المدة الزمنية 19:43

DIAMOND alivyomshika WEMA SEPETU kimahaba na kucheza nae,walijificha na kuomba iwe siri,mambo yote..

بواسطة Middle simba
619 780 مشاهدة
0
2.8 K
تم نشره في 2019/10/28

Please subscribe now on our YouTube channel to be the first to hear about latest news and updates on time. #middlesimba #WeAreEverywhere #diamondplatnumz #wemasepetu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 490
  • @
    @peterjulius31775 years ago Aliyeona daimondi anamtafuta wema alipo hamoni Agonge like 8
  • @
    @kingissa55174 years ago Haaaaa kama huna mpenda😍😍😍😍 diamond gonga like hapa au respeto 😁😁😁😁📷📷📷📷📷📱💻 6
  • @
    @filbertkapama88245 years ago Kama umeona mond kalewa gonga like twend sawa 29
  • @
    @gracekimario85775 years ago Aliyefuatilia kwa makini km mm ili aone wema na diamond wakicheza wkt tangu mwanzo cjaona hata salamu gonga like hapa 376
  • @
    @elieereka87445 years ago Diamond anaroho nzuri kumleta hapa chid Benz 25
  • @
    @loulumony85192 years ago Diamond alikua anapendezana San na wema❣❣❣ 1
  • @
    @mohabasultan19204 years ago Be realistic. Your written topic is not what's on video. Wema and Diamond dancing together as you said. Respect your followers 2
  • @
    @jamilajamila96825 years ago Diamond yuko tu macho kodoo kwa wema 🤣💖 23
  • @
    @hadija8465 years ago Diamond anamcheki sana Wema hawa leo wamelala Pamoja👍 5
  • @
    @angelmutua95755 years ago Huyu Elizabeth Michael ni fisi tu anataka kumfikia diamond but security iko tight sana 12
  • @
    @starbaby48645 years ago Kama umeona diamond ana Angelia zigo la mwema gonga like hapa 😂😂😂😂 chibu ww nomaaa 141
  • @
    @bigmulla20565 years ago Anaekubali Mapenzi yana Nguvu Nipe like 32
  • @
    @joyceshaweshi36494 years ago mm na mkubali mnyama ximba helo dimondi 1
  • @
    @deotv5035 years ago Aliyemuonaa muhunii amemtuzaa chid bukuu likes hapoo chn 81
  • @
    @alhandroraj80095 years ago Aunty Ezekiel nae amtamani Mose wake jameni. Mondi ulipo pasua jipu uliwafungulia njia. Nani aliona vile Aunty Ezekiel alimkumbatia Mose wake??? Nipeni likes jameni. Watu wameiva miili zime chemka hawajielewi duh 32
  • @
    @omaryjuma60865 years ago Oya Middle Simba ujue weh jamaa unazingua daah co poa najikuta natabasamu mwenyewe hapa navyokufatilia na hayo matukio na namna unavyosimulia, uko juu mtu wng big up xn brow😄😄💪 21
  • @
    @angelahmoraa54725 years ago Wweeeeeee middle Simba utapigwaaa 😂😂😂😂😂 12
  • @
    @mwanawakatonda21615 years ago Wema akiwa na Simba mnyama wanapendezaa sanaaa😍😍😍 1
  • @
    @angelahmoraa54725 years ago Kwel daimond was so lonely kucheza Hana partner coz ya tanasha😂😂😂😂 11
  • @
    @faridaiddi1045 years ago Hahaha nimemuona diamond anamwambia mlinzi akamwanglie wema mbna anachlewa kurudi 8
  • @
    @officialgifty52085 years ago Yaan moze na mond kuna kitu walifata apa 🤣🤣🤣🤣hii part ina vioja ndo inamfanya ebitoke alie leo 13
  • @
    @samirmoyo93035 years ago hahahahaaa M.I doble D MIDDLE SIMBA🦁 simba young hahahahaaa umenikoshaaa xanaaa uliposema na Nguliiiii....Nguliiiii Nguliiiiii wa Bongo Freva Damond platnumz hahahahaaa 5
  • @
    @sirlankagirl62565 years ago Eti walijificha nakuomba iwe siri🥰😅😅😅😅 9
  • @
    @edwineronde81445 years ago I don't expect such a party to have such kinda a Dj!!! Kenya we lead for real "other's" follow! Pita na like we reasoning the same 6
  • @
    @samanthaali8735 years ago Wambea twacoment wapi 😃😃😃nime fungua simu mbio nione hivyo wanavyo cheza jamani middle simba ww 14
  • @
    @dicksonpaul50905 years ago Hivi midle simba hii nyimbo inayopiga kaimba nan naipenda kichiz
  • @
    @blaiseally63065 years ago Sijaona diamond akimshika Wema, middle simba acha uongo mtu wangu be careful with your caption lah sivyo we won’t be viewing your video 65
  • @
    @mileyjackson67265 years ago aliyeona tofauti ya urefu wa wema na lulu gonga like hapa 1
  • @
    @finna59705 years ago Yani hii party utafikiri niya Mondi, mbona Camera iko kwake tuu, yani Kama Hakuna watu wengine Jamani? 6
  • @
    @angelholsey24845 years ago Daaaah! Alivyogeuka simba kama anaangalia cjui nn kumbe WEMA anapita 👀 13
  • @
    @dvjaddie71765 years ago Mbona icho kipande kimeludiw sana cha mond anavyomuangalia wema alivyopita kama nawe umeona tujuane 101
