المدة الزمنية 7:18

Uhusiano wa Tanzania na Rwanda Rais Kikwete

بواسطة JASTUDIO360
152 276 مشاهدة
0
526
تم نشره في 2013/08/04

Imibanire hagati ya Reta zunzubumwe za Tanzaniya n' u Rwanda ntimeze neza. "...Isitoshe, ushauri ule niliutoa pia kwa Serikali ya Kongo na kwa Serikali ya Uganda. Katika mkutano ule Rais Yoweri Museveni wa Uganda aliunga mkono kauli yangu. Rais wa Rwanda hakusema cho chote pale mkutanoni. Baada ya kurudi nyumbani ndipo tukaanza kuyasikia maneno tuliyoyasikia na tunayoendelea kuyasikia."... HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013

الفئة

عرض المزيد

تعليقات - 201
  • @
    @kambibolongo7530منذ 11 سنوات We are with you Mr. President. Your voice is the only voice of reason in this region. This is coming from a Kenyan! 19
  • @
    @bableeomar3069منذ 11 سنوات Wonderful n wise words frm Hon. Kikwete. God Bless Tanzania 8
  • @
    @thelatestvideos6266منذ 3 سنوات Behind the scene tulichomfnyia Mtusti Mungu nd anajua 9
  • @
    @Nedjadistمنذ 10 سنوات In this I support Kikwete. He plays it very wisely. People should not underestimate how Kikwete's speech helped to diffuse further tensions and avert id="hidden1" class="buttons"> a possible war.
    It seems the culture of violence, killing and war is so deep in Rwandese psych that they find a call to peace and reconciliation repugnant. If you listened to Kagame's threat and cockiness you would have thought Kikwete had done something really horrible to his (Kagame's) mother!
    ....وسعت 20
  • @
    @xhandyrahbanzi3623منذ 10 سنوات Nko kenya lakini nimeipenda sana Tanzania kuliko nchi nyengine yoyote ulimwengu mzima.Maadili yenu yameuteka sana moyo wangu,naipenda nchi ya Tanzania kiukweli.Mungu awape amani milele AMIN. 78
  • @
    @benny4345منذ 10 سنوات The President represent the real Tanzanian nature. We like peace and it has become the culture of our people and the country at large. Our president may id="hidden3" class="buttons"> possibly have some problems but all I can say he is a man of integrity. You can see leadership in him! Thanks President Kikwete. We will always be with you!!!! ....وسعت 23
  • @
    @heraldloshi1864منذ 5 سنوات One thing I have learnt from H.E retired president Kikwete is humility.Mvumilivu,kweli hula mbivu.Perseverance is indeed an asset that cannot be bought off the shelves. 3
  • @
    @bahatigwivaha9696منذ 6 سنوات Hongera sana baba. Wewe ni mfano wa kuigwa kwa uongozi wa kuvumiliana. Umeilea demokrasia kwa gharama kubwa sana nadhani kwa gharama ya moyo wako. Wewe id="hidden5" class="buttons"> ulisemwa na kuandikwa vibaya sana. Lkn kwa hekima kubwa hukulipa kisasi. Wewe ni mwanadiplomasia bora kabisa wa karne hii. Nakuombea heri daima. So far nakukubali kwa dhati ya moyo wangu. Nakuombea heri daima. ....وسعت 4
  • @
    @williemwaura581منذ 6 سنوات Always the eloquent statesman, President zKik
    A true statesman, very eloquent.
