المدة الزمنية 2:9

Jinsi ya Kusuka Nywele ya UZI

بواسطة FARIDA OTHMAN
146 740 مشاهدة
0
518
تم نشره في 2020/09/18

TUNAPAMBA MAHARUSI weka booking yako mapema 0657292650 MAKEUP&HAIR MASTER CLASS. Kama ulipitwa na darasa la mwez uliopita jisajili sasa kwa mwezi huu bado tunapokea wanafunzi na huu ndio mchamganuo wa MAFUNZO YETU. 0657292650 1.FULL COURSE √ Kusuka Nywele √ Kupamba Maharusi √ Makeup √ Malemba √ Kutengeneza vibanio √ Washing and set √ Kubana nywele kwa maharusi ADA LAKI TATU (300,000) Muda miezi mitatu 2. KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA ,KUBANA NYWELE KWA MAHARUSI ADA LAKI MOJA NA NUSU (150,000) Muda mwezi mmoja 3.KUJIFUNZA MAKEUP NA MALEMBA Course ya muda mfupi ADA ELFU HAMSINI (50,000) Muda wiki tatu KWA COURSE ZOTE MWANACHUO LAZIMA ULIPIE SH.15,000 KWA AJILI YA TISHET LIPIA MAPEMA KUJIWEKEA NAFASI YAKO MAFUNZO YETU NI YA UHAKIKA KWA MAFUNZO YOTE VIFAA UTAVIKUTA DARASANI Muda wa darasa ni saa 4:00 asubuh kutoka ni saa 10:00 jioni Tuna madarasa ya jioni ni saa 9:00 had sa 12:00 jion KUJIFUNZA KUPITIA YOUTUBE CHANNEL YETU GUSA LINK👇👇 /watch/couaT6tgMbnga HAKIKISHA UNA SUBSCRIBE 0657292650 #@makeup_storetz #makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics #fashion #eyeshadow #lipstick #gloss #mascara #palettes #eyeliner #lip #lips #tar #concealer #foundati #beauty #b #makeup #instamakeup #cosmetic #cosmetics

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 78
  • @
    @jescarmgalama6366منذ 2 سنوات Ongela kwa kazi nzur namimi natamani kuja kujifunza uk
  • @
    @kingcool2546منذ 3 سنوات Kazi meweza, natamani sana hii kazi Ingawa mm ni mwaume 1
  • @
    @upendokasagala4035منذ 4 سنوات Ubarikiwe kwa moyo wa upendo uliokuwa nao 2
  • @
    @elizabethmanyama1343منذ 2 سنوات Nipo dar ila nataman sana kujua kusuka yeboyebo
  • @
    @zuchuhassan1226منذ 4 سنوات Nimependa dadah natamani kuja kujifunza 1
  • @
    @ashafanta4529منذ 2 سنوات Nimependa mnafundisha vizur mpaka unaelewa
  • @
    @josephsamson443منذ 2 سنوات Me nipo shinyanga na fahamu kusokota tyu Uzi na Rasta hivyo natamani Sana kujua kusuka yebo na nywele ya mkono by Diana 1
  • @
    @dollarmwinyi1920منذ 3 سنوات Mimi Bob u hapo USO Uzi mmoja unauwekaje? 1
  • @
    @queenki4922منذ 3 سنوات Naomba video inayoonesha jinsi ya kusuka dread za uzi
  • @
    @didayahya464منذ 3 سنوات Nyuzi huwa zinakata nywele au hazikati?
  • @
    @ommydj4120منذ 4 سنوات Uzi gani ambayo inavutwa dad nimewakubali san 2
  • @
    @miriamjuliuss8138منذ 4 سنوات Nakupendaa sanaa da faridaa nimejifunzaa vituu vingii kupitia acount yako ya you tube asante 1
  • @
    @irenemwambipile293منذ 3 سنوات Me natka jua jinsi ya kusuka kwa style nyngn
  • @
    @renathamteleke5022منذ 3 سنوات Ningependa kujua unavyochambua huo Uzi na unauweka,je??
  • @
    @everchaula8690منذ 4 سنوات Nimefrah sanaaa kuwafaham na naiman nita move on kupitia youtube msitunyime ujuzi Jaman nimewapenda buree
  • @
    @marymicky2692منذ 3 سنوات Nahitaji nijue mnyoosho wa uzi pale pa kuanzia
  • @
    @teklaramah5566منذ 3 سنوات Nahitaji kusuka ni sh, ngpi za uzi? na ni bunda ngpi za uzi 1
  • @
    @mariamjuma1928منذ 3 سنوات Yn da farida taman sana kufika ulipo dada angu 1
  • @
    @shamimumgoo6033منذ 3 سنوات Jaman nashida namsusi ninasaloon yang ipo tabata
  • @
    @neemakajungu2247منذ 4 سنوات Umeenda haraka ata sijaelewa anavutaje vutaje jmn
  • @
    @alphoncekyaruzi5965منذ 4 سنوات Nimeelewa vp unavyoanza kuandaa huo uzi uwe mrefu au mfupi na kusuka unatumia ngapi 1
  • @
    @miriamjuliuss8138منذ 4 سنوات Yani misuko mingii nimejifunzaa humuu mpaka saiv naweza hadi make up mungu akubarikii 1
  • @
    @rosemarykweka6673منذ 4 سنوات Samahani huo Uzi unauvutaje hapo ndo cjaelewa 2
  • @
    @colinmasaki8167منذ 4 سنوات Naomba kujifunza nanyi namna ya kusuka twist za mistar