المدة الزمنية 16:20

Fahamu kuhusu DARASA la filamu la kiswahili lililoanzishwa na Timoth Conrad - Swahili FIlm Class

بواسطة Timamu Comedy
3 115 مشاهدة
0
71
تم نشره في 2020/12/27

Muongozaji wa filamu nchini Tanzania aishiye nchini Marekani ameanzisha darasa maalum la kufundisha masomo ya filamu kwa lugha ya kiswahili. Darasa litatolewa kwa kupitia mtandao kwa njia ya video, ili kujisajili unaweza kutembelea website ya https://www.swahilifilmclass.com

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 14