRaphael #PastorRobertRaphael

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1496
  • @
    @mosesdavid63175 years ago Unajua watu wengi hawamini uwokovu lakini uwokovu upo na maana yake Mungu umutafuta mwanadam but time is coming when everyone will be thirsty for salvation au siku itakuja kila mutu hatakua na kiu ya ukovu, so brothers and sisters believe in the Lord Jesus Christ and His Holy spirit, Amen. ... 9
  • @
    @carolynnafunawanyonyi81062 years ago Hallelujah, mungu wetu ni mkuu sana kuliko makuu wote wa kuzimu 3
  • @
    @user-us6ze8bz3u3 years ago Pole Sana kaka..Hawa majini wapo wameumbwa ..Na wapo Kwa Dini zote..ola tusimami Na Omani zetu..Kwa mungu pekee 1
  • @
    @yvonnevihenda99903 years ago A kenyan watching from saudi.....point noted from the testimony be blessed all 18
  • @
    @sarahdaniel47923 years ago Nimebarikiwa sana na kujifunza mengi katika huu ushuhuda Yesu azidi kutufungua na kutuvuta karibu nae siku zote.... AMEN!! 6
  • @
    @mamajoely73813 years ago Kwa ushuhuda huu nimejifunza kitu asante kwa ushuhuda mana umenifumbua mambo mengi ambayo sikuyajua ee mungu niongoze🙏🙏🏻🙏🙏 3
  • @
    @catholichymnsandsongs10634 years ago Nitamtegemea Mungu tu kwa maisha yangu yote,Mungu inua imani yangu juu yako ee bwana Mungu wa majeshi.Amina. 5
  • @
    @sakwacshimakabhai98174 years ago Pastor Robert,
    Nashukuru Mungu kunifunilia huu ujumbe,ingawa sasa hivi ni mwaka moja. Tukeshe kwa kuomba, Mungu ni wa rehema. Pastor,tuombe pamoja, Amen 😘🙏
    4
  • @
    @alfredfuteh5734 years ago Bwana asifiwe.Ushuhuda wa Joel umepenya moyo wangu. Naomba kuombewa maaana mengine yamenigusa sana. 6
  • @
    @adhiambocarolyn98955 years ago mchugaji nimeanza mwendo wa binguni naomba uniombe Mahan nimetabuwa yesu ni mokozi wa maisha yangu, nitafwatilia nijifuze mengi kutoka kwako na kwa mungu, asate sana na ubarikiwe 6
  • @
    @belindaorimba14904 years ago Hakika wapendwa katika Bwana Yesu, tunamhitaji sana Mungu katika maisha yeti na tunapaswa kulitaja jina la Yesu katika kila jambo tunalolifanya, Amen. 4
  • @
    @mariamoman50574 years ago Oyaaa kijana usichafuwe wi slamu😏😏😏😏😏😏🇧🇮🇧🇮💖 2
  • @
    @everlynmanigamaniga8185 years ago YESU damu yako inizunguke mmi na family yangu wote ppote walipo 16
  • @
    @azizadube72353 years ago God took you there to know the secretes and lies of the enemy to save us. Thank you brother. 9
  • @
    @HhHh-yy2lp3 years ago Mungu wetu ni mungu mwenye rehema, siku zote 2
  • @
    @edsonkumenya56263 years ago Sio wote wanao tumia mafuta au vitambaa ni watumishi wa shetani. Njia rahisi ya kumtambua mtumishi wa Mungu wa kweli ni kumuuliza Roho mtakatifu. Usikuhumu kwa macho boss 1
  • @
    @lukagulagekidehele57883 years ago Mch. Robert Bwana Yesu asifiwe sana, nimefuatilia mafundisho yako kwa njia ya TV nimeridhika kwamba Mungu amekutuma utuokoe tuliyetekwa na shetani. Nakuomba unisaidie nitakupataje uliko kwakuwa niko Mbingu Ifakara Morogoro, nina matatizo sana. ...
