المدة الزمنية 12:58

CUF wamlipua Mtatiro, Anataka U-makonda na U-jokate

بواسطة HABARIMPYA TV
5 453 مشاهدة
0
23
تم نشره في 2018/08/12

Chama cha wananchi CUF kupitia kwa Mkurugenzi wake wa Habari na Mawasiliano, Abdul Kambaya, imefunguka kuhusu Mtatiro kutangaza kujiuzulu na kuhamia CCM huku akikikosoa vikali chama hiko. Kambaya amedai kuwa Mtatiro ni muongo kutokana na moja ya kauli zake za kuwa amewahi kuandika ilani cha chama hiko katika uchaguzi mkuu na pia wameongeza kuwa yeye ndio alikuwa kirusi ndani ya chama hiko kwa kusababisha mgogoro mkubwa unaoendelea.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 11