المدة الزمنية 13:23

Askofu Kilaini aelezea alivyopatwa na uchungu wa mzazi wakati wa Upadrisho/ Asifu uimbaji wa Kwaya

بواسطة Radio Mbiu
367 مشاهدة
0
6
تم نشره في 2021/07/12

Ni wakati wa neno la Shukrani katika Misa takatifu ya Upadrisho Jimboni Bukoba ambapo Askofu Methodius Kilaini msaidizi wa Jimbo hilo pamoja na Askofu Almachius Rweyongeza wa Kaynga wameisifu Kwaya kutoka katika Kisiwa cha Gozba Parokia ya Bumbire kwa Uimbaji. Askofu Rweyongeza aoa neno kwa Mapadre wapya. www.radiombiu.co.tz #RmSautiYaFaraja

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0