المدة الزمنية 1:27

VIDEO ya LUGOLA AKIINGIA TAKUKURU KUHOJIWA Ishu ya MIKATABA ALIYOSAINI..

بواسطة Global TV Online
6 285 مشاهدة
0
17
تم نشره في 2020/01/31

VIDEO ya LUGOLA AKIINGIA TAKUKURU KUHOJIWA Ishu ya MIKATABA ALIYOSAINI.. Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amefika ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) makao makuu jijini Dodoma kwa ajili ya kuhojiwa. Lugola amefika katika ofisi hizo leo Ijumaa Januari 30, 2020, saa 1 na dakika 24 asubuhi akiwa katika gari ndogo aina ya Klugger rangi nyeusi na hakuingia nayo ndani ya geti. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: /playlist?list ... HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: /playlist?list ... GLOBAL RADIO TV: /playlist?list ... EXCLUSIVE INTERVIEW: /playlist?list ... Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 6