المدة الزمنية 13:23

Uchaguzi2020: Tundu Lissu kumuwekea pingamizi Mgombea wa CCM, Rais John Magufuli

بواسطة JamiiForums
4 389 مشاهدة
0
22
تم نشره في 2020/08/05

Amesema Rais #Magufuli huku akiwa ameshatangazwa kuwa Mgombea Urais wa #Tanzania kupitia CCM kwenye Uchaguzi wa Oktoba 2020 ametoa rushwa Wilayani Kibiti kwa mujibu wa Fomu ya Kuweka Mapingamizi dhidi ya Mgombea Urais Amesema Rais Magufuli alipokuwa akigawa fedha kwa ajili ya madawati na shule alikiuka sababu ya 16 kwenye Fomu hiyo inayosema Mgombea Urais anaweza kuwekewa pingamizi iwapo atakiuka Makatazo yaliyotatwa kwenye sheria ya gharama za #Uchaguzi

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 17