المدة الزمنية 3:49

VITA DHIDI YA UKATILI YAZIDI KUPAMBA MOTO

121 مشاهدة
0
1
تم نشره في 2021/12/07

#HiviPunde #SerengetiMediaCentre #Subscribe #antomatv Jamii ya watu wa Serengeti imeendelea kupokea elimu ya kupinga na kutokomeza vitendo vya ukatili kwa wasichana na akina mama. Elimu hiyo inayotolewa na Usitawi wa jamii,Dawati la Jinsia Polisi kwa kushirikiana na Shirika la Hope For Girls and Woman Tanzania imeonekana kuwa chachu kwa kuleta mtazamo chanya ndani ya jamii hiyo. Kuwa wa kwanza kupata matukio ndani ya channel hii Washa Arifa (Notification) yako sasa ili uwe wa kwanza Pia tembelea Kurasa zetu ndani ya mitandao ya kijamii @Antomatv @SerengetiMediacentre

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 1