    3
  • @
    @richardissaya5011منذ 11 سنوات Ubarikiwe J. K Mrisho kwa busara zako nzuri. that' how the man do!! 2
  • @
    @FredAngelsMusikaمنذ 11 سنوات The president is responding to the insults and provocations from Rwandese president and leadership on his suggestions for Rwandese to have a peace talk id="hidden6" class="buttons"> with the rebels. His point is sustainable peace is achieved through peace talk and reconciliations like what happened in Rwandese government when they were rebels, Mandela's peace and reconciliation, Palestine & Israel peace talks and many more! ....وسعت 5
  • @
    @HansonBalirunoمنذ 11 سنوات Am a Ugandan i had not understood what was going on but now i do !! TZ is a nation like Rwanda !! i swear to God you cant stay illigaly in Rwanda like id="hidden7" class="buttons"> that !! Rwanda shld understand TZ and TZ understand Rwandies too, we are all East Africans !! i think the Union as 1 Nation E A shld start from there we need each other ....وسعت 4
  • @
    @FredAngelsMusikaمنذ 11 سنوات Katika hili namuunga mkono Kikwete. Mfano, RPF ikiongozwa na Kagame wakati huo wakijulikana kama waasi wa serikali ya Rwanda ikiongozwa na Habyrimana; id="hidden8" class="buttons"> serikali ya Rwanda ilikubali kufanya noa mazungumzo na yalikuwa yakifanyika Arusha Tanzania. Sasa leo Kagame anasema haoni ushauri huo ni wa maana .mbona alikubali wakati wao walipokuwa waasi? Kagame naona kalewa umaarufu. Anafikri Waisrael na Wapalestina ni wajinga wanapoona kuwa mazungumzo ni moja ya njia ya kupata Amani kuliko kupigana? ....وسعت 11
  • @
    @canoksancomprehensivelearn7182منذ 7 سنوات I congratulate Kikwete because he has shown how we are as Tanzanians. we always love peace and not war, even our conflicts when we differ we prefer diplomacy id="hidden9" class="buttons"> to war. we don't like to use harsh words as the president Kagame did. who do you think if we could respond or be in war with you could gain? only the weapon industries and eventually you would make your country's peace to totally disappear. I once again support and congratulate Kikwete for his wise decision and I wish Makufuli will do the same. no need for harsh words and whenever we differ the only solution is to stick on peace talks till we all get the solution and not to insult each other. ....وسعت 5
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات Hate for truth is what drove the assassinations, both inside Rwanda and outside Rwanda of former RPF millitary officials (eg Rwigema) and failed assassination id="hidden10" class="buttons"> of Gen Kayumba in SA; as well as jail terms for Kagame's political opponents (Ingabire) and many. Genocide perpetrators have been convicted are still being brought to justice in Arusha. Despite Tanzania's commitment. It seems it isnt enough for power hungry Kagame; ....وسعت 4
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات He plotted and assassinated Habyarimana even when the later agreed on a peace process! Tanzania also hosted those talks! The current outburst by Kagame id="hidden11" class="buttons"> reflects the 1996 - walk out from the Burundi Peace Conference hosted by Mandela in Arusha; Buyoya and Kagame walked out of the meeting and it took a tough statement from Madiba that accused Buyoya of prolonging chaos for political benefit to bring them back into the peace process! ....وسعت 2
  • @
    @mdabwaaissa4920منذ 3 سنوات Asalam aleykum mungu akupe UMRI MREFU wenye amani ameen 1
  • @
    @josephkangakolomasandi3628منذ 11 سنوات Punching cannot always solve out issues and problems.I think that president Kikwete is right,Kagame came into power with a coup d'Etat whereas Kikwete id="hidden12" class="buttons"> has been elected.It's true that those people have committed genocide in 1994,now who shot down the Habyarimana plane?I think both Kagame and Fdlr have blood on their hands,the Fdlr is no longer a threat for the Kagame regime.he should accept them by the fact that they're all Rwandese  ....وسعت 2
  • @
    @nyotanjema4109منذ 6 سنوات Makubwa ht kuelekezwa pia dhambi.pole mh. kikwete mungu atustiri daima na mabaya ameen 2
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات Mandela told them from experience, as a former freedom fighter himself, that "weapons rebels have are the only card they possess to bring an illegitimate id="hidden13" class="buttons"> government (like Buyoya's) to a negotiation table; Burundi's government has the obligation to show leadership in achieving peace in Burundi". The meeting was attended by Clinton and representives of European Union and individual representation from France, UK, Germany, Belgium etc countries that ....وسعت
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات Mbweko wa mbwa koko isnt a big deal Major; ni kutapatapa kwa mfa maji tu; Kagame knows how much of a fraudster he is. The fact that he now fights the very id="hidden14" class="buttons"> comrades who fought along side him easily explains the nature of the man. Jamaa anaona ghosts all around him! And he rejects the only way which might put the past to rest similar to the Reconciliation that took place in South Africa that helped a transition without a civil turmoil despite global anticipation of the same! ....وسعت 2
