المدة الزمنية 1:53:39

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA EVENING GLORY 15 Nov. 2019

8 923 مشاهدة
0
133
تم نشره في 2019/11/15

KKKT USHARIKA WA KIJITONYAMA IBADA YA EVENING GLORY 15 Nov. 2019 UJUMBE WA LEO: "HAPO MWANZO" ( IN THE BEGINNING ) "UKOMBOZI WA NAFSI" MAZINGIRA YANAYOWEZA KUKUUNGANISHA NA MTU MWINGINE KINAFSI Zaburi 103 : 1 - 6 Daniel 4 : 18 , 5 : 14 Waebrania 4 : 12 Zaburi 103 : 1 - 6 1 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana. Naam, vyote vilivyo ndani yangu Vilihimidi jina lake takatifu. 2 Ee nafsi yangu, umhimidi Bwana, Wala usizisahau fadhili zake zote. 3 Akusamehe maovu yako yote, Akuponya magonjwa yako yote, 4 Aukomboa uhai wako na kaburi, Akutia taji ya fadhili na rehema, 5 Aushibisha mema uzee wako, Ujana wako ukarejezwa kama tai; 6 Bwana ndiye afanyaye mambo ya haki, Na hukumu kwa wote wanaoonewa. Daniel 4 : 18 , 5 : 14 18 Mimi, Nebukadreza, nimeiona ndoto hii; na wewe, Ee Belteshaza, eleza tafsiri yake, kwa maana wenye hekima wote wa ufalme wangu hawawezi kunijulisha tafsiri yake; bali wewe waweza, maana roho ya miungu watakatifu inakaa ndani yako. 14 Nimesikia habari zako, kwamba roho ya miungu imo ndani yako, na kwamba nuru na ufahamu na akili bora zimeonekana kwako. Waebrania 4 : 12 12 Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo. Mhubiri: Mwl. Emanuel Shemdoe Kwa maombi na ushauri : Mch. Dkt. Eliona Kimaro. Simu :+255655516053, +255754516053 YouTube : Rev. Dr. Eliona Kimaro TV Barua Pepe: elionakimaro555@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14