المدة الزمنية 3:5

KAKAKUONA AONEKANA DAR

بواسطة Global TV Online
682 232 مشاهدة
0
1.2 K
تم نشره في 2014/08/16

WAKAZI wa Mbezi juu wamefurika kumuona mmyama Kakakuona ambaye ni adimu sana kuonekana, huku wengine wakiamini wamepata bahati katika maisha yao kumuona kiumbe huyo, ana kwa ana baada ya kumsikia na kumsoma katika vitabu

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 99