Hydroponic fodders ya mtama ina faida kwa kuku.
1. Kwa kuku wa kienyeji ao chotara wanaanja kula hydroponic fodders tangu wiki ya 8.
2. Jinsi ya kuwapimia
wiki ya 8 kuku inakula 49 g kwa siku
utawapa hydroponic fodders 70% na Chukula ya kiwandani ao uliyochanganywa 30% ni kusema ikiwa una kuku 100
49g X 100= 4900 g ~ 5000 g ao kilo 5 ya chakula kwa siku.
5X70= 350:100= 3.5 hydroponic fodders
5X30=150:100=1.5 chakula uliyochanganywa ao ya kiwandani
kuku wa nyama tanga wanapoanza kula broiler finisha lakini utawapa hydroponic fodders 30% na chakula uliyochanganywa ao ya kiwandani 70%
الفئة
عرض المزيد
تعليقات - 4
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Hydroponic fodders kwa ajili ya kuku siku ya 4: