المدة الزمنية 8:16

MJADALA WA KUMPA PESA MWANAMKE WAMFIKIA MWIJAKU, KAFUNGUKA BUSARA ZAKE MWANAMKE AKUOMBE ANACHOTAKA

بواسطة Millard Ayo
10 215 مشاهدة
0
117
تم نشره في 2021/02/05

Baada ya kuepo mjadala mtandaoni kuhusu kumpa hela (matunzo) mwanamke unayekuwa naye kwenye mahusiano, ambapo wapo wanaodai siyo lazima kumpa mwanamke hela huku wengine wakisema ni wajibu wa lazima mwanaume kumpa mwanamke wake hela. Swala limemfikia Mwijaku na hapa amefunguka ishu hiyo...PLAY kusikiliza.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 87
  • @
    @shantalismailhassan9878منذ 3 سنوات Uko sahihi Mwijaku. Watu wengi wanaleta uhuni tu yote ni kutokuwa na elimu ya kutosha. 2
  • @
    @sharifaabdullah6825منذ 3 سنوات Miitano' tena mwijaku nakupenda bure walah 3
  • @
    @lissadanford7171منذ 3 سنوات umenena vyema sana bro waambie wanaokurupuka kuja kuongea utopolo 1
  • @
    @mamawadudu48منذ 3 سنوات Kweli kabisa. Wanawake tusikubari kuchezewa. Na tusichezeane kabisa na tusipeane hela kabisa. Hakuna kutoa starehe kabla ya ndoa hakuna kuombana. N id="hidden1" class="buttons"> />Mwanaume Ukioa ndio uhudumie na ukubari kuombwa hela. mwanaume usiombe mzigo kabla ya ndoa hutaombwa hela ....وسعت 3
  • @
    @aloycejeremiah7137منذ 3 سنوات Dah jamaa anatema madini vijana tujifunze kitu 3
  • @
    @riodeclan5504منذ 3 سنوات Wa kutoa na watoe ambao ni members ubahili club frxh 2 4
  • @
    @hawaabdallah4782منذ 3 سنوات Mwijaku nakupenda kutoka uvunguni mwa moyo wangu love you
  • @
    @junuferjinu1444منذ 3 سنوات YANI HAYA NDOYAKUONGEA WW NA MASUDI NAOMBA SEREKALI IWAFIKIRIE KUUSU SANAMU 5
  • @
    @OnlyRukyمنذ 3 سنوات Uwiii kachomoa betri kumbe kp ana wake 2. 3
  • @
    @kibongobongo4608منذ 3 سنوات Mwijaku njoo huku uone vile umewafurahisha wanawake 1
  • @
    @farijala1منذ 3 سنوات Wewe mwijaku Umedandia Bila Kuelewa. Alichokisema Bwana Max ni Kuhusu Hawara hajasema Mke. 1
  • @
    @aishasaid6749منذ 3 سنوات Waambie haoooo mwanamke ni wakupewa bwanaaa 3
  • @
    @kebekebeeمنذ 3 سنوات Hatukatai majukhum ila swala LA haki sawa lifutwe 1
  • @
    @upendowakwelinaamani1060منذ 3 سنوات Mwijaku sauti inatosha baba wataelewa tu!
  • @
    @zainabkazige7388منذ 3 سنوات Mwijaku nimekupenda bure leo, uanaume ni majukumu sisi ni wasaidizi wenu nyie wanaume..maisha ni kusaidiana ila mwanaume ndo kichwa, mpenzi wako asikuombe hela akamuombe nani akipata shida?! 6
  • @
    @rose_Winchester86منذ 3 سنوات waambie waelewe wengi wao hao hawajielewi. Mwanamke anahitaji financial security. 5
  • @
    @salmaathuman9156منذ 3 سنوات Mwanamke anahitaji matunzo na sio unamchaza kujifanya unampenda yaan haujulikani kama una mwanaume au laaah sasa nisipokuomba ww mpenzi au mume wangu nimuombe nani ahsante mwijaku
  • @
    @Emedroadtocanadaمنذ 3 سنوات kuna jitu huku mtaani kwetu linasema ET NATAFUTA MWANAMKE MWENYE PESA ILI ANISAIDIE MAJUKUMU YA NYUMBANI jamani sikapotea huyu 5
  • @
    @gracegamba783منذ 3 سنوات kweli bana. khaaaa. unaninyimaje hela? 4
  • @
    @gmosha1منذ 3 سنوات Nyie msikilizeni mwijaku tuu!!! Mpotee!! 1
  • @
    @nicholauslaurent5454منذ 3 سنوات Kwa hy tuache kutafuta pesa tuwe tunawawaza wanawake, yan uchanganyikiwe kisa umeoa, yy ndo utaratibu wake sio wa kwangu!!!!
  • @