  • @
    @goodlucktalami3163منذ 6 سنوات baba wewe umekomaa wewe ni diplomatic I really adore you u. hivi huewezi kurudia kugombea tena? 1
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات paid for return flights to Europe for self centered fighting factions leaders who many of them didnt live in Burundi. Despite their disdain for peace; id="hidden15" class="buttons"> as Kagame explicitly now shows, Opposing douchebags in Burundi followed Mandela to Pretoria and signed the Peace Process Agreement. No body says peace is an easy thing; But Kagame has to stop searching for enemies and work towards ever lasting peace in Rwanda; instead of using genocide as his trump card to cling to power. ....وسعت
  • @
    @raphaelphaustine9408منذ 4 سنوات Angekuwa makomeo dah tungeongea mengine 8
  • @
    @goutamagapapa6057منذ 11 سنوات With all due respect Mr.president, I am a little disappointed with u. Your statement about Rwanda was an act of bravery and of necessity. And now u sound id="hidden16" class="buttons"> a little apologetic to Kagame the worst mass murderer of these 2 last decades, the worst nightmare that one can ever encounter in Rwanda and DRC, a dictator that sacrificed lives of innocent men, women and children of his own people just for his greed of power. He should be brought to justice. ....وسعت 2
  • @
    @rodricklamar9349منذ 10 سنوات Haha sounds like a Kiswahili teacher..Kenya 6
  • @
    @jacobtinginya8419منذ 11 سنوات mr president kikwete is very right, to me i support what he say, and actually president kagame is benefiting with the resources of congo sth which is not id="hidden17" class="buttons"> good and no wonder he provide the weapons to m23 rebel to defend his wellfares in drc,and i think both of them they cooperate together with ugandan. ....وسعت 4
  • @
    @Gira-ubuntuالعام الماضي Huyu ndie mwanaume sasa! Kagame analopokwa kama mjinga! 1
  • @
    @stephenmabibaمنذ 8 سنوات rwanda a lito country tht z equal to one city of among 28 cities in Tanzania.. Rwanda is Lucky we had a good diplomatic president or else we would crash that Rwanda Region with only 20 Soldiers. 18
  • @
    @kevinpelomgeni1445منذ 2 سنوات Maneno haya ni yalazima sana, Rwanda ni nchi yenye fujo xaaana tu. Sisi wa Congo, nchi kama Rwanda inatusimbua mno. 3
  • @
    @dickisoniryoba3989منذ 6 سنوات rais wangu msitaafu nakupenda sana kwa hekima zako na busara zako kweli unafaa kuwa raisi tena na tena maana kuwa kiogngozi sio mabavu au ubabe na udiktetar love u jakaya mlisho kikwete 11
  • @
    @oscarkasalile8370منذ 4 سنوات Mzee unabusara sana, kweli Rwanda walituchokoza, na mpaka kipindi hiki cha magufuli wanatutafuta wanasema tunakorona ila tumwachie mungu maana nchi ya Rwanda sawa na mkoa wa mwanza, lakini watakuja juta 1
  • @
    @oscarkasalile3966العام الماضي Lakini mzee hapo nilikuona shujaa wetu. Huwa nikikumbuka Rwanda ilichotaka kufanya sio kitu kizuri maamuzi uliyoyachukua kipindi kile unafaa kupewa tuzo id="hidden21" class="buttons"> ya Amani. Rwanda alituchokoza sanaaa. Hapo ndipo ninapokupenda hata mtu akikuongelea vibaya naumia sana. Hongera sana mzee ....وسعت 1
  • @
    @alfonsnshenyera9785منذ 6 سنوات I like it baba wewe Buna kosa ulifanya lililokupasa 1
  • @
    @josephgomalo41منذ 11 سنوات Tanzania doesnt have to rephrase/apologize shit to Rwanda. Support for Rwandan genocide was clearly displayed by RPF by letting it happen to gain international id="hidden22" class="buttons"> support for power grabbing even when they had ability to prevent it. Besides Tanzania suffered financially and environmentally when caring for Rwandans who fled. Tanzania therefore has every right to tell it the way it is without micing words; as it desires to see peace prevailing in neighbouring countries. ....وسعت 2
  • @
    @aleezgene4572منذ 8 سنوات y0ur Tanzanian
    real calm bt if he needs s0, he must ask Uganda
    5
  • @
    @dullahreey8712منذ 11 سنوات well done our president, unaonyesha nikiasi gani unavyopenda Amani waache waongee tuu 2
  • @
    @petermwanyondo5370منذ 3 سنوات Ila wemzee Allah akujalie xana unahekima mno
  • @
    @monica-eb7nrمنذ 11 سنوات achana na hao wanya Rwanda bb wamezowea kuuwa tu ndozao vicha vyao vimezowea kumwanga damu.wanauwa ndugu zao sembuse watanzania.wanataka kuingiza inchi yenu kwenyevita kama wao wanavyochinjana bila kuwa na busala. 5
  • @
    @stevenjackson1582منذ 6 سنوات Mweshimiwa rais mstaafu jk hakuna kazi kubwa uliyoifanya ktk inchi yetu kama kulipitisha hili jambo kwa usalama mungu akujaalie afya njema 3
  • @
    @marcelinokayombo3575منذ 5 سنوات Jk Mr wise man.I love you Mr president
  • @
    @teyharمنذ 11 سنوات Can anyone please translate what Kikwete said?
