المدة الزمنية 14:20

UKWELI HAMONIZE KUFUKUZWA KWENYE NYUMBA KISA KODI. - DALALI KIONGOZI

بواسطة Jicholauswazi
32 904 مشاهدة
0
399
تعليقات - 108
  • @
    @nasranoti08منذ 3 سنوات Huyu jamaa anaongea ukwel big up kwake
  • @
    @kibibisafi3331منذ 3 سنوات Big up dalali kwa kuchapa kazi hauna bifu na mtu 4
  • @
    @josesombo764منذ 3 سنوات Wacheni kutafuta umaarufu mkitumia harmonize, harmonize yupo vizuri sana kama kaweza kumiliki label atashindwa kodi. Wanafki wakwende huko
  • @
    @emanuelmajele7237منذ 3 سنوات Harmonize pigana vita maana wasio kupenda niwengi kuliko wanao kupenda
  • @
    @namirihamisi3899منذ 3 سنوات Yule baba aliesema kess ilifika mahakamani inabidi akutanishwe na huyu dalali ili kieleweke. 1
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 3 سنوات Kwani jamani wapange wasijenge kilasiku kujitangaza wana pesa 2
  • @
    @mkalimwanza7726منذ 3 سنوات Hivi wasani hawana hakili san kama mtu analipa miloni 2 kwa mwezi tu moja je ni kwa nini wasijege tu 2
  • @
    @joymsupagladysijeya8384منذ 3 سنوات Waaa bado wana panga afadhali mimi ni House girl but namiliki yumba yangu patamu apo 17
  • @
    @lutwfiyyahmkonga8093منذ 3 سنوات izo siyo sifa niujing tu sas kupang au kujeng dh. 1
  • @
    @felisterjames9770منذ 3 سنوات Hamo wanyoshe hawalali juu yako ngulue hao
  • @
    @omarizuberi2300منذ 3 سنوات Angetafuta mahali pa chini but ingekua vizuri akanunua nyumba yake 1
  • @
    @ashaali7154منذ 3 سنوات Jicho la uswazi udaku na umbea sio intertainment kama unavyoeleza. Hamna kazi ila kufuatilia maisha ya watu tu tena kwa ubaya wala sio mazuri. Acheni hivyo.
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 3 سنوات Misioni ufaari wanyumba yakifahari afadhali kununua ama kujenga lakini sifa zakupanga azinishtuii 1
  • @
    @philemonmagesa5548منذ 3 سنوات Hizo pesa wanazopata sijui kwann wasijenge au kununua nyumba wasanii wanapenda kupoteza pesa kwa ajili ya umaarufu wakati ni mambo ya personal life!!!! 3
  • @
    @sharinv8864منذ 3 سنوات Huo ni ujinga heri hizo pesa akajenge yake sasa aja gani kujisifu na nyumba za kupanga . 3
  • @
    @dandola9323منذ 3 سنوات We nishatani bwana tafuta kotu kongine chakufanya Harmonize huwezani naye ban 1
  • @
    @hadija846منذ 3 سنوات Pamoja sana dear wangu Harmonize
    Wasiokupenda kazi kwao
    3
  • @
    @nasrafadhili8941منذ 3 سنوات Wakati wengine tunawza kumalizia vibanda wengine wanapanga majumba mazuri yn mshauri bhn ajenge mjengo wake 2
  • @
    @wivinemwamini9110منذ 3 سنوات Shirole nikweri unachosema namiyenaonaka 1
  • @
    @pilichumu9331منذ 3 سنوات Bongo ni nchi ambayo inasopoet sana ujing hamonize anauwezo wa kununuwa kumi km 50.akazipanga mjini 3
  • @
    @mgm412منذ 3 سنوات Anaejua biashara anapanga,kuwa na jengo lako la miliona 500 ni hasara na matumizi mabaya ya pesa,matajir kibao wanakaa apartments za kupanga duniani kote..so wako sahihi kibiashara
  • @
    @hassanhamudy6639منذ 3 سنوات Nani naelewa kinachoendelea kwenye hii clip???? 4
  • @
    @wozanawewoz979منذ 3 سنوات Harmonize please Jenga mdogo wangu kama unasoma comments. 1
  • @
    @zakariamachibula488منذ 3 سنوات Alikiba ndiye msanii pekee anayejielewa maana yuko kwake hasumbuliwi na mtu 3
  • @
    @d.a.t3383منذ 3 سنوات Nyumba kubwa Sio ufahari. Nyumba kubwa hivyo nunua ndogo nzuri au jenga 2
  • @
    @user-wo8go6wc3dمنذ 3 سنوات Hamoniz jafari sanamabaya yanammrudia ogopa sana mtu ambae unapga vita akawa kmya n mbaya sana 1
  • @
    @fabianmainchanyangachika5017منذ 3 سنوات Hivi kwanini wasanii wengi wanapanga badala ya kujenga? 3
  • @
    @jimyjastini9995منذ 3 سنوات Huyo kondemavu wakatyuko wcb arikuwahakosi kodi ssatarijuwajiji 3
  • @
    @richardmapunda559منذ 3 سنوات Huyu jamaa anatafuta kiki sn yeye kila siku kesi za nyumba wa mastar mpk anakela 4
  • @
    @muanashaswaleh5110منذ 3 سنوات Sasa hawa wasanii wakupanga mbona kazi mnashindwa niwatu wawarabuni wanao lipwa pesa namakelele nao wana miliki mijengo yao 3
  • @
    @eladiuspeter586منذ 3 سنوات Huyu jamaa anajiskia utadhani anamiliki real estate developers firm. Ila in short shule yake ndogo 1
  • @
    @hadija846منذ 3 سنوات Wabongo bana eti alipangiwa na Sarah Hahaaaahaaaaa Sarah kwani anafanya kazi gani? 2
  • @
    @omansohar2245منذ 3 سنوات Kma anayo hela c ajenge anae panga cku zote ni fukaramwemwejo mwe usiyapindingulanye mambo baa
  • @
    @felisterjames9770منذ 3 سنوات Mnamsema tu hamo wakat hata uyo Simba wenu kapanga
  • @
    @shabanigoodjopdjuma2927منذ 3 سنوات hiondio nayonini sasa kupangapaga ndonn iyohelayakupanga sioborawaishimbagalailawaishikwenyemijegoao wanakera wanamahela miakanenda kupangahaaa
  • @
    @happynjukiz6495منذ 3 سنوات OOHH NINA PESA NYINGI KUMBE MWENDO WA KUPANGA .
  • @
    @rukkysayid6613منذ 3 سنوات Ujinga tu hakuna kitu kizuri kama kuwa na pako lkn ww kila leo unahangaika makaazi tu, maisha yana kupanda na kushuka jiwekee chako mapema hata wazee wake id="hidden4" class="buttons"> bado hajawajengea hv inakuwaje kwa hawa wasaniii wao kazi kuhonga tuu ....وسعت 2