المدة الزمنية 3:24

JINSI YA KUPIKA MCHUZI MTAMU WA DAGAA

بواسطة Mapishi na Amanda
2 479 مشاهدة
0
20
تم نشره في 2020/07/04

karibu katika mapishi na Amanda leo tunapika mchuzi mtamu wa dagaa unaoweza kula na ugali, wali au kitu chochote kil upendacho. mahitaji dagaa (kiasi unachotaka) nyanya mbili ndogo au kubwa moja vitunguu maji karoti hoho tomato paste coconut cream/tui la Nazi cumin coriander seeds limao chumvi mafuta kidogo ya kupikia nimetumia dagaa ambao tayari wameshakaangwa unaweza kutumia dagaa wowote uwapendao, kama ni mara yako ya kwanza katika channel hii, usisahau kusubcribe channel yetu na usiache kulike na kucomment. asante.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 3