المدة الزمنية 2:3

AGIZO LA JPM LATEKELEZWA, TANESCO MANYARA IMEPOKEA NGUZO 520 AWAMU YA KWANZA KUTOKA QWIHAYA.

بواسطة DM News
342 مشاهدة
0
4
تم نشره في 2020/10/26

Agizo la Rais wa Jamhuri ya Muungani waTanzania Dkt John Magufuli la kumtaka Waziri wa Nishati Dkt Medard Kalemani la kutafuta Fedha sh, bil moja kwaajili ya kuwaunganishia umeme Wananchi Elfu nne wa mkoa wa Manyara limeanza kutekeleza ambapo leo Meneja wa Tanesco Mkoa huo amepokea Nguzo 520 kutoka kampuni ya QWIHAYA ikiwa ni awamu ya kwanza ya nguzo hizo, JPM alitoa agizo hilo Jana Wilayani Babati wakati wa Mkutano wa Kampeni baada ya kupokea Kero ya Wananchi hao juu ya kucheleweshwa kuunganishiwa Umeme. #wizarayanishati #uchaguzimkuu2020 #ccmtaifa #tanescotz #qwihaya

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1