المدة الزمنية 49:40

AGANO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

9 663 مشاهدة
0
155
تم نشره في 2021/09/09

Mungu ni Mungu anayeheshimu maagano,anaweza kukalia kimya vitu vingine lakini sio Agano lake. Wakati wana wa Israeli walipomlilia Mungu awatoe utumwani,Neno linasema Mungu alisikia kilio chao lakini hakwenda kuwatoa moja kwa moja bali alienda kumtafuta mtu ambaye ataingia nae agano ili akawatoe wana wa Israeli Misri. Kutoka 3:6-7 [6]Tena akasema, Mimi ni Mungu wa baba yako, Mungu wa Ibrahimu, Mungu wa Isaka, na Mungu wa Yakobo. Musa akaficha uso wake; kwa maana aliogopa kumwangalia Mungu. [7]BWANA akasema, Hakika nimeyaona mateso ya watu wangu walioko Misri, nami nimekisikia kilio chao kwa sababu ya wasimamizi wao; maana nayajua maumivu yao; Mungu huheshimu sana maagano,na ndio maana kama unajua ni Mtumishi wa Mungu ni muhimu sana kuwa na agano na Mungu. UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322 Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii Like our Facebook: https://www.facebook.com/Therealityof ... Follow our Instagram: https://www.instagram.com/realityofch ... Subscribe our YouTube: /channel/UC67L ... Also Subscribe Roc worshippers youtube channel:/channel/UCyVhAzjcFaJH7lxgiMQviGQ and Subscribe Pastor Sunbella Kyando YouTube /channel/UCoBuJc3EbjF6r90ov6B3N0Q

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 24
  • @
    @lemburismollel2393منذ 3 سنوات Daily following this ministry and the minister in all your channels from here Cairo, Egypt.
    Remember this Arab Republic of Egypt which is an Islamic id="hidden2" class="buttons"> Nation with mosques every corner of the country and people daily praying even in places where there are no mosques.
    ....وسعت 1
  • @
    @ibreezyboe9006منذ 3 سنوات Nabarikiwa sana Mchungaj kwa maombi yako 1
  • @
    @jessyjecaمنذ 3 سنوات I connect myself and My family in this Alter Amen 1
  • @
    @mutalemwapastoly4158منذ 3 سنوات Tunazidi kubalikiwa kwa mahubiri yako Mungu akutie nguvu 1
  • @
    @gilbertwanjeمنذ 3 سنوات Samahani naomba nambari za simu za mtumishi wa MUNGU ili niwasiliane naye. Nko Mombasa,KenyaAmen 1
  • @
    @scarletivyfrancis1203منذ 3 سنوات Nimesikiliza haya maombi na roho Wa bwana ameniponya maumivu yangu ya tumbo yaliyonisumbua kwa mda mrefu jina la bwana lizidi kupewa sifa amina 1
  • @
    @mgalilayamweusi6037منذ 3 سنوات Hii ndiyo ibada yangu ya kwanza kuhudhuria toka nianze fatilia toka mtwara, Mungu amewapa madhabau yenye Agano la kufundishwa kweli na zaidi ya yote uponyaji id="hidden3" class="buttons"> wa ki Mungu sawa na Ahadi ya madhabau hii. Roho wa Mungu awazidishie palipo punguka.nawapenda sana sana. ....وسعت 3
  • @
    @lucilamushi2894منذ 3 سنوات Najiungamanisha na madhabahu ya reality of Christ kea jina la YESU.Mtumishi nabarikiwa mnoo na huduma yako.Namba utaratibu wa ibada za Dar es Salam na Dodoma.nipo morogoro.