  • @
    @mosesndahani8912منذ 6 سنوات Sauti ya kuvutia nguvu ya upendo halisi, tunakuombea 7
  • @
    @nologomimi6853منذ 11 سنوات Ila wanahabari wetu wa Tanzania wamelala iweje tupate Hotuba hii muhimu ya Mhe. Raisi kupitia mwandishi wa nchi nyingine? What going on Watanzania na habari, id="hidden24" class="buttons"> mbona kila saa tunakuwa nyuma! USINGIZI utaturudisha nyuma. Tuamke Jamani. ....وسعت 1
  • @
    @Chocolat2404منذ 11 سنوات I think you are from Burundi based on your lamguage.Smarten up 1
  • @
    @danielbrazius3469منذ 3 سنوات Mzee mwenye busara na hekima huwa napenda kusukiliza sana unacho ongea kinanijenga hususa ni hii vidéo huwa napenda kuirudia
  • @
    @user-qo2ek2nd7bقبل 4 أشهر Nakupenda rais mungo akupe Maisha marefu
  • @
    @ilungasalleمنذ 11 سنوات he who has ears let him hear huyu ni kiongozi muungwana tena amesema hatuyapuuzi ikiwa na maana. mimi binafsi sijaona kosa hapo 1
  • @
    @hamisihussein9851منذ 9 سنوات Rwanda Presider anatakiwa awe na utu,na a jifunze human rights,na awe wise men, not badwiser
  • @
    @petersynto2043العام الماضي Una busara sana wewe jamaa mpaka roho imeniuma pole sana rais wangu ni kweli wanalolao sio bure
  • @
    @pastorstevenmdoe5143منذ 5 سنوات Hivi sasa ndio maswahiba wetu wakubwa.
  • @
    @fransiscotsii2671منذ 2 سنوات Lakini pia hatuyapuuziiii very intelligent president we have ever havee
  • @
    @FredAngelsMusikaمنذ 11 سنوات Tusiwalaumu waandishi wa habari. We angalia serikali inavyowanyanyasa na kuwatesa, nani ataipenda? Issue ya mwandishi wa habari Mwangosi; waliomuua wanapandishwa id="hidden25" class="buttons"> cheo, angalia tena issue ya Absalom Kibanda; What do you think!? ....وسعت
  • @
    @danielbrazius3469منذ 4 سنوات Huwa nafikiri busara za Mzee kikwete natamani kuwa kama Yeye Ila si kwamba hawezi kuongea au kufanya kitu Rwanda wamuulize jirani Yao Iddi Amin Dada ambaye alikuwa akijifanya ubabe 1
  • @
    @famffamf40منذ 7 سنوات mtakuwa hamkalibishwi tena kwenye nyumba za watu sahani aliolia anaenda kuitia kinyesi alafu hataki kuitupa tena wapende wewe kikwete hawa hawana shukrani id="hidden27" class="buttons"> hata ungewafa nya nini kwani yote ni mabaya kitu kidogo tu kashika upanga kaua ni zaidi ya shetani ....وسعت 1
  • @
    @yamashidasato6801منذ 5 سنوات kagame ni mbwa .usipomchapa mbwa atakuuma ! 1
  • @
    @majorkazimoto1452منذ 11 سنوات He suggested an approach that i 100% agree with my problem is he should have the balls to stand by his statement. For him to go around apologizing and id="hidden28" class="buttons"> begging dictators like Museveni who we educated with zero credibility to run our international affairs is pathetic and dangerous. His weakness infront of the international community is jeopardizing Tanzanias national security. Say what you mean and mean what you say otherwise keep your mouth closed ....وسعت
  • @
    @stephentossi2626منذ 2 سنوات Ni maneno yenye hekima na busara hii ndiyo desturi yetu Watanzania
  • @
    @qamaan37منذ 11 سنوات Tz all there care about is being msani bongo flovor, let Kagame handle his bizness in eastern Drc.
