المدة الزمنية 7:47

IMEVUJA: Kocha Muitaliano kutua Yanga/ Ana REKODI kali ya KIMATAIFA/UEFA inamtambua

بواسطة Dar24 Media
15 801 مشاهدة
0
77
تم نشره في 2020/08/01

#Yanga #Giovani #TFF

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 27
  • @
    @nangukakassim6138منذ 4 سنوات Upovizuri sana ndugu kwa uchambuzi endelea na kasi hii
  • @
    @wilfredamedeus4885منذ 4 سنوات Hata angekuwa na rekodi ya dunia kwa yanga tu hatoboi bora aende hata ndanda 1
  • @
    @selemanikisanga4424منذ 4 سنوات Au kocha mzuri koz hadumu na timu hajawah kaa na timu kwa miaka miwili 1
  • @
    @selemanikisanga4424منذ 4 سنوات Huyo si kocha mzuri hadumug na timu kabisa unchebe ndo kocha anaeiweza yanga
  • @
    @zabronnkoy4908منذ 4 سنوات Kama ni mtariano basi tutarajie kuwaona tena kina Mwaikimba Yanga..
  • @
    @natafutapesa9678منذ 4 سنوات Huyo hafai mana hakuna sehem ambayo amekaa kwa muda mrefu sasa itakua kila siku tunaajili makocha
  • @
    @bundukitv1322منذ 4 سنوات Tazama simulizi ya TEJA aliyepitia mikasa ya kusisimua.
  • @
    @husseinndama8957منذ 4 سنوات Kocha hana kikombe cha ushindani kocha gani huyu.hatumtaki
  • @
    @frankzacharia4526منذ 4 سنوات Ni kocha au ni mtalii? Mbona hatulii na kila timu?
  • @
    @funnyhouse5896منذ 4 سنوات Kocha kafundisha Bangladeshi amna kocha apo utopoloo tu
  • @
    @jorammagembe228منذ 4 سنوات Leten Waingereza wenye CV zao ndio wanajua mpra mtam
  • @
    @barakamollel9122منذ 4 سنوات Nini kinamtoa haraka hivo kwny timu anazofundisha? 1