المدة الزمنية 1:27

Ibada ya wafu kwa niaba ya seneta Victor Prengei yaandaliwa Nairobi

بواسطة Citizen TV Kenya
4 613 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2021/08/26

Viongozi mbalimbali wamekusanyika katika kanisa moja hapa Nairobi kwa ibada ya wafu kwa seneta mteule Victor Prengei, aliyefariki kutokana na ajali ya barabarani mapema juma lililopita. Viongozi wa kisiasa na wengineo wamejumuika kwa ibada hii kumkumbuka kiongozi waliyemtaja kuwa mchanga na mwenye maono. Seneta Prengei alifariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya barabarani tarehe 16 mwezi huu wa Agosti

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1