  • @
    @sudeinwahab906منذ 6 سنوات Mzee jk ni mtu mwenye hekima na busara
  • @
    @lawsofsucces5784منذ 7 سنوات Kirwanda ni kinchi kidogo sana ni kama mkoa mmoja wa Tanzania 3
  • @
    @innocentngirabatware5241منذ 11 سنوات Wewe watu wameua watu ukiwa pale,hukusema kitu chochote sasa unajigeuza msemaji wa wahalifu 1
  • @
    @sylvesterdaud3018منذ 7 سنوات ukosawa rais wetu naunaonyesha jinsigan unabusara, tukopamoja na wewe kwalolote lile. 4
  • @
    @zahorsalum4976العام الماضي Ruanda asichezee nchi yetu tunaipe da sn .natunaumoja .wakutoshaa ht mtt atabeba silaha .tutaichukua yote Ruanda iwe Tz
  • @
    @stephanieuwase6225منذ 11 سنوات mind ur business, Rwandans will sort out theirs, anda put down our president, we didn't call u to help electing him so yenu yamewashinda mnaanza kubung'aa id="hidden29" class="buttons"> even 1 time Rwanda will not seat and negociate with those monsters. remember that civilian of rwanda haven't sent u to speak on behalf ....وسعت 2
  • @
    @famffamf40منذ 7 سنوات Devils on dying everything we can say because of fear control
  • @
    @fredkabob4094منذ 7 سنوات 1994 in rwanda Tanzania ilikuwawapi? kwani ilikuahakuna,chongozi? 1
  • @
    @innocentngirabatware5241منذ 11 سنوات Unadanganya sana kama unataka uhusiano kwa nini una support wahalifu 1
  • @
    @ngenzijules3885منذ 11 سنوات Probably you need to define what is an apology. When Kagame talking of Kikwete and Tanzania, he wasn t apologetic. HHe was terse, angry and ready for a id="hidden30" class="buttons"> fight. Kikwete, is of low demeanor, apologetic and very conciliatory. For sure, not as a man ready to punch if things go wrong ....وسعت
  • @
    @yamashidasato6801منذ 5 سنوات kagome pumbafu .ukicheza na umba atakuuma !
  • @
    @bompetibayenga1281العام الماضي Rwanda Ni Inchi ya Laana, Kwanini Wako Na Shida Na Majirani Wote????? Congo, Uganda, Tanzania, Burundi Kwanini Waoo Tu???????????
  • @
    @monica-eb7nrمنذ 11 سنوات huyo KAGAME matatizo kwa wana inchi wake wanararamika sana yigire igitangaza bose bamtinye niyamara kuva mumwuka ntawuzamtinya abamubona karimwiza bazosanga id="hidden31" class="buttons"> arimubi kandi inyuma yivyo vyose hazozurubanza azosanga yarasingajwe nakamanyu kumutsima. ....وسعت
  • @
    @emmanuelmasangula6476منذ 11 سنوات president kagame his thinking capacity is zero degree the end is coming much less rwand development is due to sabotage i hate this thin noise 1
  • @
    @Chocolat2404منذ 11 سنوات I think Tanzanians are very good people but their leaders are so ignorant.What Tanzanians need is a revolution.Look how other countries are moving forward and yet Tz is being held back by the leaders.Think about it 4
  • @
    @yusuphjilala846العام الماضي Kagame asijidanganye kuwa Tanzania nisawana Kongo!,awaulize Uganda enzi za idd amini,ajiangalie asije akaishi uhamishoni kwa shidaaa,TZinaviongoziwaliolelewakwamaadilindio maanaJk akamjibu kwa "busara"