Join this channel to get access to perks:
/channel/UCQntQMxSvcZYoJqEs5QEXjQ/join
Enjoy this compilation of Tanzanian comedy videos, funny Tanzanian memes, skits, and much more brought to you by Bambalive your first choice for Tanzania comedy online.
“BAMBA” is a Swahili word meaning “caught”. We
expect people to have simple knowledge at
the tip of their fingers hence at any place any
the time our cameras get hold of you GET READY.
Follow our social media accounts:
Twitter ► https://twitter.com/bambalive1
Facebook ► https://www.facebook.com/Bambalive-185353615520969/
Instagram ► https://www.instagram.com/bambalive/
Tumblr ► https://www.tumblr.com/blog/bambalivecomedy
EMAIL ► bambaliveads@gmail.com
Don’t forget to subscribe, download, and share this video with your friends.
#bambalive #comedy #voxpop
@bobbyswagger4159منذ 6 سنواتkwa tcha apo bro umezingua.. umetengeneza scene kuonekana hajui.. jamaa alikuwa anadoubt kabsa bt umemlimit saana kumuuliza af ukampa choice izo tatu na id="hidden1" class="buttons"> zaid umemwambia kabsa "si nimekupa choice".. kwa mtu asiyefuatilia ayo mamb ya siasa lazima achanganyikiwe.. u av to change the way unaweka maswali yako na unavowa approach watu.. usiulize swali af ukaweka choice, ukiweka choice mana ake kati ya izo moja ni jibu sahihi.. learn from other presenters.. ni hayo tu ....وسعت4
@
@karimuissaamani6969منذ 6 سنواتjaman sjawahi pata like hata siku moja au ninagundu, basi weka like apo dahh! 24
@
@onesmolwambano9349منذ 6 سنواتwangapi wamemuona mwalimu humu wa secondary 13
@
@raymondelihuruma7121منذ 6 سنواتlaif linachanganya maisha kinoma mpaka mwalim 8
@
@hajrarkuziwa730منذ 5 سنواتMwal mse* kweli huyu ili fagio la muhushimiwa halijampata bado amebaki kazini mwalim hujui amphibia hujui mkuu wake wa kazi akiona hii video wallah kazi Hana 6
@
@lolanimals7206منذ 5 سنواتHawa Watu Mbona Wote Kama Dishi Limeyumba, Au Nyie Mnawaonaje Jamani? 6
@
@charzmbilinyi8235منذ 5 سنواتHuyo mwalimu nae chenga kweli broo ungempiga na Kofi kabisa 5
@
@charliesim9565منذ 6 سنواتHuyo Ticha wanguuu hajui , Lolote hata class , ni maneno tupu 1
@
@isayabalthazarymsacky7783منذ 5 سنواتsiku moja uje bunju "a" shule 2
@
@josephatipanda2451منذ 6 سنواتApana haya n maswali yanayomfanya mtu afikirie watu mmezoea maswali ya direct bila kushughulisha ubongo wako, we kwel umesoma japo hata mt kaishia shule id="hidden3" class="buttons"> ya msingi lkn amphibia n neno tulofndishwa toka darasa la nne, we leo unataka jib la direct? Ndio elim tulopandikiziwa tang enz lkn silaum mt ....وسعت
@
@mansooralmahruqi885منذ 6 سنواتHAya sasa ni majanga makubwa kwa taifa,watu elimu duni lakini kila mtu wakanza kijihusisha na siasa na kuwahi kutoa maoni Tupigane ma jana la ujinga ndio maana tunatawaliwa kimbumbumbu 1
@
@ibrahimiddy8385منذ 5 سنواتjamani huyo mwalimu hata Kama yeye amesoma masomo ya arts lakani amphibian na reptilian darasa la sita hivo vinapatikana hata Kama hujaenda secondary 1
@
@rasvegas8991منذ 5 سنواتHuyo mwalimu mbuzi hkna haja ya mshahaara kuongezaa
@
@mtonitvمنذ 5 سنواتUsiache ku subscribe channel yetu ya mtoni Tv..Uone mengi yanayojiri mto wa mbu.. Na kote ulimwenguni 2
@
@arnoldalphonce6885منذ 6 سنواتNext time weka maswali ili mtu aweze fikilia mwenyew mfano. Unaelewa nini kuhusu neno Amphibia?? 1
@
@charlesmwanyika1950منذ 5 سنواتMtaani kwetu Magomeni makuti mtaa wa somanga
@
@richardkwayson7202منذ 6 سنواتIvi yule mwalimu mwenye upara anafundisha shule ya wapi 1
@
@linusngure9944منذ 6 سنواتnikiwa kama msaidiz wa rais mwalimu Kwa nzia leo huna kaz icho ki preedeeety peleka kwenu 1
@
@seifbaus7منذ 6 سنواتHuyu mwalim ndie mjinga zaid kuliko wote,duh banda linasaidia sn.
@
@rehemamuingia7677منذ 6 سنواتkiukweli nimeangali hii video nimecheka sn 1
@
@designskeymediaagency7169منذ 6 سنواتusiache kusabskwanjii channel yetu .babu bana hahahahahaha 2
@
@idrisdemeng7240منذ 5 سنواتHuyu mwalimu, kachapia kinyama hivi kaponaje huyu na sakata la walimu fake?. 3
@
@abelgervas4663منذ 5 سنواتAaaaaaaahaaaaha hii inaonesha nijinsi gan watanzania wengi hawana elimu daaaaaah 1
@jacobmwaseba5923منذ 6 سنواتkuna kufeli kwa aina mbili mwalimu kushindwa jinsi ya kuuliza swali na mwanafunzi kushindwa swali, hapo mwalimu umefeli mana ndio inawezekana raisi akawepo id="hidden5" class="buttons"> anitwa amfibia ( mfano kuna msanii anaitwa SIMBA) ko unafikili ukisema taja nchi gani anatokea simba nitasema hapana ni mnyama hapo nitasema ni TZ ....وسعت1
@
@gilbertgalus5352منذ 5 سنواتMwalimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu! Pasua kichwa
@
@mpegesaaswile6581منذ 6 سنواتHaya siyo maswali ya kiakili hata kidogo maana ni kweli amphibia akawa rais au kundi la wadudu wenye damu baridi kama chura, lakini pia mtu anaweza kujipa jina la amphibia na akawa rais 1
@
@avitymendezy9891منذ 5 سنواتAmphibia pamoja na kuwa ni jamii ya viumbe waishio majini, sio ukweli kwamba haliwezi kuwa jina la mtu kwa sababu, ukisoma lugha huwa tunasema jina ni id="hidden7" class="buttons"> jina ko laweza kutumika bila hata uhalisia wa kitu chochote ko pamoja na kuwa hilo ni jina la kundi flani hata kutumika kwa mtu inawezekama. Mfano mzuri ni Diamond au Platnum. ....وسعت2
Tupigane ma jana la ujinga ndio maana tunatawaliwa kimbumbumbu 1
Hahahahaahhahaha 2
Hahaaaaaaaaa, usiache kusabusikwashiiii Chanel yetu 2
Nitapredict Ghana 2