المدة الزمنية 40:53

Mawakala wasipoapishwa Umma wa watanzania muungane na sisi ndani ya vituo vya kura.

بواسطة Vamba Tv Online
96 مشاهدة
0
5
تم نشره في 2020/10/21

#Chadema #UchaguziMkuu #Tanzania #Zanzibar "Ni vyema Umma wa Watanzania Ukajiandaa na tunasisitiza kauli yetu kama Chama kwamba kwa namna yoyote ile,Umma wa Watanzania Muungane na sisi kuhakikisha Mawakala wetu wanakuwepo ndani ya vituo vya kupiga kura.” Katibu Mkuu wa Chadema @jjmnyika #vambatv_updates

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0