  • @
    @sharinv88644 years ago Amen mungu akubariki sana tena sana uombe bila kukoma pst hata mm naitaji maombi . 1
  • @
    @taturamadhani87565 years ago Sawa mchungaji nimekuelewa lkn so useme dini yakiislam kila dini hapa duniani niyahaki pia tunamwabudu mungu mmoja "kama umeipenda hii like" 18
  • @
    @jenithapaul58533 years ago Am blessed with this testmony🙏🙏be blessed Joel 4 sharing this 5
  • @
    @marykatana22113 years ago Amen barikiwa Sana mchungani Mimi ni mkenya ila ninaamini Mungu yuko.pia asante kwa kuiponya hii nafsi ya huyu Joel .Pia tumsifu Mungu kwa kutuelimisha kuhusu nguvu za Giza ,Mungu ni mwema. 2
  • @
    @chrithicksambo52963 years ago Ila huyo aliyeshikilia maiki kajitahidi Sana ❤️ ee MWENYEZI MUNGU bariki ulimwengu wako Baba 😭🙏 1
  • @
    @alvinsafi27334 years ago Kwa kifupi sisi ni chakula huko kuzimu 🤔 Damn pesa za haraka na tamaa za kibin adam ni mbaya sana May God bless us n protect us all.. 5
  • @
    @lissajeruto53733 years ago Ameen. Lord may your name be glorified forever 7
  • @
    @diananjokamugo8099last year Nashukuru mungu kwa ushuhuda huu, nimejifunza mengi. Bwana Yesu azidi kuinua huduma hii kwa sifa na utukufu kwa jina lake. Nawafuatilia nikiwa Nairobi, Kenya
  • @
    @financialloan98185 years ago Aya mambo yapo shetani ibirilis lile joka lililo fukuzwa mbinguni likatupwa apa duniani lina asira sana na wana damu kwa sasa na ataki kbs kusikia damu ya Yesu na kawaingia na kuwapotosha binadamu sasa wanaabudu Mungu wasie mtambua wanamkataa Yesu wanakataa kifo na sadaka ya pale juu msalabani akika wkt umefika sasa Yesu yu kalibu kushuka na wale malaika zake kuja kuchukua watu wake.Mungu nipe macho ya rohoni baba nifike mwisho mwema damu ya Yesu inanena mema 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏njia ni moja tuu kama ujapita iyo basi ww ni motoni moja kwa moja ... 9
  • @
    @elizabethbarasa92175 years ago Kama kweli anayosema kaka basi mungu nimkuu,,, hakuna siku hata moja nitatoka kwa nyumba bila kuomba 8
  • @
    @margaretwambui57143 years ago God is great, church let us build our Lord's kingdom -Jesus christ 2
  • @
    @irenesikuku34852 years ago AMEEEN Asante Kwa ushuhuda GOD IS bigger than Satan work . 1
  • @
    @fatmafa18965 years ago Amen Mungu ni mwema kweli Tena ni mwesa wa kila kupidia kwa mwanae yesu kristo aliye Bwana na mwokozi wetu amen 17
  • @
    @youngv65844 years ago Nafwatilia nikiwa Kenya.... Mungu ni mwema Sana,,, na Mungu awe na roho zetu, 4
  • @
    @ashajudith13743 years ago I'm judith from kenya everything are possible with Jehovah Yahweh Believe in God and,he will set you free 1
  • @
    @emmaomary26593 years ago Asante mtumisha kwayote nimejifunza mengi sana kupitia huu ushuhuda mungu atubaliki sana Amen
  • @
    @nancyshamba24415 years ago Hata hvo tunafundishwa kumjua mungu zaid na zaidi. Milele na Milele Amen 36
  • @
    @nancynganga67315 years ago Nmesoma ni vizuri kumweka mungu mbele akutangulie kwa jambo lolote 12
  • @
    @katotokazuri74123 years ago Kaka pole Sana kwa hayo yooote uliyoyapitia,, Mshike Mungu kila kitu kitakuwa Sawa. Hongera Sana kuipaya hiyo Neema. 1
  • @
    @elizabethmulongo90064 years ago Om my God, dunia imeisha ,mungu atusaidie ss wakenye 2
  • @
    @nancynganga67315 years ago Imalisha Imani yangu mungu wangu na utulinde kwenye jambo lolote tunalolifanya... Waongoze watoto na jamaa zetu 5
  • @
    @jacobokwaro71575 years ago OMG,,Have mercy on him,,,mungu amekuasamehe kaka,,mtumkie mungu sasa,,,usirudi tena misiri,,,pastor usimwaje uyo kichana kaa naye,,mfunze neno. 9
  • @
    @elizebahomaoro77272 years ago glory to God!
