المدة الزمنية 1:45

RPC MBEYA ATOA NENO SIKUKUU ZA IDDI

بواسطة Big Star Tv Online
84 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/05/12

Kamanda wa POLISI Mkoa wa Mbeya amewataka wananchi mkoni humo kusherehekea sikukuu za IDDI kwa utulivu na amani huku akitoka lai kwa wananchi kutoa taarifa pale waonapo viashiria vya uvunjifu wa amani.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0