المدة الزمنية 14:21

Matano ya kufahamu kuhusu daraja la Kigamboni kabla halijaanza kutumika siku 16 zijazo

بواسطة Millard Ayo
118 624 مشاهدة
0
243
تم نشره في 2016/03/31

Kamati ya bunge ya miundombinu ililitembelea daraja la Kigamboni Dar es salaam ambalo litaanza kufanya kazi April 2016, vifuatavyo ni vitu unatakiwa kuvifahamu kuhusu hili daraja.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 31