المدة الزمنية 7:28

TAZAMA NDANI NA NJE UZURI WA STESHENI YA SGR MOROGORO,UJENZI UMEFIKIA ZAIDI YA ASILIMIA 90%.

بواسطة TRC RELI TV
30 162 مشاهدة
0
339
تم نشره في 2021/01/14

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 97
  • @
    @ludyonlinetv3116منذ 3 سنوات Congratulations to you my President his excellence Hon John Joseph Magufuli. May good Lord bless you always. 21
  • @
    @johnmlay4759منذ 3 سنوات Thanks God for bringing us such a hardworking president who committed himself to bring tanzanians really development, protect and lead him so he can deliver id="hidden1" class="buttons"> more & more to us because it's many years we never got such development like we witnessing now, Amen. ....وسعت 38
  • @
    @bernardoleonard7331منذ 3 سنوات Nilikuwa chadema lakni Sasa Sina chama ila Magu mmmh baba nakupenda Sana kwa maono nakujitolea kwako Mungu akupe maisha marefu amen. 10
  • @
    @kambamazig02024منذ 3 سنوات Haya ndiyo maendeleo, maana wengine walikuwa wanabeza. Leo hii stesheni kama hii ni kitega uchumi kikubwa sana. Kudos JPM, asante kwa kuwafungua macho watanzania kuwa tunaweza. 18
  • @
    @KS-iw7qvمنذ 3 سنوات Doh kumbe kila kitu kinawezekana. ni kupata viongozi wenye MAONO tu. GOD BLESS TANZANIA ✔ 7
  • @
    @emanuelpaul7971منذ 3 سنوات I salute you Dr John Magufuli. Mungu akulinde zaidi. 4
  • @
    @J4UProمنذ 3 سنوات Safi sana Rais wangu uzalendo kwanza mengine baadae JPM Forever 17
  • @
    @cosmasdaud9088منذ 3 سنوات Serikali kuu inakwenda kukusanya mapato kupitia huu mradi balaaa tuvumilie tu Mambo mazuri yanakuja huu mradi ukianza kuzalisha pesa 11
  • @
    @errydeo8865منذ 3 سنوات Niko nje,kuna stations kibao,nyingi hazina ubora huo,ukiachia main stations za miji mikubwa! safi .sana.hata za mabasi!Tunapiga hatua 3
  • @
    @MYCYOBELمنذ 3 سنوات Huyo jamaa aliyeanza kuongea yuko vizuri sana anamaelezo yamenyooka na anaeleweka. 17
  • @
    @april7teenمنذ 3 سنوات Mwenye namba ya Mbeligiji anipe nimtumie hii video sio vizuri apitwe na mambo kama haya 22
  • @
    @ernestsinje8693منذ 3 سنوات Sasa huku ulaya kuna tofauti gani na nyumbani ?bora nirudi home tu.du! 16
  • @
    @GraphicdesignerTzمنذ 3 سنوات kazi hii ni mipngo ya mungu kumuwezesh rais wetu kuonesha vitendo katika ahadi zake 11
  • @
    @cosmasdaud9088منذ 3 سنوات Magu kiboko jaman tuache unafiki kwa maendeleo tu ametisha miaka 5 tu ya Kwanza kafanya maajabu 12
  • @
    @uledimtumwa2406منذ 3 سنوات Jamani hapo sio Chato kweli!!?? Ila watu wana Chuki binafsi. 11
  • @
    @kelvinchuwa2212منذ 3 سنوات Kweli hii ni 20 /21 nimefrahi kuiyona namshukuru Mungu 1
  • @
    @zakariagaspa9918منذ 3 سنوات Da Atari kama hubeyi chaina ndo kuna ivi vitu 9
  • @
    @blancoskitchen2525منذ 3 سنوات Tafadhalini jamani as mnaona mradi umechukuwa mapesa mengi jitahidini maintenance jamani mirado mingi ya selikari haina maintenance kama mwendokasi hasa vituoni 1
  • @
    @nicholausswai7756منذ 3 سنوات Hapo ukiingia lazima uwe msafi.
    Ule uporipori yabidi watz tuuache. Japo wasiwasi wangu mkubwa ni kama tutaweza kuendelea kutunza hayo mandhari yabakie katika ubora wake kwa miaka
    6
  • @
    @joelrugano6517منذ 3 سنوات Tatizo kubwa tulilo nalo ni matunzo
    Hatuna jadi ya kutunza (maintanance). Tunajenga vitu vizuri baada ya muda kila kitu kina chakaa.
    Tusiwe id="hidden5" class="buttons"> wazuri wa kusifia kitu kipya tuwe na utamaduni wa kutunza pia.
    Taa zinang'ara leo je baada ya miaka mitano hali itakuwaje?
    ....وسعت 2
  • @