  • @
    @pinahoscar67355 years ago Masikin wema anampenda mond ona anavojipitisha pitisha yan hana amani af mond na mosse mmeyasema makalio ya wema😂😂😂😂😂 27
  • @
    @redibatafulai25835 years ago Wema na Mondy hawawezi achana ...first love haisahauliki till wema aoleww 6
  • @
    @rayanndizeyes31615 years ago kazi ipo Tanasha ujipage sana kwakujiongeza kilasiku apo jo tazania, 13
  • @
    @blandinamnyinga83185 years ago Nguli,king kikii,diomond is a musician who is doing good in the music industry akiendelea hivi after 20 years from now YES ataitwa nguli. 5
  • @
    @joycemaginga53085 years ago Middle simba bana ulivyorudia hapooo🤣🤣🤣🤣🦁 1
  • @
    @shauzitajiri92155 years ago Mido simba mungu anakuona.ebu apa kwa mungu na utupe ubuyu kamili 7
  • @
    @mukusinsuleymani32435 years ago Middle Simba usiende Kenya watakupga mawe😂😂😂😂 28
  • @
    @sophiajackson50015 years ago wema nae akimuona domo atuliagiii..... 49
  • @
    @yasodishonest97925 years ago Ila jamani mondi na wema wanapendana paka kesho why awaludiani ukiwangalia tu unawaona100% ingedamshi wangeludiana na ndoa juu👌👌😍😘INSHAALLAH ONE DAY ITAKUA KWELI 1
  • @
    @bettyyoland44315 years ago Wema is fidgety and trying so hard to get diamonds attention 12
  • @
    @zainabumiraji94845 years ago Unazingua nauwongo waking utasutwa👌👌👌👌
  • @
    @saudaclaris70955 years ago Eti macho yangu ilikua bampa tu bampa 🤣🤣 middle simba nomaaa 2
  • @
    @junemuchiri6095 years ago Mbona chibu anashinda akiangalia upande WA wema hivoo😂😂😂😂😂😂,Tanasha wee endelea kunyonyesha nyumbani Naona ma ex wote WA chibu wapi Huku😭😭😂😂😂😂😂 17
  • @
    @abdulihussen66585 years ago chid benz uache mapoda mond mdg wak akurudxhe kweny raman wew ni tarent moja kubw xan hap Tz and worldwide rexpect my bro chid b 2
  • @
    @aminahasan35645 years ago Kiukweli mi bado nakukubali sana Chid benzi aisee
  • @
    @florabaruti80325 years ago nauliza hii paty ni yachibu mbona muda ote mnamuonyesha yeye tu 30
  • @
    @hadijaabdallah54775 years ago Mwenye nywele za kijani kwapa jeusiiiii 2
  • @
    @juliaslengai33235 years ago Aisee na nawe hata wakienda choon
    😂😂😂😂😂😂
    4
  • @
    @devothaakyoo75685 years ago Jaman hcho kiwimbo knachoimba kwa chin kaimba nan 1
  • @
    @nduwimanavovobi84335 years ago wallah midle simba usipimagi kukuja burundi 👉🇧🇮🇧🇮alaaaa unazidi uchonganishi sana 😂😂😂 3
  • @
    @godfreylukas39135 years ago Aaaah wee kiboko sana bando limeenda bure yani. 1
  • @
    @hamzabingwe41785 years ago Aliyemuona teja.akiwa anapafom na sauti yenye mikwaruzo gonga like hapo chini twende sawa 7
  • @
    @karppanghana32935 years ago Wema please don't disgrace yourself as you did it in the past, please respect yourself as a woman 2
  • @
    @muniradaudi4405 years ago Mshuuu ww uloandikaa kichwa cha hbr ovyoo 1
  • @
    @mourinebey_kenya70275 years ago Wale wameona Diamond akiangalia zigo la wema 😂 13
  • @
    @fettyjustin73625 years ago middle ww jmn 😅😅😅😅😅unamtafuta nn tanasha ww 27
  • @
    @aminahmohammad58665 years ago Nan mwngne aliforwad Kama Mimi tuone diamond na wema wakicheza 7
  • @
    @emanuel41485 years ago Jaman Middle Simba unahabari Diamond kapata tuzo
  • @
    @zabibukivyele74075 years ago Hahahaa
    Middle Simba una balaa ww
    1
  • @
    @azzamahamdu70395 years ago Mhm wanawake wanavojshebedua sasa ka iko kilulu🤣🤣na wema saut ka kabanwa na mlango,simba wale tu ila tanasha muoe 8
  • @
    @bafaello26195 years ago Chibdeeee hehe salute you middle simba nakupenda bure 2
  • @
    @emacuteeemacutee35285 years ago Wenzenu wanajivinjari cjui mm mtoi wangu atakua lini nkale bata jamani malezi Yana tabu 9
  • @
    @douceuretivya60395 years ago Kwa Nini diamond kavaa sana miwani kwa event zote? Aiko ata mzuri. muimbaji kaimba vizuri kuliko ata mondi 7
  • @
    @benadinejerop76325 years ago Za tanasha inamtosha sima acheni za ovyo!!!! 10
  • @
    @zaiiomary89705 years ago Jamni mondi unaogopa hata kumgusa wema kwasababu ya Tanasha dona😂😂😂 4
  • @
    @francismliga29105 years ago Fix hizo we ungetuletea hicho cha nyuma ya Pazia ndio tungekuona we Mkali apa unapiga blaa tu umetumalizia Bundle bureee 8