Fid Q ni moja ya watu waliowahi kufanya kazi na Ngwair, na ameelezea alichokifanywa ambacho Fid Q hakutegemea na kuamua kumwambia Majani na kumlazimu kufanya mabadiliko.
Ni follow kwenye mitandao ya kijamii.
http://www.instagram.com/lilommyhttp://www.twitter.com/LilOmmyhttp://www.lilommy.com
for more interviews, hot news, exclusives, music, videos, artists profiles, gossip etc tembelea lilOmmy.com
@GeraldGspackقبل 5 أشهرMany artist will never level up to Ngwea dude knew how to drop hits his talent was unmatched..CNN my favourite song
@
@yaoboyrb8161منذ 6 سنواتRest in Peace Albert Mangwair. We pray for you Hommie. Congrats to Lilommy kwa Kuperfom vizur katka angle yako. 8
@
@msaflus2492منذ 6 سنواتdaaaah. kweli brother Fid hakuna asiye na mapungufu yake. 13
@
@muganzababingwa2434منذ 5 سنواتHiyo ni kweli sana kijana fid.q. nimekupata kama mm sijaona mpinzani Tanzania kama mangwear ukimuona niambiye. 2
@
@severinaraymondanthony2133منذ 6 سنواتlala baba lala. pumzika kwa aman niko nyuma yako 8
@
@andrew-kitwanambogger8242منذ 6 سنواتR.I.P ngwair "a.k.a Mimi bado inaimbwa mitaani kama karaoke " 5
@
@fadhilimohamed630منذ 6 سنواتSijapata msanii mpaka Leo baada ya kuondoka Albert. Nilikuja kuamini kama kile kichwa bongo hamna ngoma ya A.k.a Mimi. Na lazima kichwa kiwe vizuri Sana. Ndo utaelewa 1
@
@alexlutengano687منذ 6 سنواتNoma Sana kichwa hiki saruti broo pumzika kwa amani 1
@
@abbasamrani2586منذ 4 سنواتNtakukumbuka maisha yng yote Albert Mangwear maana ngoma zako nakumbuka kipindi kile nipo kijana mdogo zilikua zinanisisismua xana yaan nilikua ctamani ngoma zako ziishe we ni zaidi ya msanii yeyote yule Tanzania hii 2
@
@brightkarema4297منذ 6 سنواتWe shared a name even the yr was born and the month R.I.P 2
@
@amospambala9413منذ 6 سنواتebwana ngoma yake ya kimya pale mshikaji ananikosha kinyama 8
@
@jafarisintoo3743منذ 6 سنواتNgoma kibao, of free style ever. 4
@
@santodelove4351منذ 6 سنواتNaimani atanizalia mapacha na sitijali bahati mbaya akiwa tasa naapa sitoweza kumuacha yote ni sababu tu she got gwan 5
@
@amospambala9413منذ 6 سنواتngwear mwenyewe alisema pengo lake halina spear. na nikweli mpaka sasa hajatokea Kama yeye tena 4
@
@geraldmstaulo9819منذ 6 سنواتSijui namsahihisha wapi Albert instine wa Hiphop ya bongo. Nakumbuka kila ngoma Ila kuna moja aliita International known
@
@macmax7767منذ 6 سنواتalale pema Ngair one of the best no doubt
@
@xaverysunday1886منذ 5 سنواتToka team media Makambako town jamaa alikuwa fundi
@
@innocentjackson8156منذ 6 سنواتNakumbuka mistari kuntu toka kwenye ngoma ya she got a gwan 1
@
@ahmadlitwe7190منذ 5 سنواتFid mwanahesabati mwalimu wa hiphop ameongea jambo lililopo katika maisha waelevu wachache wataelewa 2
@
@draqula4287منذ 6 سنواتnakumbuka ngoma ya mikasi manze bingwa wa hiphop bongo
@
@leonardmbito6488منذ 6 سنواتYani uyu jamaa kujikuta ana mistali mikali mc mkali .wakati kuna vichwa ad now anakaa vzuli tu
@joshuawicklifu2876منذ 6 سنواتPamoja na kufuta verse bado ulipotea mzee baba 15
@
@phdhemedy5064منذ 6 سنواتyeye ametangulia nasisi tutafatia kwan ss ni vpolo kikubwa dua tu
@
@tonymnyamatv8483منذ 6 سنواتAngekuwa hai wala Usingemsifia hivo wala usingesema kama ulifunikwa maana najuwaga unafiki wa wasanii wabongo, Kila siku tunasikia mabishano ya wasanii ooh flani nimemfunika badae akifa utasikia eti Fulani alinifunika. 1
@
@ahmedmussa8231منذ 6 سنواتHawatoweza albat mkali wengine wanacheza tu
@
@feisalmhina7146منذ 2 سنواتNgwair alikua anajua! Lkn kiuhalisia ngwair hauwezi Mziki wa kubanda, Farid anajua hiphop East Africa nzima hakuna
مقاطع الفيديو ذات الصلة على Ngwair alichonifanyia sikuamini, Nilifuta Verse yangu - Fid Q:
Congrats to Lilommy kwa Kuperfom vizur katka angle yako. 8
of free style ever. 4
Nakumbuka kila ngoma Ila kuna moja aliita International known
Burudani ziendeleee cnn 1