ASALAM ALAIKU WARAHMATULLAHI WABARAKATU
UJUMBE HUU WA VIDEO NILIOKUTUMIA INAHUSIANA NA DUA AMBAYO TUNAIFANYA KILA ITAPOFIKA TAREHE 28 KWA AJILI YA KUMUOMBA ALLAH ATUONDOSHEE MITIHANI MIZITO TULIYONAYO KATIKA MAISHA YETU HIVYO IKIWA NAWE UTAHITAJI KUWA MIONGONI MWA HAO TUTAKAOSHIRIKIANA KATIKA DUA HATA KAMA UPO MBALI NIA TU INATOSHA MAANA ALLAH YUPO POPOTE BASI UTATUMA JINA LAKO NAWE TUKUINGIZA KATIKA TUTAKAOWAFANZIA DUA
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 8
مقاطع الفيديو ذات الصلة على UJUMBE WA DUA INAYOFANYIKA KILA TAREHE 28: