المدة الزمنية 19:48

KISANGA CHA BODABODA NA POLISI BUNGENI, WAZIRI SIMBACHAWENE ASIMAMA JUU

بواسطة Millard Ayo
27 661 مشاهدة
0
121
تم نشره في 2021/04/08

Miongoni mwa maswali yaliyoulizwa Bungeni Dodoma leo April 8, 2021 ni pamoja na sakata la baadhi ya Askari Polisi nchini Tanzanza kudaiwa kuwabambikizia kesi na kwakamata bila mpangilio madereva wa pikipiki maarufu kama Bodaboda

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 96
  • @
    @Mbenja12منذ 3 سنوات Aunt Ritha kabati.. Nimekuelewa sana..
  • @
    @jitulakalemastr7636منذ 3 سنوات Mungu awabarki wote mlio uliza maswli zidi ya boda 3
  • @
    @mathewwami3905منذ 3 سنوات Ni kweli, Traffic barabarani wameona boda na Bajaj Ni kitegauchumi. Ndugu wabunge ninyi hamtumii vyombo hivi katika kutafuta rizki,
    Traffic wakimkamata boda au Bajaj Ni kutoza fine tu.. hawatoi elimu.
    4
  • @
    @humphreyvidonyi253منذ 3 سنوات Mrisho gambo katulia Yuko vizuri. Kwa umbuge wa A town fresh 1
  • @
    @emmanuelmgaya6078منذ 3 سنوات Wanajenga kwaajili ya pkpk matrafiki huku 2
  • @
    @emmanuelbonifas3517منذ 3 سنوات Manyinyi nimekuelewa vizuri na ujumbe umewafikia we jibu unavyojua tu lakini swali limekuingia 2
  • @
    @kingsuleiman7201منذ 3 سنوات Jamani fanyeni malekebisho bodaboda tunapata shida nyee tu nyanyaseni tuta onana 2025. 5
  • @
    @irenepatrickdavid5891منذ 3 سنوات Tatizo ni abiria wao Ndo wanawapushi bodaboda 2
  • @
    @davidkalayo2389منذ 3 سنوات Nikweli polisi wanakamata pikipiki na kudai faini zaidi ya elfu30
  • @
    @emmanuelmgaya6078منذ 3 سنوات Police wanakomoa sana sio faini hz mtu analipishwa laki na ishilini hapan bhna uonevu 5
  • @
    @jedidahbintidaudi8241منذ 3 سنوات pikipiki za watt wa watu zinakaa polisi kisha wanapiga mnada na huku nyuma CAG anasema serikali imeliwa ma billions and trillions of money. kesho pia wanasema id="hidden2" class="buttons"> watu waliokuwa kutokulipa kodi watasamehewa. mbona hawa wasisamehewe hawa? ....وسعت 5
  • @
    @Process607منذ 3 سنوات Ubunge kumbe easy tu mnapiga story hamna jambo
  • @
    @mbebesisilayo2511منذ 3 سنوات Kituo Cha polici chang'ombe temeke mmesikia hiyoo kauli ya naibu chilo 1
  • @
    @juliethmoshi2923منذ 3 سنوات Hata mm nilishalipishwa elfu 60 na trafik mwanza na ninamjua wanakupa makosa ya kizembe na kuchomoa funguo kwenye bodaboda huku ikitembea nalo ni tatizo
  • @
    @josephmeney8200منذ 3 سنوات Arusha trafik walikuwa wakikuta hata pik pk imepak wanakata nyaya na lock steling wanachukuwa hata Kama mwenyewe hayupo
  • @
    @maxcharles5436منذ 3 سنوات Ulanga tunakamatwa kila siku serikal iliangalie 1
  • @
    @Wami-Sababishoمنذ 3 سنوات Hata ukipigwa faini Bodaboda kwa nn hatupewi risiti!?.
  • @
    @kainimlowe7555منذ 3 سنوات huyu naibu waziri mbona mpumbavu sana kweli kangi lugola alitusaidia sana 1
  • @
    @edsonmnego3405منذ 3 سنوات Unaumwa wew nani kakwambia kuwa faini inapunguza ajali kweli selikali hii sasa ni shida
  • @
    @masudimnama3801منذ 3 سنوات Muheshimiwa naibu wazira fani ndiyo inaondoa ajali za bodoboda
  • @
    @godfreynefary4888منذ 3 سنوات Majibu ya naibu wazir mambo ya ndan ni ya kipuuz mbwa mkubwa huyo
  • @
    @kiliboykilimanjaro377منذ 3 سنوات Huu niukomoaji bunge limekua unafiki mtupu punguzeni adhabu mnakomoa watu sio kila mtu anauwezo hata wakununua hyo bodada anapeleka hesabu acheni unafki hapo bungeni
  • @
    @mathewwami3905منذ 3 سنوات Mheshimiwa naibu waziri hajaelewa swali vizuri, hoja sio bodaboda kupunguziwa adhabu, hoja Ni kuwa hakuna uhusiano wa adhabu Kati ya Gari na bodaboda. 1
  • @
    @danielyohana7271منذ 3 سنوات Hoja ina kuwa haieleweki faini ya chombo kinacho uzwa milioni mia nne nachombo kinacho uzwa milioni mbili zinafanani duuuu selikali iliangalie hapo
  • @
    @angelanaftael7965منذ 3 سنوات Mambo ya ndani kuna machangamoto mengi mnoooo.kero nyingiiiiii hakuna kusikilizana ni kuminya tuuu looooooo
  • @
    @malikihemfaume3906منذ 3 سنوات Mzee unajibu kutumia karatasi ingia barabarani uone hawa watu wa chini huku mtihani sana.wazir ingieni muone raia wanachopata huku uraia.
