المدة الزمنية 1:00

Mtaji wa elfu 5 ulivyomfanya mrembo huyu kuwa na biashara kubwa ya Juice

بواسطة Dizzim Online
58 864 مشاهدة
0
207
تم نشره في 2017/05/05

Kwa mtaji wa shilingi 5,000 tu, Natalia amefanikiwa kutengeneza biashara ya juice, @zananajuice inayopanuka kwa kasi jijini Dar.. @Skytanzania anakusimulia zaidi kwenye #DakikaMojaUpdates

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 12