المدة الزمنية 4:23

Waziri Mkuu Afanya Ziara Ya Ghafla Mamlaka Ya Uwekezaji Kwa Mauzo Ya Nje

بواسطة Lete Chai Tv
109 مشاهدة
0
2
تم نشره في 2021/06/19

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amefanya ziara katika Mamlaka ya Maeneo Maalum ya Uwekezaji kwa Mauzo ya Nje (EPZA) wilayani Ubungo ambapo amesema hajaridhishwa na utendajikazi wa mamlaka hiyo, hivyo ameagiza yafanyike mabadiliko makubwa kuhakikisha lengo ya uanzishwaji wake linafikiwa. “…Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda (Dotto James) waondoe hapa Mkuu wa Kitengo cha Sheria Sara Mwaipopo na Meneja Uwezeshaji Grace Lemunge kwa sababu wanafanyakazi kwa mazoea na urasimu mkubwa. Hapa hatuhitaji urasimu, tunataka wawekezaji.”

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0