المدة الزمنية 19:24

Coastal Union 3-2 Mbeya City | Highlights | NBC Premier League

بواسطة Azam TV
2 743 مشاهدة
0
10
تم نشره في 2021/12/27

Coastal Union imekuwa timu ya kwanza kuchukua pointi tatu mbele ya Mbeya City msimu huu kwa kuitandika mabao 3-2, katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Mkwakwani jijini Tanga. Magoli mawili ya Coastal yamefungwa na Abdul Suleiman Sopu moja likiwa ni penati na lingine likifungwa na Haji Ugando wakati magoli ya Mbeya City yakifungwa na Juma Liuzio pamoja na Richardson Ng'ondya kwa mkaju wa penati.

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 0