    @masundelwaمنذ 3 سنوات Safi Sana TRC RELI TZ. But make video more CINEMATIC 1
  • @
    @angelavayinga914منذ 3 سنوات Tanzania mpya tuitakayo,ahsante sana Magufuli raisi wetu 2
  • @
    @bongobongo1755منذ 3 سنوات Usilete mchezo kwa magu mavitu ya ulaya tunaletewa na bado ndio ameanza 25
  • @
    @zefamange7281منذ 3 سنوات HONGERA RAIS MWENYE MAAMUZI MAGUMU, JPM 4
  • @
    @jokeableking7039منذ 3 سنوات Huwa Naakaa Nafikiria Saana Lkn Nashindwa Kupata Majibu ya Haraka ""Hivi Viongozi Kama Hawa Walikuwa Wapi Toka Kung'atuka Kwa Mwl. Miaka id="hidden6" class="buttons"> Ya 85 ?? But Only God Knows. Excellency Honourable Jpm to Advance us. AMEN ....وسعت 3
  • @
    @temkezatv4381منذ 3 سنوات Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza id="hidden7" class="buttons"> Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI ....وسعت 13
  • @
    @onesmojustice2348منذ 3 سنوات Hivi yule jamaa kweli angeweza kufanya haya na Sera zake za america? 2
  • @
    @sudisalumu4435منذ 3 سنوات Mashine za kukatia tiketiwataziharibu wenyewe ili waje WACHANA TIKETI kama wa mwendokasi wanazarahu hao
  • @
    @eischerschwederm7876منذ 3 سنوات Naomba mpambe na maua ndani yaani maia ya miti please na pia culture zetu kama decorations 1
  • @
    @kabwelasutiviraka4765منذ 3 سنوات Wana Morogoro mlio ndani na Ughaibuni mpo? Muda si mrefu Morogoro liwe jiji, tulio Ughaibuni turudi tuijenge Morogoro yetu mji wa milima Uluguru mji kasoro bahari, 1
  • @
    @evaristmandilindi6147منذ 3 سنوات MIMI NAPENDA SANA MAENDELEO KA HAYA KATKA NCHI YANGU ILA TATZO TU WEAKNESS YA NCHI YANGU NI MATUNZO HATUWEZ TUJITAHID SANA KUWEKA BAJET YA MATUNZO YA HII MIUNDOMBINU 1
  • @
    @evaristmandilindi6147منذ 3 سنوات Et kuna MA mtu ma8 yamedislike yaan hayajapenda
  • @
    @husseinhkitambi1701منذ 3 سنوات Utunzaji ndio tatizo mwendo kasi imeharibiwa vibaya tulikua na mashine za card lkn sasa card hazitumiki wameharibu makusudi ili waendelee kuiba 9
  • @
    @kelvinchuwa2212منذ 3 سنوات Matajili wa mabasi wajipange manyanyaso sasa basi wanyooshe Mh : Magu walizidi kutunyanyasa mabasi yao wakafugie kuku nyoko 1
  • @
    @iddisillas4522منذ 3 سنوات ALAFU UNASIKIA MTU ANASEMA MAENDELEO YA VITU? ULITAKA TUVAE NGOZI ZA KIKOLONI MPQKA LEO?
    ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO
    MAGU id="hidden11" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO
    NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO
    ....وسعت 1
  • @
    @mohammednassor3081منذ 3 سنوات Magufuli unastahili sifa na wewe ndie rais wa watu uwe rais wa maisha 1
  • @
    @kasimmarko5513منذ 3 سنوات Mh rais magufuli hii reli tunaomba iende hadi mwanza sbbu anaweza ongera mh rais
  • @
    @2.0BuzzDreمنذ 3 سنوات Tanzania twasonga mbele Kenya mko nyuma bila pingamizi 7
  • @
    @revocatusedward5739منذ 3 سنوات WATANZANIA NAANZA KUWAKUMBUSHA KABISA WALE WENZANGU NA MIMI HIYO MILANGO INAJIFUNGUA YENYEWE SASA WE UFIKE UANZE KULIVUTA 10
  • @
    @beaugosseadam6831منذ 3 سنوات Watu wana hasira kubwa sanaaaa, kwasababu ya kubanwa kwa wizi, dili na ubadirifu. CCM ikikosea kama 2005-2015 hivi vyote tunavyoviona vitapigwa bei. 4
  • @
    @iddisillas4522منذ 3 سنوات ALAFU UNASIKIA MTU ANASEMA MAENDELEO YA VITU? ULITAKA TUVAE NGOZI ZA KIKOLONI MPQKA LEO?
    ETI NDIO ALITAKA KUWA RAISI MPINGA MAENSELEO
    MAGU id="hidden12" class="buttons"> PIGA KAZI MUNGU YU NAWE PIGA KAZI HUKU UKITEMBEA KIFUA MBELE MAANA MUNGU AMEKUSHIKA MKONO
    NAKUOMBEA KIONGOZI MWENYE MAONO
    ....وسعت