    You shall overcome them by the blood of the lamb and the words of your testimony!
    2
  • @
    @imagepower36415 years ago Ubarikiwe kwa ushuhuda,lazima kumjua adui tunayempiga vita kwa undani,shetani hana urafiki na mwanadamu. 16
  • @
    @reginamrema25935 years ago Shalom. Jamani wana wa Mungu, tuache kuwanyooshea kidole ambao tunafikiri hawa fanyi kazi ya Mungu maana kwakuendelea kuwasema shetani anajitukuza. Neno la Mungu la sema hapo mwanzo palikuwa na neno,naye neno alitoka kwa Mungu naye Mungu alikuwa neno. Kila nacho kihitaji kiko ndani ya neno. Watu hawataki kusoma neno huku wakimwomba Roho Mtakatifu awafafanulie badala yake wanawaamini wanadamu. Neno lasema hivi watu wangu waangamia kwakukosa maarifa. Roho Mtakatifu na akawe mwalimu wenu amina🙏 ... 5
  • @
    @elizabethjackson38654 years ago Bwana Yesu apewe sifa wapendwa Mungu atusaidie sana 2
  • @
    @josphinekagendo83813 years ago Mimi ni mkenya namshukuru mungu kwa kujua ukweli ,walio dani ya yesu wamefunuliwa haya Amen 1
  • @
    @kamakiapeter78154 years ago nimeona hayo maajabu, tajiri lakini unashangaa maisha gani anakaa ya ujinga. 5
  • @
    @shamreenkhaemba36745 years ago Asante kwa ushuda but make sure he is totally saved, most agents of the devil are great liars like their master the devil, wengi hujifanya tu kuokoka kumbe wamekuja kujaza mambo yao pole pole, kwanza wakishajua kanisa fulani lina nguvu hutumia mmoja wao kujifanya amekataa kazi zao ili aje apande pengu zao akiwa palepale, many times huskia kanisa limevunjika, so let us pray, may God open the eyes of all the elect, intercessors should have a chain prayer, be blessed, may God Almighty protect His own in Jesus name ... 72
  • @
    @venitarugemalila39713 years ago Amina kweli pepo hamtoi pepo mwenzie haya maneno aliwahi kutuambia Padre wetu mmoja mzungu ka dunia inamambo
  • @
    @paulineoduor2832 years ago God you are really the saviour of our life I will truest in you and always have faith that you are with us in every situation we pass through,please God have mercy on me 1
  • @
    @edwinmutai67503 years ago May God bless u forever for the teaching I am blessed 🙏 3
  • @
    @crispinshake48503 years ago Ukweli nimijifundisha mengi sana nimebarikiwa sana Mungu amjazie neema zake.Chrispin Shake,TaitaTaveta Kenya. 1
  • @