  • @
    @benjaminbatano3293منذ 3 سنوات Bunge la ovyo tu hili mnatumia kodi ya watanzania hamfai kabisa.
  • @
    @danielyohana7271منذ 3 سنوات Mfanya biashala wa basi anafanya safali moja anaingiza laki 8 kosamoja la balabalani ana lipa selasini bodaboda anapakia abilia wa buku na anakaaazaidi id="hidden6" class="buttons"> ya saa zima bila kupakia abilia mwingine naeakikamatwa analipa selasini duuuu mungu anawaona kwa sheliahii. ....وسعت
  • @
    @rojassally2066منذ 3 سنوات Wangekuwa na wao kuna sheria inawabana n raia tukaijua basi polis wasingetunyanyasa
  • @
    @jumamtopelwa2238منذ 3 سنوات Azabu za bodaboda zipo juu Sana tunaomba zipunguzwe
  • @
    @shukurumwalukopetro6757منذ 3 سنوات Mliouliza maswali safi sana tusaidieni,kwani tunaonewa sana funguo wanapora kama zao,kwani ukinikamata huwezi kunielimisha tu hadi hela!?
  • @
    @humphreyvidonyi253منذ 3 سنوات Mda haujafika c kweli ? Mnakamata piki mno ?
  • @
    @makongoronyerere2595منذ 3 سنوات Kwan Hy xpika anaacha lin uspka wake ?kaz kucheka cheka2, ,nahivyo jpm hyupo kazi ipo,
  • @
    @isayayohana6341منذ 3 سنوات Yani tunaomba serikali iangalie hili swala la fayni kwa upande wa sisi waendesha boda yani m2 unapingwa faini ata ya laki na ishirini jmn 1
  • @
    @jitulakalemastr7636منذ 3 سنوات Ata ajajibu kitu kinacho elewka kwni boda wote niwa korofi mbona ata magar kuna maderva wanaendesha vibaya
  • @
    @isacksaimon4532منذ 3 سنوات Kwakwel boda wana teseka sana wana kamatwa sana tena saiv wana fatwa vijiwen alaf mkisema zinapigwa minada hapo sasa mna dengeneza madili kwa wabigaji
  • @
    @zinbormdan9813منذ 3 سنوات Muwaonee huruma jaman vijan wanatafuta hawataki kuiba
  • @
    @alvangidion4267منذ 3 سنوات Unombwa rushwa ya elfu 30000,huku anakutishia kukupiga faini ya 90000
  • @
    @ishengomanelsonمنذ 3 سنوات Hivi nyie wanasiasa wa Tanzania mmerogwa na nani? Yaani wakati mwingine hujui mwenye uelewa na asiye! Thanks to Mbunge wa Kinondoni Abbas Tarimba
  • @
    @sannycpaul9423منذ 3 سنوات Nyinyi wabunge mnatuvuruga tuu hapa shwaini nyie
  • @
    @twahilimohamed2232منذ 3 سنوات Kwanza uyu naibu chenga hakuna anetoka nyumbn akapate ajari pkpk inakamatwa anaambiwa laki mbili laki moja jaman wabunge wanafki tuktane 2025 2
  • @
    @msomimosomy9812منذ 3 سنوات Vitendohivyo siyo maketetu ninchi nzima bodaboda tunafanyiwa hivyohivyo
  • @
    @isamohamedramadhan2221منذ 3 سنوات Traffic wanatusumbua,tukikesha tunakabwa tunajeruhiwa,tunaporwa pikipiki tunapoteza maisha,kutokana na kazi hii,ila tutamis kangi lugola
  • @
    @alihassani8668منذ 3 سنوات Sambamba na vijana wa bodaboda kuvunja sheria za usalama barabarani jeshi la polisi linachangia kwa kiasi kikubwa uwepo wa tabia hizi
  • @
    @danielyohana7271منذ 3 سنوات Bodaboda ukiwauliza waheshimiwa utasikia wanavunjika bodaboda anapata hajali na abilia mmoja basi LA kwenda mkoani linapata ajali nawatu 70 Wote wanalipa faini ya 30000 hiiindoshelia Za Tanzania mungu anawaona .
