المدة الزمنية 6:17

Rais Magufuli: Wizara ya Ujenzi imeniudhi, barabara ya Mtwara - Dar ni mbovu sana

بواسطة JamiiForums
501 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/07/30

Rais #Magufuli amesema ametoka na machungu ya kumzika Mzee #Mkapa na machungu mengine ameyapata kwenye barabara hiyo kwa kukuta barabara haijatengenezwa, hata mashimo madogo madogo Amesema barabara hiyo inaharibika kutokana na mizigo inayopakiwa kwenye malori yanayobeba mizingo na Regional Manager wa Barabara ameshindwa kudhibiti hata kwa kuweka mizani wanapobeba mawe

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1