    @abdulsimba7052منذ 3 سنوات ilo swala la mwanamke kua anafanya kaz afu kusema ile hela hainihusu mm natakiwa nimpe huduma zote so kwer mm kukubar mke afanye kaz inamana kuna huduma id="hidden4" class="buttons"> cpati kwa mda furan kama anaenda kazn asubuh ad jioni lazma mm kuna mahtaj yatapungua sababu hayupo ko ile kaz mm nikikwama so mbaya akinisapoti mana kuna majukum yamepungua ndan sababu ya hiyo kaz ko kusaidizana ni lazma ....وسعت
  • @
    @mabakoaisha2473منذ 3 سنوات Muijako nakuaka nakukubali ila apo une faili kabisa muanamuke ni kidudu kibaya sana utakutana analiwa na wezako broth aca naye
  • @
    @ommietrendz7175منذ 3 سنوات Mtu ukioa unatoa kawaida mbona
    Issue ni hawa slayqueen wetu mjini na ndio wanaoongea walioolewa hawaongei
    1
  • @
    @issanicholaus6304منذ 3 سنوات NALO ILI HALIJIELEWI LOVE IS NOT ABOUT MONEY. 1
  • @
    @hasanrashid1244منذ 3 سنوات We unafikili ukiwatetea ivyo ndo watakupenda .awana shuklani ao .we jifanye unaudumia sana na bado unagongewa tu .alafu .wanawake waliosapoti ndo hao wabinafsi sana ela yako itumike nyumbani .ya kwake akajenge kwao 1
  • @
    @RamazaniMulongecaمنذ 3 سنوات Am the ’s Best , if you disagree with that, comment ’s on all YouTube channels you watch.
    INTERVIEWS ARE AWESOME
    .
  • @
    @aishasaid6749منذ 3 سنوات Ukiona mwanamke anakuomba pesa faster bas ujue na wew umemuomba mapenzi mapema sasa huaga tunasema ukitaka kumjua mwanaume sahihi kwako muombe pesa kam id="hidden7" class="buttons"> ni kweli ana nia nzuri ya kukuoa atakupa na mapenzi yataendelea kama ni mchezeaji ndio anakublock faster ndio hao wanaoropokwa kwenye madia oooh hatutaki kuombwa hela ....وسعت
  • @
    @onesmoretz2785منذ 3 سنوات Max kaongelea mpenz na sio mke tuelewane apo 1
  • @
    @manungda9955منذ 3 سنوات Angalia pua lake kama mkia wa ngiri pori, una mitizamo mbofu kama wa Shabiki wa Yanga. Mwanamke wa kuishi naye kwa akili huyu siyo mwanamke.
  • @
    @gasparmpoma3860منذ 3 سنوات Ambaye anataka nimpe hela acomment hapa 1
  • @
    @mamawadudu48منذ 3 سنوات Kweli kabisa. Wanawake tusikubari kuchezewa. Na tusichezeane kabisa na tusipeane hela kabisa. Hakuna kutoa starehe kabla ya ndoa hakuna kuombana. N id="hidden8" class="buttons"> />Mwanaume Ukioa ndio uhudumie na ukubari kuombwa hela. mwanaume usiombe mzigo kabla ya ndoa hutaombwa hela ....وسعت 3
  • @
    @abdulsimba7052منذ 3 سنوات ilo swala la mwanamke kua anafanya kaz afu kusema ile hela hainihusu mm natakiwa nimpe huduma zote so kwer mm kukubar mke afanye kaz inamana kuna huduma id="hidden11" class="buttons"> cpati kwa mda furan kama anaenda kazn asubuh ad jioni lazma mm kuna mahtaj yatapungua sababu hayupo ko ile kaz mm nikikwama so mbaya akinisapoti mana kuna majukum yamepungua ndan sababu ya hiyo kaz ko kusaidizana ni lazma ....وسعت
  • @
    @RamazaniMulongecaمنذ 3 سنوات Am the ’s Best , if you disagree with that, comment ’s on all YouTube channels you watch.
    INTERVIEWS ARE AWESOME
    .
  • @
    @aishasaid6749منذ 3 سنوات Ukiona mwanamke anakuomba pesa faster bas ujue na wew umemuomba mapenzi mapema sasa huaga tunasema ukitaka kumjua mwanaume sahihi kwako muombe pesa kam id="hidden14" class="buttons"> ni kweli ana nia nzuri ya kukuoa atakupa na mapenzi yataendelea kama ni mchezeaji ndio anakublock faster ndio hao wanaoropokwa kwenye madia oooh hatutaki kuombwa hela ....وسعت