  • @
    @BANDOONLINETV2020منذ 3 سنوات Hakika ni hoja nzuri. Lakini pia angalia na hii https://youtu.be/mi-1E23I3Lg
  • @
    @jedidahbintidaudi8241منذ 3 سنوات basi waziri ya mambo ya ndani watoe elimu kwa kaka zetu jmni..mbona elimu kwa bodaboda wasipewe? Police nikuwafain tuu kaka zetu kila siku asubhuhi jioni lakini serikali bado inaliwa billion na billions of money
  • @
    @joelrugano6517منذ 3 سنوات Hawa bodaboda fine iko juu lakini bado hawana adabu. Wakipunguziwa fine nadhani ndo watazidisha usumbufu. 1
  • @
    @ombeniefata7617منذ 3 سنوات We mbunge hata ujui bodaboda unaweza kupigwa mpaka 90000
  • @
    @aminattai7844منذ 3 سنوات Mi ningeomba wahusika kuondoa yale makaratasi wanayotubandkia kwenye pikipiki zetu ni uchafuzi wa mazingira kwenye vyombo vyetu.tubandikieni sticker kama id="hidden10" class="buttons"> zile za bima za kitengo husika jambo linalowezekana,sijawahi kukuta bodaboda kwa nchi za jirani kubandika makaratasi kama ya kwetu ambayo pikipiki inapotembea maratasi yale yanapeperuka kama vile mabango ya kampeni ....وسعت
  • @
    @wisperfect5320منذ 3 سنوات Hakuna mtu ambaye anatenda kosa kwa kusema nitalipa faini hata kama itakuwa buku.tunachotaka kuseme ni kwamba bodaboda anapakia abiria mmoja kwa sh 1000 id="hidden11" class="buttons"> anakamatwa kwa kutovaa viatu faini 30 je huyu mtu unataka ajikwamue kimaisha? Mwisho wa siku anafeli na kuwa mwizi pili unakuta anakamatwa na kuandikiwa makosa manne hapohapo hili swala liangalien kwa jicho la pili angalau kosa moja iwe hata 15000 au 10000 ....وسعت
  • @
    @nickomlimbila217منذ 3 سنوات Police sio rafiki kabisa na madereva boda nimeona kila sehem
  • @
    @angelanaftael7965منذ 3 سنوات Sio bodaboda tuu hata magari binafsi unakamatwa tuu hata speed ikiwa 50 ukakutwa na 53 ni shida imagine .ila pia unakamatwa kwa speed 53 lakini anapita id="hidden12" class="buttons"> mtu ns gari lake speed 100 na hakamatwi.najiuliza hizi speed limit ni za virikuu vyetu tuu na miprado minene haina limit.mbona Kuna double standards ....وسعت
  • @
    @filbertcarlos2946منذ 3 سنوات Wewe waziri hujui tu tunavyonyanyaswa ukitaka kujua kama watu wanapata shida nunua bodaboda yako mpe kijana halafu utaona kati ya swali na hayo majibu yako
  • @
    @saidiyusupu2090منذ 3 سنوات Huyu naibu chiro simuelewi, iv umekamatwa na police af unampeleka wap? Hao polic ni waonevu sana, kuna siku wataandamana kisa uonevu na upolwaji wa pikpik zao!
  • @
    @ishengomanelsonمنذ 3 سنوات Mbona sisikii uvunjaji wa sheria za barabarani za hawa Bodaboda? Hawa watu pamoja na mchango wao mkubwa wameleta madhara makubwa saaana ila kwasababu ya id="hidden15" class="buttons"> ujinga wa kisiasasiasa huu mnaleta mzaa. Tunataka wanasiasa wakweli sio wa matumbo ....وسعت
  • @
    @isacksaimon4532منذ 3 سنوات Mibunge mijinga hii ina piga makofi kabisa haijui 2 hawa boda wana pitia magumu sana hii mibunge haijui 1
  • @
    @seifmohamed836منذ 3 سنوات Fungia bodaboda wote niwezi hamnakutumia pkpk aina yoyote tutumie tax na daladala wengi wao niwezin
  • @
    @alvangidion4267منذ 3 سنوات Kweli wanatukamata sana hasa dar es salaam kuna gari namba 1848.wanakukamata wanataka pesa usipowapa wanakupa kesi kwa mfano wrong parking au kwamba umepita Barabara ya mwendo kasi ili mradi tu wakukomoe 1
  • @
    @allenngandu17منذ 3 سنوات hapa serikali iingie gharama tu kama ulaya polisi na traffic police wawe na body camera kama
    ulaya
    1
  • @
    @irenepatrickdavid5891منذ 3 سنوات Me Nadhan faini aizuiii makosaaaa Na pia serikali aiwajali bodaboda
  • @
    @mathewwami3905منذ 3 سنوات KIKUBWA TU BODA NA BAJAJ WAPEWE ELIMU NA SIO FINES TU 1
  • @
    @officialjohanesmkandara4301منذ 3 سنوات Kuna mibunge mingine inatombwa sio bure wengine usikute wamesomeshwa na boda ila ishafika bungeni inajikuta ndo ishayapatia maisha kumama zenu wasenge nyie 1