المدة الزمنية 1:14

Ile kesi ya Wema Sepetu yafikisha siku 42, mahakama yaelezwa upelelezi

بواسطة Millard Ayo
1 212 مشاهدة
0
9
تم نشره في 2018/12/12

Kesi ya kusambaza picha za ngono kupitia mtandao wa Instagram inayomkabili msanii Wema Sepetu imefikisha siku 42, huku upelelezi ukiwa haujakamilika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Kesi hiyo ilipangwa leo kwa ajili ya kutajwa mbele ya Hakimu Mkazi Maira Kasonde, ambapo Wakili wa Serikali Mosia Kaima amedai upelelezi haujakamilika.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 4