المدة الزمنية 2:38:6

LIVE UZINDUZI WA KAMPENI ZA CHAMA CHA ACT WAZALENDO KIBANDA MAITI EP 2

بواسطة RVS Online Tv
38 255 مشاهدة
0
232
تم نشره في 2020/09/13

Kwa Habari Moto Moto na zenye uhakika wa kina Si kwengine ni #RVS #ONLINE #TV, Fahari ya WaTanzania wote Ili Kuwa wa kwanza Kupata Taarifa Zetu basi unge bofya Neno Lilo Andikwa #SUBSCRIBE pamoja na alama ya #KENGELE ili upate habari Zenye Uhakika

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 77
  • @
    @user-kr3vh4nu1wمنذ 4 سنوات wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo id="hidden1" class="buttons"> muondo fiana kwako ww haushindikani kitu yarabbi ss tunapitisha jitihada zetu yarabbi ww ndio mwenye nguvu tuondolee hawa yarabi wametudhuluumu sana wameua wamenya ng'a nya tumewachoka yarabbi tunahitaji msaadawako ewe molawetu usiwape nguvu hawa yakuendelea kudhulumu wazamishe kama ulivyo mzamisha firauni wapepeushe kama ulivyo wapepeusha kaumu aadi amiin yarabi ....وسعت 10
  • @
    @susunabhan8115منذ 4 سنوات Mambo super
    Allah afanye wepesi yarabb
    5
  • @
    @fadhilamassoudnassor3031منذ 4 سنوات NANI KAMA MAALIM KHEIR INSHALLAH ALLAH AKUONGOZEE MKOMBOZI WETU.
    AMIN
    2
  • @
    @seifkhamis4298منذ 4 سنوات Inshaallah allah akupe nguvu na afya uweze kufanikisha ktk kuitetea zanzibar 1
  • @
    @rashidomar2771منذ 4 سنوات Yani inauma anatoka mtu bara kuja kuwafahamisha wa znz ,,sisi waznz tuko wapi ,,hem tushituke tuwe na uchungu na nchii yetu 14
  • @
    @muhsinnainoabdullah1539منذ 4 سنوات Yes yani kura tupu hamna vitoto vya kuja kufanya zogo yani hiii ndo zanzibar bana 2
  • @
    @machinjashabani5331منذ 4 سنوات Wa Zanzibar wana takiwa kuiunga mkononi ACT WAZALENDO kwa nguvu zote
  • @
    @fadhilamassoudnassor3031منذ 4 سنوات WALIPO TUPO WATAOJISHUKU NDO HAO HAO
    1
  • @
    @PEMBANKWETU7منذ 4 سنوات nakama mwenyezimungu hetujaalia kupata zanzibar yetu mara hii bc sifikirii tena kupatikana zanzibar 6
  • @
    @dilipdab3714منذ 4 سنوات Tushafulia.sie.watu.wa.mahotel.mtumefata.pesa.zetu.watulipengalau.juwezeshe.wapi.pesa.hazipo.bc.hizo.kadi.watachukuwa.wenyewe 1
  • @
    @machinjashabani5331منذ 4 سنوات Chaguweni mtu anae tokana na nyinyi wenyewe sio mtu ambae haijuwi Zanzibar wala Wazanzibar
  • @
    @hasinahabibu946منذ 4 سنوات Wapate tu hiyo homa ya dege bado act wanasonga mbele ULIPO TUPO SHUSHA TANGA PANDISHA TANGA safari iendeleee
  • @
    @zuhuraali9069منذ 4 سنوات Nikifikiri Act hakuna nyimbo wala muziki nilihic hampendi kumbe na nyinyi mnacheza
  • @
    @milazomilazo6486منذ 4 سنوات Wazanzibar wanafik nyiye na Wala hamupewi nch hamuna lolote 1
  • @
    @user-kr3vh4nu1wمنذ 4 سنوات wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo id="hidden2" class="buttons"> muondo fiana kwako ww haushindikani kitu yarabbi ss tunapitisha jitihada zetu yarabbi ww ndio mwenye nguvu tuondolee hawa yarabi wametudhuluumu sana wameua wamenya ng'a nya tumewachoka yarabbi tunahitaji msaadawako ewe molawetu usiwape nguvu hawa yakuendelea kudhulumu wazamishe kama ulivyo mzamisha firauni wapepeushe kama ulivyo wapepeusha kaumu aadi amiin yarabi ....وسعت 10
  • @
    @user-kr3vh4nu1wمنذ 4 سنوات wallahi huyumze ana maneno mazima tena kwamwenye akili nakutafakar ipo haja yakua na mabadiliko makubwa ewe molawe2 tuondolee hawa madhalim kama ulivyo id="hidden3" class="buttons"> muondo fiana kwako ww haushindikani kitu yarabbi ss tunapitisha jitihada zetu yarabbi ww ndio mwenye nguvu tuondolee hawa yarabi wametudhuluumu sana wameua wamenya ng'a nya tumewachoka yarabbi tunahitaji msaadawako ewe molawetu usiwape nguvu hawa yakuendelea kudhulumu wazamishe kama ulivyo mzamisha firauni wapepeushe kama ulivyo wapepeusha kaumu aadi amiin yarabi ....وسعت 10