المدة الزمنية 56:56

KIDANI EPS 07- UKIISHI NA MWANAUME BILA NDOA HAYA NDIO YATAKUKUTA/MAMA VICTOR, MWANASHERIA

بواسطة Kidani Show
1 247 مشاهدة
0
13
تم نشره في 2021/09/20

kundi kubwa la vijana huishi bila ndoa ya ina yoyote, na huchangia katika kuchuma mali lakini migogoro inapoibuka hali huanza kuwa tete na mara zote anaepoteza ni mwanamke. Mwanasheri amegusia vipengele muhimu sana Kuhusu haki na sheria inayomlinda kila mmoja wapo. Mama Victor akatolea ufafanuzi kuhusu aina hiyo ya mahusiano

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3