JUMAPILI YA 18 ; MWAKA B
ZABURI 78:3-4, 23-25, 54 K (24)
AKAWANYESHEA MANA ILI WALE; AKAWAPA NAFAKA YA MBINGUNI
Mambo tuliyoyasikia na kuyafahamu,
Ambayo Baba zetu walituambia
Hayo hatutawaficha wana wao
Huku tukiwaambia kizazi kingine
Sifa za Bwana, na nguvu zake.
Lakini aliyaamuru mawingu juu,
Akaifungua milango ya mbinguni,
Akawanyeshea mana ili wale
Akawapa nafaka ya mbinguni.
Mwanadamu akala chakula cha mashujaa,
Aliwapelekea chakula cha kuwashibisha
Akawapeleka hadi mpaka wake mtakatifu,
Mlima alioununua kwa mkono wake wa kuume.
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 1
مقاطع الفيديو ذات الصلة على ZABURI JUMAPILI YA 18: