المدة الزمنية 5:10

Kanuni za matumizi ya Pesa - Joel Nanauka

بواسطة Joel Nanauka
135 840 مشاهدة
0
1.7 K
تعليقات - 155
  • @
    @irenemina2059منذ 4 سنوات my favorite motivation speaker Nanauka 4
  • @
    @shedrackymatandala1339العام الماضي najuwa utakuwa unapokea asante nyingiii xana pengine hadi zamikono kabisaa ila naomba upokee na asante yangu hatakama haina ki2 7bu wewe ni2m watofauti id="hidden1" class="buttons"> xana na unanifundixha vi2 viiingiii ambavyo nilikuwa navifanya bila kuvifikiliya kuwa nivinaumuhimuganu kwangu na kwenye maixha yangu brooo xnte ....وسعت 2
  • @
    @bueno1818منذ 4 سنوات Inspiration icon! Keep teaching us sir! 3
  • @
    @sixmelody4349قبل 11 أشهر Nimetulia hap napata darasa zuri la maisha 1
  • @
    @augustinomarkmmbaga3170منذ 3 سنوات 1. Jilipe mwenyewe kwanza
    2. Matumizi yako yasiongezeke kipato chako kinapoongozeka ili ubakiwe na kiasi cha fedha kwa ajili ya uwekezaji
    3. Wekeza pesa zako kwenye aina ya uwekezaji unaoufahamu vizuri
    11
  • @
    @nelsonjonas7334منذ 2 سنوات Noted brother Joel, Mungu azidi kukupa uhai kwa maono ya jao makubwa zaidi katika kufundisha na kutoa ushauri. 2
  • @
    @patiencejames4853منذ 4 سنوات Huyu br, Mungu kamleta kwa kusudi maalumu Tanzania , proud of you br 15
  • @
    @issakigezi4709منذ 4 سنوات Kaka Joel Asante Sana kwa masomo yako naomba uchambue biashara za kuchangia 3
  • @
    @merykyungai2551قبل 7 أشهر Umenisaidia sana kwenye matumizi ya pesa Asante sana
  • @
    @mamadon2953منذ 4 سنوات At least nimejinza kitu leo. God bless you 2
  • @
    @nashiruhassani5158منذ 3 سنوات Mungu akupe maisha marefu ili uendelee kutuelimisha
  • @
    @JOHNCHANGE-qv1fpقبل 11 أشهر Thank you my brother I collect you from Zambian
  • @
    @wamariciousmaro3229منذ 2 سنوات My best motivational speaker big up br 1
  • @
    @shukranjulius5910منذ 3 سنوات Hakika nabarikiwa mno kaka Joel Mungu akutunze
  • @
    @bajutaboy7588منذ 2 سنوات Umenena kweli kaka tuko pamoja naamini nitabadilisha matumizi yangu ya kifedha
  • @
    @alnejom7279منذ 4 سنوات MUNGU akubariki sana naendelea kujifunza
  • @
    @mussadismass9306منذ 3 سنوات Ubarikiw sana kaka Joel nimejifunza San somo hili kwaumakin
  • @
    @aminaibrahim3656منذ 3 سنوات Nice teacher nakufatilia Sana Mr Joel Nanauka m/mungu akubaliki kila siku
  • @
    @faudhiarajabu2655منذ 3 سنوات Ahsante kaka nimejifunza leo kupitia wewe
  • @
    @deomsaky7629منذ 2 سنوات Kaka upo vizuri Sana naendelea kujifunza
  • @
    @chalresmyamba1071منذ 2 سنوات Joel Mungu kakuleta tz kwa kusudi maalumu so kwa kutufungua ubongo Naamini mwaka Huu nimefanya vizur kupita kwa maoni yako Mungu akupe miaka zaid utufikishe mabli
  • @
    @zephaniamadoshi9492منذ 3 سنوات Nashukulu Sana kaka angu kweli hujawahi kuongea ki2 kinyume ubarikiwe
  • @
    @upendosamson8450منذ 3 سنوات Kwakwel nimebarikiwa Sana na hili somo be blessed my brother
  • @
    @ivanisack5252منذ 4 سنوات Nakupata moja kwa moja kutoka mwanz tz
  • @
    @danielw.katabe6553قبل 10 أشهر See me at the top! Niko na ww class to class
  • @
    @alenenerico9724منذ 4 سنوات Mafunzo yak naelewag xan god be with you
  • @
    @Raja-zu7nhمنذ 3 سنوات Umeni fumbua kaka nimengi sana nirikua sifaamu
  • @
    @jimmyfaliala5460منذ 2 سنوات Ubarikiwe Sana my teacher mengi na njifunza kwenye vipindi vyako .
  • @
    @angeljohnson5093قبل 9 أشهر Bro leo nimejifunza kitu kikubwa sana nakuaidi nabadilika sasa
  • @
    @mbirionline4916منذ 4 سنوات Mkuu huu pesa zina kuja na maelezo yake na matumizi yake 1
  • @
    @timothymwaluko4189منذ 3 سنوات kazi zako nzuri sana kaka,ubarikiwe sana
  • @
    @yohanamagele3633منذ 3 سنوات Hii KANUNI ya 3 imenipotezea fedha thanks brother
  • @
    @juvenarymachumuمنذ 4 سنوات Duh mm nilikia nakiuka knuni ya kwanza
  • @
    @priscardanier8264العام الماضي Nimejiajili huu mwaka wa 3 lakin sijawai jilipa
  • @
    @daniellepari4525منذ 4 سنوات Ahsante sana kaka kwa kujitoa kuelimisha watu mungu Akubariki sana 3
  • @
    @muhsinsalum8009منذ 2 سنوات Zote ninoma kwangu.
    Natakiwa nijitazame VIZURI
  • @
    @juliusbwire2278منذ 3 سنوات Nimebarikiwa sana na video na ebook zako, hakika Mungu amekuchagua ulete mabadiliko kwa watu wake,
  • @
    @chazmtawala990منذ 4 سنوات Naam my Burothar Umenifundisha mengi sana Nakushukuru sana Na Mungu Akubaliki Uzidi Kusitawi katika Kipaji chako
  • @
    @antonadam4231منذ 4 سنوات Hiyo namba tatu inawahusu watu wengi zaidi
  • @
    @jpntv8456منذ 4 سنوات SIJAMALIZA KUSIKILIZA ILA NIMEJIFUNZA KWA 100% naendelea kukusikiliza na kukufatilia .BE BLESSED 3
  • @
    @yassinkassim5241منذ 4 سنوات Yaani watu eh sasa Dislike Za nini kwenye somo bora kabisa
  • @
    @linussiwitilisitv4830منذ 4 سنوات Shukrani sana kaka Joel N Kuna kitu kikubwa nimejifunza juu ya kanuni hizi tatu.
  • @
    @fenyotzmlekwa7590منذ 4 سنوات Hiyo kanuni ya kwanza nilikuwa cjaitambua nashukuru sana umenifumbu
  • @
    @princesstaes5483منذ 4 سنوات Nmejifunza kitu aiseeee me nimiungoni nisieweza kutunza pesa ubarikiwe Broo 1
  • @
    @phanuelpaul3785منذ 4 سنوات Haijalishi unaingiza pesa nyingi kiasi gani kumbe kinachomata ni unasave kiasi gan ok ahsant sna