    @annekatike26562 years ago Ama kweli mungu ni wa ajabu na yuko na anaokoa wakati wake ukifika, ubarikiwe sana ndugu na mungu nawe daima
  • @
    @shuhudazakweli34065 years ago Nimebarikia na Ushuhuda naitwa Pastor Obed niko daresalam 14
  • @
    @mosesdavid63175 years ago Recheal Nelson,jifunze kitu moja,mimi mtoto wangu wa miaka 8 alijikuta makaburini akiwa shuleni boarding. Kesho yake wakapata likizo fupi ya iddi,akaja akasema na sisi tukampeleka kanisan la kiroho na mtoto wangu akapona na akili zake zikarudi na akafaulu mtiani wa darasa la nne na mwakani anamaliza la saba.This is a true story recheal Nelson, don't doubt your self. ... 3
  • @
    @mercymideva7413 years ago Am a Kenyan watching from saudi Arabia wonderful power message 2
  • @
    @jemimahanyango91384 years ago From Kenya, the whole testimony is true. Hakika huyu alikuwa wa Mungu - he was pre- destined to work for the Living God. Asante Mungu uishie milele, kutana na wana wako wengine wale wameshikwa mateka. 5
  • @
    @janeshigami87693 years ago Am a Kenyan 🇰🇪 Ahsante sana ELIA JOELI kwa ushuhuda wako kututolea siri za kichawi ...... Hata umesema ulikuwa unafanya kazi Kenya 🇰🇪
  • @
    @adhiambocarolyn98955 years ago Mungu na kuomba unikobowe na unitowe katika mono wa shetani nataka nikufwate yesu, ushuhunda uko na mafudisho bora nii mungu to atusaidie sana, ubarikiwe sana mchugaji na mungu akulinde pamoja na family yako 1
  • @
    @nancyshamba24415 years ago Binadam msije kusema et kasoma kweny vitabu .hv ni faida ake ama?? Kama anaongea uongo atajua yy lkn Ukweli ni kwamba analosema lipo hapa duniani. Kwangu mm Naomba Mungu Aniepushie kwa yote Amen. 61
  • @
    @enochhemedi24443 years ago Hina la Bwana Yeah Kristi lilivyo kuu na lilivyo Barikiwa. Hakika Atukuzwe
  • @
    @ntemiisho80143 years ago Pole sana yaliyokukuta majini yote hayo yamo mwilini duu inashangaza mungu akulinde na yes akunyoshee maisha mema
  • @
    @bluebirdlogisticsco.limite34155 years ago "Lakini, msifurahi kwa vile pepo wanavyowatii; bali furahini kwa sababu majina yenu yameandikwa mbinguni."
    Luka
    201
  • @
    @kipkorirjeremia60313 years ago I am blessed, glory be to God. From Kenya 9
  • @
    @rozynahnight74602 years ago Aaammeenn, YESU KRISTU juu,juu saaanna habadiliki wala hawezi badilika milele.
  • @
    @sanganyivagmailcom3 years ago Niatari kuakueli, Buana yesu atusaidiye sana. 1
  • @
    @omukadahlmmaculate78103 years ago Joel you are a great vessel of God.....serve God faithfully.....with a big testimony 🇰🇪 4
  • @
    @mimsbaibe6mimsgul7374 years ago What God can do no man can do Glory to God always . 7
  • @
    @faridahanangwe63703 years ago Mungu akuinue sana pastor na akujaxe imani ya kutuombea hats nasisi tubarikiwe kma yule kijana alietoa ushuuda wa kuzimu na akashinda vita vya kuzimu
  • @
    @simangwibrian69903 years ago jamani tumuache mungu aitwe mungu amen😔🙏 2
  • @
    @newtonhabari30385 years ago MUNGU akuinue zaidi na zaidi maana najifunza vingi, 9
  • @
    @apostlerebeccamunguaniinul7073last year Mungu ni mukubwa sana hakuna Mungu mwengine ile ule aliye umba mbingu na inchi wa Ibahaimu ,Isaka na Yakobo amen
  • @
    @mirriamwambua68564 years ago Truly who is in Christ is unshakable ,read the word,walk by the word, stay by the word ,live by the word and then do by the word 13
  • @
    @xaveryndomba38383 years ago Bwana Yesu asifiwe mtumishi wa Mungu Elia Joel anaendelea na uwokovu hadi sasa
  • @
    @nodfreywangila55853 years ago Ushuhuda huu unagusa roho yangu kweli. Mungu ni WA ajabu
  • @
    @periskarieri52364 years ago Thanks for revealing devils works . may God guard and strengthen him to do great works 11
  • @
    @violetasigo17293 years ago Listening all the way from Saudi Arabia to Kenya vihiga county am bleesed pastor Robert 1
  • @
    @carolinemrosso90063 years ago Baba Bwana Yesu asifiwe saaaana, nimebarikiwa mno na huo ushuhuda wa huyo kaka, asante kwa kuturuhusu tuusikie ili jina la Yesu lizidi kusifiwa, ukweli nimetambua mbinu za adui maana kama watumishi tunatakiwa tuombe kwa kulenga nasio kwa kuhisi, Mungu atusaidie jaman tuweze kukesha kwenye maombi kila mara na tusome neno La Mungu kwa wingi tukomboe nafsi za watu waliokifungoni kwa adui, Hakika nimepata nguvu zaidi ya kuendelea kuomba, kama hapa daresalam wamejaa wachungaji wengi wa giza jaman na wanajaza sana watu kwenye makanisa yao,’ Yesu ambae ni moto ilao ajitukuze mwenyewe alambe kila kazi za adui ktk jina la Yesu Kristo. Ameeeen ... 1
  • @
    @annmichael47942 years ago Kaa kwa Mungu Eliah Joeli. Kwa Yesu kuna Raha
  • @
    @zawadimwakipale42222 years ago Asante sana mchungaji kwaushuhuda kiukweri mungu nimwema sana nime jifunza mengi sana joeli mungu amekuko mbowa jina rayesu ripewe sifa🙏
  • @
    @simuyuana48874 years ago Ameen my brother keep serving our heavenly father,nothing is impossible before him ,keep be strong and keep that spirit Ameen 16
  • @
    @user-hd8zy3eg2v5 years ago Mm ni wkenya WATCHING from Saudi Arabia God bless you pst 34
  • @
    @jescansombo12914 years ago Mungu nimuweza wa yote tumtegemee yeye hakika tutashinda mungu tupiganie amen!!!!! 2
  • @
    @jenipherstanley80022 years ago MWENYEZI MUNGU WA MBINGUNI ATUJAALIE MWISHO MWEMA AMEN🙏
  • @
    @joniajoanes12365 years ago Siku zoote Akili za Mungu hazichunguziki, Tushukuru kwa yoote, Mungu ni mwaminifu, mchungaji Robert Mungu akuinue kwa viwango vingine zaidi na huyo mtumishi alie toa ushuhuda, angalie asiangalie nyuma asinye akapotea akawa jiwe La chumvi, kama make wa ruthu, tuzidi kusonga mbele kwa kumuaibisha shetan ... 3
  • @
    @truphinejames7403 years ago I thank God for His endlessly mercies... thanks to Almighty to make that guy reveal to us how devil works.....may God keep him n protect n make his wasted year be filled again... blessings 5
  • @
    @zithaleonce53133 years ago Mungu akulinde sana.ushuhuda wako umefungua wengi.pia imani yako imenitia moyo.Mungu akulinde kijana wa Mungu
  • @
    @aliceoluoch59505 years ago with God everything is possible, through Jesus Christ 22
  • @
    @sadamhussein38274 years ago I get a lesson from you my brother, na kwanzia leo naiogopa pesa za dunia, heri nife masikini badala niwe na pesa za haramu, so my friend's take a lesson from our lovely brother and I thanks you all 11