المدة الزمنية 11:14

Acha kulazimisha watu wa subscribe kwenye channe yako

بواسطة Bariki Karoli
906 مشاهدة
0
59
تم نشره في 2020/05/27

Karibuni tena wapenzi kwenye video nyingine!! Kwenye hii video nimeongelea kuhusu Jinsi ya kupata subscribers. Na kuacha kulazimisha watu wa subscribe kwenye channel yako. Kutumia njia ya sub for sub siyo nzuri kama unataka kuwa na mafanikio Mazuri kwenye channel yako. Camera: Canon m50 Unaweza kunipata kwa: Instagram: bariki.k Email address for sponsorship or business: bariki.karoli@gmail.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 50